ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 17,741
- 42,173
Aisee noma sana
Kuna kitu wanaita "dimension" ngapi ngapi sijui.....mixer frequency......ambapo watu wanaishi lakini sisi hatuna uwezo wa kuona.....labda macho ya paka kwa kiasi huona.Shida yako hujataja location. Huenda nasi tunamjua na tungekusaidia.
Hio sio deja vu. Deja vu unaenda sehemu au unakutana mtu au unafanya kitu ambacho unakumbuka ulikifanya sehemu au namna ile ile siku nyingi zilizopita.de javu hiyo.
Hii mimi hunikuta sanaHio sio deja vu. Deja vu unaenda sehemu au unakutana mtu au unafanya kitu ambacho unakumbuka ulikifanya sehemu au namna ile ile siku nyingi zilizopita.
Very common.Hii mimi hunikuta sana
OkVery common.
Sijui kwa kitaalamu ndo wanaita time travel. Otherwise fatilia afya yako ya akili .Miaka ya sitini katikati kulikuwa na mzee mmoja anauza genge pahala,
alikuwa ni maarufu sana,
Hivi majuzi nimekutana nae na cha jabu alikuwa amevaa shati lile lile maarufu, nikadhani labda ninaota...nikamuita fulani?? akaitika naam....nikamuuliza siku hizi upo wapi, akanijuza yu sehemu inaitwa NOMBO, Wakati natafakari Nombo ni wapi, akawa kama anazungumza na mtu mwingine na wakati huo huo kuna meseji ilikuwa inaingia simuni mwangu, baada ya kumaliza kusoma ile meseji sikumuona tena yule mzee,
Hebu wataalam wa mambo tusaidieni kudadavua hii,
AU NI.
deja Vu?
hapo ndo tatizo lilipoanziaSikula na sikuhisi njaa.
Maajabu ya ujumbe: jaribu kuwaong'oneza watu kumi ujumbe ule ule, halafu umtake kila mtu aseme kwa sauti amesikia nini? Utastaajabu tofauti baina yao! Sikujua kumbe katika kuandika pia! Huyu bwana anazungumzia mwaka wa 60 wewe unamnukuu mwaka wa 80!Kuvaa nguo ile ile ulomuona nayo miaka ya 80 ni jambo la kawaida.
Kuna watu wanavaa nguo flani kama utambulisho wao.
Ushamuona Rais Museveni,
kila siku shati jeupe long sleeve oversize, na cowboy pama!
Wadhani analo moja?
Me nimetoa mfano tu.Maajabu ya ujumbe: jaribu kuwaong'oneza watu kumi ujumbe ule ule, halafu umtake kila mtu aseme kwa sauti amesikia nini? Utastaajabu tofauti baina yao! Sikujua kumbe katika kuandika pia! Huyu bwana anazungumzia mwaka wa 60 wewe unamnukuu mwaka wa 80!
AnaukimwiiKuvaa nguo ile ile ulomuona nayo miaka ya 80 ni jambo la kawaida.
Kuna watu wanavaa nguo flani kama utambulisho wao.
Ushamuona Rais Museveni,
kila siku shati jeupe long sleeve oversize, na cowboy pama!
Wadhani analo moja?