Nimekutana na kitu cha ajabu sana

Nimekutana na kitu cha ajabu sana

Inawezekana ni mambo ya upande wa pili, kwasababu umesema alikuwa ni "Mzee" miaka hiyo ya "sitini", Kwanza miaka hiyo alikuwa na miaka mingapi halafu na sasa ulivyomuona ukimkadiria ni wa miaka mingapi?
 
Miaka ya sitini katikati kulikuwa na mzee mmoja anauza genge pahala,

alikuwa ni maarufu sana,

Hivi majuzi nimekutana nae na cha jabu alikuwa amevaa shati lile lile maarufu, nikadhani labda ninaota...nikamuita fulani?? akaitika naam....nikamuuliza siku hizi upo wapi, akanijuza yu sehemu inaitwa NOMBO, Wakati natafakari Nombo ni wapi, akawa kama anazungumza na mtu mwingine na wakati huo huo kuna meseji ilikuwa inaingia simuni mwangu, baada ya kumaliza kusoma ile meseji sikumuona tena yule mzee,

Hebu wataalam wa mambo tusaidieni kudadavua hii,

AU NI.

deja Vu?
Sio illusion za bangi hizo kwel mkuu?
 
Inawezekana ni mambo ya upande wa pili, kwasababu umesema alikuwa ni "Mzee" miaka hiyo ya "sitini", Kwanza miaka hiyo alikuwa na miaka mingapi halafu na sasa ulivyomuona ukimkadiria ni wa miaka mingapi?
Swali zuri
Kipindi anauza genge alikuwa over 50....na sasa nilipokutana nae muonekano we ni ule ule......huu ulimwengu una mambo mengi sana...."time traveller" etc
 
Swali zuri
Kipindi anauza genge alikuwa over 50....na sasa nilipokutana nae muonekano we ni ule ule......huu ulimwengu una mambo mengi sana...."time traveller" etc
Ndio yenyewe na hauko peke yako, binafsi ilishawahi kunitokea na nikawa nashangaa Sana kama nimeona Jini vile.
 
Back
Top Bottom