Nimekutana na 'first boyfriend' anataka turudiane

Habari wapendwa wangu,

Mimi nipo hapa sihitaji ushauri ila nataka niwasimulie kidogo lililonitokee, sababu sijamwambia mtu imenibidi niwadokezee.

Mimi ni mama wa watoto 2 na nimeolewa na ndoa ya kanisani, nina kazi yangu nzuri mshahara ni mzuri, maisha yangu ni mazuri tuna nyumba 2 na mume wangu na kila mtu ana gari yake, ila hapa kisa kilichonikuta ni kama ifuatavyo.

Baada ya Zaidi ya miaka kumi na 4 nimekutana na my first boyfriend, mi nashukuru nyumbani tulikua mambo safi, huyu boyfriend wangu tulikua tunasoma wote S.Africa, mi nilikuja nikaama nikaenda kusoma Canada nikamwacha hapo ila tukawa tunawasiliana kwa ukaribu sana, mwisho wa siku tukapotezana, ila kiukweli nilikua nampenda na nina iman nae alikua ananipenda.

Sasa bwana mwezi uliopita nilikua nina meeting na kampuni moja nikakutana na rafiki yake, du tulifurahi sana, tukapiga story mbili tatu, akaniambia unajua F (jina la boyfriend wangu niliyepotezana nae) alikua anakutafuta sana, tukabadilishana namba, mi sikutaka kumwomba ata namba ya F sababu najua sasa nina familia yangu na nina Imani nae atakua na familia yake.

Mara nafika ofisini mida ya jioni naona namba ngeni inaita, kupokea mara ni mimi mume wako F, nikacheka na tabasamu la furaha. Akaniuliza uko wapi nikamwelekeza ofisi yangu, yeye anaishi Arusha ndo anakofanya kazi, nikamwambia ok , cha kwanza aliniuliza ushaolewa nikamwambia ndio na nina watoto 2, nikamwomba nitampigia baadae sababu nilikua biz kidogo, saa kumi na moja natoka ofisini akanipigia nikaongea nae kwenye gari mpaka nafika nyumbani, tukapiga story nyingi.

Ila siku zinavyozidi kwenda ndo anazidi kutaka kuwa karibu na mimi, mara nikapata parcel ya DHL ina zawadi iliyoambatanishwa na picha ipo katika frame tuliopiga mi na yeye enzi tupo S. Africa kwakweli nilikumbuka mbali, nilipiga simu na kumwambia asante na nimeiweka ofsini kwangu. Ila nami nampenda na alinitamkia nimekupata tena sitegemei kukupoteza tena.

Juzi nimemtumia SMS ndefu nikamweleza ukweli mimi siwezi kuendelea nae sababu mimi nina familia yangu nae ana familia yake, sasa kila mtu achukue time yake, kwakweli kanitumia SMS nyingi sana kaniomba nisifanye ivyo, nimeamua ni mblock kila mahala ila cha kushangaza kanunua laini nyingi kwa ajili yangu nayo nimeblock, anatumia line nyingine, kwa sababu kila navyoendelea kuchati nae namimi nazidi kumpenda.

Ili kuepusha imebidi nifanye hivyo. Sasa jana nimeamka nimewaza mengi sana juu yake na nina mpenda na nikiangalia upande wa mume wangu nae kanitenda sana ila mi sitaki kufanya hivyo sababu wakati wa kufunga ndoa niliungama pale mbele nikasema huyu ndo awe mume wangu mpaka kufa, kwakweli in short alikua chagua langu na nilikua nampenda ila wanavyosema ndoa upangwa na Mungu ndo maana tulipoteana.
Dada funga tu macho u forget him naona hiyo ndoa ikivunjika plzzz kata mawasiliano na chochote kuhusu huyo mwanaume kinyume na hapo...... Cjui kifwatacho
 
..kama ww ni wife ukijaribu nikakukamata,..ndoa itaishia hapo hapo!..
 
Heshimu ndoa yako,usitetereke.
 
Usijishushie heshima dada dagaa .Atakuvunjia ndoa na hutakuwa na cha kujitetea zaidi ya aibu. Stick to your marriage..mitihani kwenye ndoa ipo. Na pengine wala humpendi kama unavyodhani,ila unatamani tu attention ya mwanaume mwingine kwasababu U nahisi ndoa yako haiko sawa...achana na hiyo kitu.
 
Kwa kumkomoa huyo F wee mpe tiGo, hatarudia ng'oooo......uipake mayonnaise wakati unampa
 
Kwa sababu shida sio ishauri acha [emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
 
Eti ex anaamka tu huko aliko na kukitumia picha????

Shaaa

Adai hataki "kukupoteza?"

Mfyuuuuuuùuuuuuuuuuuuuuuuuuu
 
Dada kuwa makini, kuna dada aliwahi kuwa rafiki yangu. Yeye aliwahi kuishi Australia huko akaanzisha mahusiano n Dr flani mzungu wakawa wanaishi kama mke na mume pasipo ndoa.
Kuna kipindi akarudi huku likizo akiwa anapita posta akakutana na first love wake, wakafurahi na kubadilishana namba alivyorufi australia full simu na kuchat na jamaa bongo.
Mzungu anataka aje tz wafanya process za ndoa dada full vikwazo. Ikafika kipindi akamwambia mzungu aisee nina mtu ninayempenda zaidi yako.
Mzungu akabembeleza mdada akakomaa basi alimwambia poa ila akikuumiza niko tayari kukupokea
Dada akamjibu hawezi niumiza, dada alikuwa anasoma chuo kule akaacha na aliyekuwa analipa ni mzungu yule akarudi tz akatafta chuo akaanza tena mwaka wa kwanza.
Basi akaanza relation upya na first love wake kumbe hakujua jamaa bonge la playboy.
In the end jamaa alimpa mimba na hakumuoa ni kila kitu kikaenda ovyo.
Sasa dagaa kumbuka huyo ana mke na wewe una mume.
Usianze tafta namna ya kumtoa kasoro mumeo ili kujustify kuwa na ex wako.
Maana hizo weakness za muneo mbona haikuwa shida before kukutana na ex.
 
Huyu dagaa anamambo mengi na yaweza ikawa anastea tairi hata kabla hajaanza kuwasiliana na F. Kwa usemi wake kuwa mumewe alimsaliti inaonyesha ni namna gani alivyo na roho ya malipizi bila kuangalia athari anayoweza kukutana nayo
 
Habari wapendwa wangu,

Mimi nipo hapa sihitaji ushauri ila nataka niwasimulie kidogo lililonitokee, sababu sijamwambia mtu imenibidi niwadokezee.

Mimi ni mama wa watoto 2 na nimeolewa na ndoa ya kanisani, nina kazi yangu nzuri mshahara ni mzuri, maisha yangu ni mazuri tuna nyumba 2 na mume wangu na kila mtu ana gari yake, ila hapa kisa kilichonikuta ni kama ifuatavyo.

Baada ya Zaidi ya miaka kumi na 4 nimekutana na my first boyfriend, mi nashukuru nyumbani tulikua mambo safi, huyu boyfriend wangu tulikua tunasoma wote S.Africa, mi nilikuja nikaama nikaenda kusoma Canada nikamwacha hapo ila tukawa tunawasiliana kwa ukaribu sana, mwisho wa siku tukapotezana, ila kiukweli nilikua nampenda na nina iman nae alikua ananipenda.

Sasa bwana mwezi uliopita nilikua nina meeting na kampuni moja nikakutana na rafiki yake, du tulifurahi sana, tukapiga story mbili tatu, akaniambia unajua F (jina la boyfriend wangu niliyepotezana nae) alikua anakutafuta sana, tukabadilishana namba, mi sikutaka kumwomba ata namba ya F sababu najua sasa nina familia yangu na nina Imani nae atakua na familia yake.

Mara nafika ofisini mida ya jioni naona namba ngeni inaita, kupokea mara ni mimi mume wako F, nikacheka na tabasamu la furaha. Akaniuliza uko wapi nikamwelekeza ofisi yangu, yeye anaishi Arusha ndo anakofanya kazi, nikamwambia ok , cha kwanza aliniuliza ushaolewa nikamwambia ndio na nina watoto 2, nikamwomba nitampigia baadae sababu nilikua biz kidogo, saa kumi na moja natoka ofisini akanipigia nikaongea nae kwenye gari mpaka nafika nyumbani, tukapiga story nyingi.

Ila siku zinavyozidi kwenda ndo anazidi kutaka kuwa karibu na mimi, mara nikapata parcel ya DHL ina zawadi iliyoambatanishwa na picha ipo katika frame tuliopiga mi na yeye enzi tupo S. Africa kwakweli nilikumbuka mbali, nilipiga simu na kumwambia asante na nimeiweka ofsini kwangu. Ila nami nampenda na alinitamkia nimekupata tena sitegemei kukupoteza tena.

Juzi nimemtumia SMS ndefu nikamweleza ukweli mimi siwezi kuendelea nae sababu mimi nina familia yangu nae ana familia yake, sasa kila mtu achukue time yake, kwakweli kanitumia SMS nyingi sana kaniomba nisifanye ivyo, nimeamua ni mblock kila mahala ila cha kushangaza kanunua laini nyingi kwa ajili yangu nayo nimeblock, anatumia line nyingine, kwa sababu kila navyoendelea kuchati nae namimi nazidi kumpenda.

Ili kuepusha imebidi nifanye hivyo. Sasa jana nimeamka nimewaza mengi sana juu yake na nina mpenda na nikiangalia upande wa mume wangu nae kanitenda sana ila mi sitaki kufanya hivyo sababu wakati wa kufunga ndoa niliungama pale mbele nikasema huyu ndo awe mume wangu mpaka kufa, kwakweli in short alikua chagua langu na nilikua nampenda ila wanavyosema ndoa upangwa na Mungu ndo maana tulipoteana.
Daaa, huyu dada kama kweli, ni kituko sana. Badala ya kutunza familia anaongelea mambo ya kitoto, mambo ya uliyesoma nae uje kukumbusha.
Hata huyo jamaa kama yupo ni mpuuzi sana. Yaani unaongelea penzi na mke wa mtu tena ana watoto.
 
Kua na msimamo huo huo usikubali shetani akushinde,focus na familia yako na maisha yako muombe sana mwenyezi mungu akuepushie na majaribu....
 
Nimeisomaaaaaaa......
Lakini mwisho nimeshindwa kuelewa kwamba nini lengo la kuleta huu uzi.
Sijaona ukiomba ushauri, na sijaona kama kuna jambo limekutatiza.
Zaidi nimeona tu jinsi ulivyo pangilia simulizi, kaupendo kwa X kwambaaali huku nafsi ikikusuta, na kisha ukajifariji kwa vilawama vichaaaaache eti mumeo alikutenda.
Kasema haombi ushauri ana share tu stori yake jamani
 
Back
Top Bottom