Nimekutana na 'first boyfriend' anataka turudiane

Habari wapendwa wangu,

Mimi nipo hapa sihitaji ushauri ila nataka niwasimulie kidogo lililonitokee, sababu sijamwambia mtu imenibidi niwadokezee.

Mimi ni mama wa watoto 2 na nimeolewa na ndoa ya kanisani, nina kazi yangu nzuri mshahara ni mzuri, maisha yangu ni mazuri tuna nyumba 2 na mume wangu na kila mtu ana gari yake, ila hapa kisa kilichonikuta ni kama ifuatavyo.

Baada ya Zaidi ya miaka kumi na 4 nimekutana na my first boyfriend, mi nashukuru nyumbani tulikua mambo safi, huyu boyfriend wangu tulikua tunasoma wote S.Africa, mi nilikuja nikaama nikaenda kusoma Canada nikamwacha hapo ila tukawa tunawasiliana kwa ukaribu sana, mwisho wa siku tukapotezana, ila kiukweli nilikua nampenda na nina iman nae alikua ananipenda.

Sasa bwana mwezi uliopita nilikua nina meeting na kampuni moja nikakutana na rafiki yake, du tulifurahi sana, tukapiga story mbili tatu, akaniambia unajua F (jina la boyfriend wangu niliyepotezana nae) alikua anakutafuta sana, tukabadilishana namba, mi sikutaka kumwomba ata namba ya F sababu najua sasa nina familia yangu na nina Imani nae atakua na familia yake.

Mara nafika ofisini mida ya jioni naona namba ngeni inaita, kupokea mara ni mimi mume wako F, nikacheka na tabasamu la furaha. Akaniuliza uko wapi nikamwelekeza ofisi yangu, yeye anaishi Arusha ndo anakofanya kazi, nikamwambia ok , cha kwanza aliniuliza ushaolewa nikamwambia ndio na nina watoto 2, nikamwomba nitampigia baadae sababu nilikua biz kidogo, saa kumi na moja natoka ofisini akanipigia nikaongea nae kwenye gari mpaka nafika nyumbani, tukapiga story nyingi.

Ila siku zinavyozidi kwenda ndo anazidi kutaka kuwa karibu na mimi, mara nikapata parcel ya DHL ina zawadi iliyoambatanishwa na picha ipo katika frame tuliopiga mi na yeye enzi tupo S. Africa kwakweli nilikumbuka mbali, nilipiga simu na kumwambia asante na nimeiweka ofsini kwangu. Ila nami nampenda na alinitamkia nimekupata tena sitegemei kukupoteza tena.

Juzi nimemtumia SMS ndefu nikamweleza ukweli mimi siwezi kuendelea nae sababu mimi nina familia yangu nae ana familia yake, sasa kila mtu achukue time yake, kwakweli kanitumia SMS nyingi sana kaniomba nisifanye ivyo, nimeamua ni mblock kila mahala ila cha kushangaza kanunua laini nyingi kwa ajili yangu nayo nimeblock, anatumia line nyingine, kwa sababu kila navyoendelea kuchati nae namimi nazidi kumpenda.

Ili kuepusha imebidi nifanye hivyo. Sasa jana nimeamka nimewaza mengi sana juu yake na nina mpenda na nikiangalia upande wa mume wangu nae kanitenda sana ila mi sitaki kufanya hivyo sababu wakati wa kufunga ndoa niliungama pale mbele nikasema huyu ndo awe mume wangu mpaka kufa, kwakweli in short alikua chagua langu na nilikua nampenda ila wanavyosema ndoa upangwa na Mungu ndo maana tulipoteana.
'ule msemo wa kwamba ukioa mwanake ambaye sio bikra ujue umechukua mzigo wa mtu' bado unahold isee,watukuzwe wanawake walioweza kutunza bikra zao mpaka wakaolewa nazo,najua kila binadamu ana madhaifu yake ila ukioa mwanamke bikra drama kama hizi zinakupitia mbali kabisa,sasa huyu ni kama aameshakubali kutoa papuchi sema anatuzuga tu hapa
 
Jitahidi kulinda kiapo, hakuna jipya na unaifahamu tayari
 
Namuonea huruma mume wako maana soon utachepuka.
Halafu kama umeolewa na uliapa kutomsaliti kwanini uruhusu huko kuchat hadi umeishaanza kumpenda?
 
We unatafuta Tu justification ya unachotaka kukifanya so far moyo Wako umeshaamua

na unajua nini chakufanya..fwata moyo Wako mamaaa

maisha Ni yako chaguo Ni lako..
 
Habari wapendwa wangu,

Mimi nipo hapa sihitaji ushauri ila nataka niwasimulie kidogo lililonitokee, sababu sijamwambia mtu imenibidi niwadokezee.

Mimi ni mama wa watoto 2 na nimeolewa na ndoa ya kanisani, nina kazi yangu nzuri mshahara ni mzuri, maisha yangu ni mazuri tuna nyumba 2 na mume wangu na kila mtu ana gari yake, ila hapa kisa kilichonikuta ni kama ifuatavyo.

Baada ya Zaidi ya miaka kumi na 4 nimekutana na my first boyfriend, mi nashukuru nyumbani tulikua mambo safi, huyu boyfriend wangu tulikua tunasoma wote S.Africa, mi nilikuja nikaama nikaenda kusoma Canada nikamwacha hapo ila tukawa tunawasiliana kwa ukaribu sana, mwisho wa siku tukapotezana, ila kiukweli nilikua nampenda na nina iman nae alikua ananipenda.

Sasa bwana mwezi uliopita nilikua nina meeting na kampuni moja nikakutana na rafiki yake, du tulifurahi sana, tukapiga story mbili tatu, akaniambia unajua F (jina la boyfriend wangu niliyepotezana nae) alikua anakutafuta sana, tukabadilishana namba, mi sikutaka kumwomba ata namba ya F sababu najua sasa nina familia yangu na nina Imani nae atakua na familia yake.

Mara nafika ofisini mida ya jioni naona namba ngeni inaita, kupokea mara ni mimi mume wako F, nikacheka na tabasamu la furaha. Akaniuliza uko wapi nikamwelekeza ofisi yangu, yeye anaishi Arusha ndo anakofanya kazi, nikamwambia ok , cha kwanza aliniuliza ushaolewa nikamwambia ndio na nina watoto 2, nikamwomba nitampigia baadae sababu nilikua biz kidogo, saa kumi na moja natoka ofisini akanipigia nikaongea nae kwenye gari mpaka nafika nyumbani, tukapiga story nyingi.

Ila siku zinavyozidi kwenda ndo anazidi kutaka kuwa karibu na mimi, mara nikapata parcel ya DHL ina zawadi iliyoambatanishwa na picha ipo katika frame tuliopiga mi na yeye enzi tupo S. Africa kwakweli nilikumbuka mbali, nilipiga simu na kumwambia asante na nimeiweka ofsini kwangu. Ila nami nampenda na alinitamkia nimekupata tena sitegemei kukupoteza tena.

Juzi nimemtumia SMS ndefu nikamweleza ukweli mimi siwezi kuendelea nae sababu mimi nina familia yangu nae ana familia yake, sasa kila mtu achukue time yake, kwakweli kanitumia SMS nyingi sana kaniomba nisifanye ivyo, nimeamua ni mblock kila mahala ila cha kushangaza kanunua laini nyingi kwa ajili yangu nayo nimeblock, anatumia line nyingine, kwa sababu kila navyoendelea kuchati nae namimi nazidi kumpenda.

Ili kuepusha imebidi nifanye hivyo. Sasa jana nimeamka nimewaza mengi sana juu yake na nina mpenda na nikiangalia upande wa mume wangu nae kanitenda sana ila mi sitaki kufanya hivyo sababu wakati wa kufunga ndoa niliungama pale mbele nikasema huyu ndo awe mume wangu mpaka kufa, kwakweli in short alikua chagua langu na nilikua nampenda ila wanavyosema ndoa upangwa na Mungu ndo maana tulipoteana.

We endelea na mumeo tu hamna namna; unafikiri huyu BF anapenda tabia uliyozoea ya kumwingizia mmeo DOLE kwenye TIGOOOooooooo.....
 
Nimeisomaaaaaaa......
Lakini mwisho nimeshindwa kuelewa kwamba nini lengo la kuleta huu uzi.
Sijaona ukiomba ushauri, na sijaona kama kuna jambo limekutatiza.
Zaidi nimeona tu jinsi ulivyo pangilia simulizi, kaupendo kwa X kwambaaali huku nafsi ikikusuta, na kisha ukajifariji kwa vilawama vichaaaaache eti mumeo alikutenda.
 
imeniuma sana hii stori maana naona ndoa inakoelekea ,na hivo umesema mmeo kakutenda sana najua mwishoni utaona hakuna ubaya kuredate na huyo F wako.
 
Habari wapendwa wangu,

Mimi nipo hapa sihitaji ushauri ila nataka niwasimulie kidogo lililonitokee, sababu sijamwambia mtu imenibidi niwadokezee.

Mimi ni mama wa watoto 2 na nimeolewa na ndoa ya kanisani, nina kazi yangu nzuri mshahara ni mzuri, maisha yangu ni mazuri tuna nyumba 2 na mume wangu na kila mtu ana gari yake, ila hapa kisa kilichonikuta ni kama ifuatavyo.

Baada ya Zaidi ya miaka kumi na 4 nimekutana na my first boyfriend, mi nashukuru nyumbani tulikua mambo safi, huyu boyfriend wangu tulikua tunasoma wote S.Africa, mi nilikuja nikaama nikaenda kusoma Canada nikamwacha hapo ila tukawa tunawasiliana kwa ukaribu sana, mwisho wa siku tukapotezana, ila kiukweli nilikua nampenda na nina iman nae alikua ananipenda.

Sasa bwana mwezi uliopita nilikua nina meeting na kampuni moja nikakutana na rafiki yake, du tulifurahi sana, tukapiga story mbili tatu, akaniambia unajua F (jina la boyfriend wangu niliyepotezana nae) alikua anakutafuta sana, tukabadilishana namba, mi sikutaka kumwomba ata namba ya F sababu najua sasa nina familia yangu na nina Imani nae atakua na familia yake.

Mara nafika ofisini mida ya jioni naona namba ngeni inaita, kupokea mara ni mimi mume wako F, nikacheka na tabasamu la furaha. Akaniuliza uko wapi nikamwelekeza ofisi yangu, yeye anaishi Arusha ndo anakofanya kazi, nikamwambia ok , cha kwanza aliniuliza ushaolewa nikamwambia ndio na nina watoto 2, nikamwomba nitampigia baadae sababu nilikua biz kidogo, saa kumi na moja natoka ofisini akanipigia nikaongea nae kwenye gari mpaka nafika nyumbani, tukapiga story nyingi.

Ila siku zinavyozidi kwenda ndo anazidi kutaka kuwa karibu na mimi, mara nikapata parcel ya DHL ina zawadi iliyoambatanishwa na picha ipo katika frame tuliopiga mi na yeye enzi tupo S. Africa kwakweli nilikumbuka mbali, nilipiga simu na kumwambia asante na nimeiweka ofsini kwangu. Ila nami nampenda na alinitamkia nimekupata tena sitegemei kukupoteza tena.

Juzi nimemtumia SMS ndefu nikamweleza ukweli mimi siwezi kuendelea nae sababu mimi nina familia yangu nae ana familia yake, sasa kila mtu achukue time yake, kwakweli kanitumia SMS nyingi sana kaniomba nisifanye ivyo, nimeamua ni mblock kila mahala ila cha kushangaza kanunua laini nyingi kwa ajili yangu nayo nimeblock, anatumia line nyingine, kwa sababu kila navyoendelea kuchati nae namimi nazidi kumpenda.

Ili kuepusha imebidi nifanye hivyo. Sasa jana nimeamka nimewaza mengi sana juu yake na nina mpenda na nikiangalia upande wa mume wangu nae kanitenda sana ila mi sitaki kufanya hivyo sababu wakati wa kufunga ndoa niliungama pale mbele nikasema huyu ndo awe mume wangu mpaka kufa, kwakweli in short alikua chagua langu na nilikua nampenda ila wanavyosema ndoa upangwa na Mungu ndo maana tulipoteana.
Achana nae kabisa kaa mbali nae tena sana,uyo ni sumu utakuja kujuta baadae,mumeo kakutenda lakini uyo atakuwa ni kiruka zaid,jiulize kwanini mpaka leo ajakuwa na mwenza wake,na jiulize kama anae kwanini anataka amtende uyo alie nae?au kama unataka uende ukakigombanie hicho ki firstboyfriend na uyo miss wake,nenda!!!hicho kina taka kukuaribia maisha kionje onje kijidai kimekupenda kuliko mumeo,baadae kikubwage hapo ni baada ya wewe kubwagwa na numeo,na kwa age yako na watoto wawili nafasi zimeisha utabaki kuchezewa na wenye hamu za ghafla,?sasa ushauri wangu,,,,mkimbie kwenye mawasiliano yote kama kilometa mia tisa hivi arafu usijichekeshechekeshe kwake si mtu mzuri huyo kwa familia yako,uliyoijenga kwa ushaid wa mungu na kuijenga mpaka watoto wawili,mwache uyo jamaa aaendelee kula bata mpaka ajifie na magonjwa yake,mungu akulinde
 
Hii ID yako sijui uliwaza nini hadi kujiita dagaa. Mpe tu kwanza tayari picha yenu ya South Afrika umeshaitundika ofisini kwako.
 
To keep the old picture at the office is a sign of love and this will lead you to sex with him many times in future,,,,,,watch out you will regret at a later stage!!!!!!
 
Ndio maana mtu akifikiria kuoa anachoka sababu ni hizihizi tu
 
JF bana,so mumeo mfipa anakusumbua, je 'first boyfriend' amefufuka kwenye bold hapo chini? Kwa hizi threads lazima F wa Arusha ameshakula mzigo dagaa

Wanawake waliopo ndani ya ndoa

Wanaume naomba ushauri wenu make mume wangu simuelewi

Tabia za wanaume wa kifipa (japo niko naye tayari na nampenda)

Mume wangu nampenda sana, lakini...

Mume wangu anawashwa sehemu zake za siri

Kweli ndoa ndoano

msaa wa mawazo tafadhari.

https://www.jamiiforums.com/threads/mume-wangu-simwelewi-na-tabia-hizi.195222/

upload_2016-9-14_18-16-22.png
 
Back
Top Bottom