Polisi jamii
JF-Expert Member
- Mar 22, 2013
- 2,603
- 1,385
AMUOMBE KWANI YEYE MTOTO MDOGO MPAKA ASHINDWE KUEPUKA MAJARIBU HALAFU ANAJIITA MWANAMKE MSOMINi vyema, muombe sana Mungu akupe msimamo.

hawezi kushinda majaribu kwanguvu zake mwenyewe amuombe Mungu pia ajitambue.AMUOMBE KWANI YEYE MTOTO MDOGO MPAKA ASHINDWE KUEPUKA MAJARIBU HALAFU ANAJIITA MWANAMKE MSOMI
Haaaa...Kwa kumkomoa huyo F wee mpe tiGo, hatarudia ng'oooo......uipake mayonnaise wakati unampa
Ushauri muruaDada kuwa makini, kuna dada aliwahi kuwa rafiki yangu. Yeye aliwahi kuishi Australia huko akaanzisha mahusiano n Dr flani mzungu wakawa wanaishi kama mke na mume pasipo ndoa.
Kuna kipindi akarudi huku likizo akiwa anapita posta akakutana na first love wake, wakafurahi na kubadilishana namba alivyorufi australia full simu na kuchat na jamaa bongo.
Mzungu anataka aje tz wafanya process za ndoa dada full vikwazo. Ikafika kipindi akamwambia mzungu aisee nina mtu ninayempenda zaidi yako.
Mzungu akabembeleza mdada akakomaa basi alimwambia poa ila akikuumiza niko tayari kukupokea
Dada akamjibu hawezi niumiza, dada alikuwa anasoma chuo kule akaacha na aliyekuwa analipa ni mzungu yule akarudi tz akatafta chuo akaanza tena mwaka wa kwanza.
Basi akaanza relation upya na first love wake kumbe hakujua jamaa bonge la playboy.
In the end jamaa alimpa mimba na hakumuoa ni kila kitu kikaenda ovyo.
Sasa dagaa kumbuka huyo ana mke na wewe una mume.
Usianze tafta namna ya kumtoa kasoro mumeo ili kujustify kuwa na ex wako.
Maana hizo weakness za muneo mbona haikuwa shida before kukutana na ex.
kwhyo hapo hajitambui??hawezi kushinda majaribu kwanguvu zake mwenyewe amuombe Mungu pia ajitambue.
Ni vyema kama hujitambui,basi angalau tambua thamani ya ndoa.Habari wapendwa wangu,
Mimi nipo hapa sihitaji ushauri ila nataka niwasimulie kidogo lililonitokee, sababu sijamwambia mtu imenibidi niwadokezee.
Mimi ni mama wa watoto 2 na nimeolewa na ndoa ya kanisani, nina kazi yangu nzuri mshahara ni mzuri, maisha yangu ni mazuri tuna nyumba 2 na mume wangu na kila mtu ana gari yake, ila hapa kisa kilichonikuta ni kama ifuatavyo.
Baada ya Zaidi ya miaka kumi na 4 nimekutana na my first boyfriend, mi nashukuru nyumbani tulikua mambo safi, huyu boyfriend wangu tulikua tunasoma wote S.Africa, mi nilikuja nikaama nikaenda kusoma Canada nikamwacha hapo ila tukawa tunawasiliana kwa ukaribu sana, mwisho wa siku tukapotezana, ila kiukweli nilikua nampenda na nina iman nae alikua ananipenda.
Sasa bwana mwezi uliopita nilikua nina meeting na kampuni moja nikakutana na rafiki yake, du tulifurahi sana, tukapiga story mbili tatu, akaniambia unajua F (jina la boyfriend wangu niliyepotezana nae) alikua anakutafuta sana, tukabadilishana namba, mi sikutaka kumwomba ata namba ya F sababu najua sasa nina familia yangu na nina Imani nae atakua na familia yake.
Mara nafika ofisini mida ya jioni naona namba ngeni inaita, kupokea mara ni mimi mume wako F, nikacheka na tabasamu la furaha. Akaniuliza uko wapi nikamwelekeza ofisi yangu, yeye anaishi Arusha ndo anakofanya kazi, nikamwambia ok , cha kwanza aliniuliza ushaolewa nikamwambia ndio na nina watoto 2, nikamwomba nitampigia baadae sababu nilikua biz kidogo, saa kumi na moja natoka ofisini akanipigia nikaongea nae kwenye gari mpaka nafika nyumbani, tukapiga story nyingi.
Ila siku zinavyozidi kwenda ndo anazidi kutaka kuwa karibu na mimi, mara nikapata parcel ya DHL ina zawadi iliyoambatanishwa na picha ipo katika frame tuliopiga mi na yeye enzi tupo S. Africa kwakweli nilikumbuka mbali, nilipiga simu na kumwambia asante na nimeiweka ofsini kwangu. Ila nami nampenda na alinitamkia nimekupata tena sitegemei kukupoteza tena.
Juzi nimemtumia SMS ndefu nikamweleza ukweli mimi siwezi kuendelea nae sababu mimi nina familia yangu nae ana familia yake, sasa kila mtu achukue time yake, kwakweli kanitumia SMS nyingi sana kaniomba nisifanye ivyo, nimeamua ni mblock kila mahala ila cha kushangaza kanunua laini nyingi kwa ajili yangu nayo nimeblock, anatumia line nyingine, kwa sababu kila navyoendelea kuchati nae namimi nazidi kumpenda.
Ili kuepusha imebidi nifanye hivyo. Sasa jana nimeamka nimewaza mengi sana juu yake na nina mpenda na nikiangalia upande wa mume wangu nae kanitenda sana ila mi sitaki kufanya hivyo sababu wakati wa kufunga ndoa niliungama pale mbele nikasema huyu ndo awe mume wangu mpaka kufa, kwakweli in short alikua chagua langu na nilikua nampenda ila wanavyosema ndoa upangwa na Mungu ndo maana tulipoteana.
ni vyema sana mkuuNdio mi msomi.....
ww sio msomi nina mashaka na chuo ulichosoma ulikuwa unasindikiza tuNdio mi msomi.....
dagaa malaya haachi asiliHabari wapendwa wangu,

Kashaliwa tayari, mwanamke mpumbavu huvunja ndoa kwa mikono yake mwenyewe.To keep the old picture at the office is a sign of love and this will lead you to sex with him many times in future,,,,,,watch out you will regret at a later stage!!!!!!
Wanawake wa sasa ni majanga ya kitaifa, Nina watoto wanne wa kiume, nawaza wakifika umri wa kuoa watapata wenza wapo katika mazingira ngani? Ee bwana uwaepushie majanga haya.Ndio maana mtu akifikiria kuoa anachoka sababu ni hizihizi tu
MMU bhana inashida sana
watu mnapekenyua na kudukua duhJF bana,so mumeo mfipa anakusumbua, je 'first boyfriend' amefufuka kwenye bold hapo chini? Kwa hizi threads lazima F wa Arusha ameshakula mzigo dagaa
Wanawake waliopo ndani ya ndoa
Wanaume naomba ushauri wenu make mume wangu simuelewi
Tabia za wanaume wa kifipa (japo niko naye tayari na nampenda)
Mume wangu nampenda sana, lakini...
Mume wangu anawashwa sehemu zake za siri
Kweli ndoa ndoano
msaa wa mawazo tafadhari.
https://www.jamiiforums.com/threads/mume-wangu-simwelewi-na-tabia-hizi.195222/
View attachment 400176
MAAAMUZI NI YAKO, SISI TUTAKUPA USHAURI; KAMA UNA NIA YA DHATI KABISA KUACHANA NAYE KWANZA ONDOA HUO UJINGA ETI BADO NAMPENDA. PILI MSHIRIKISHE MUMEO HARAKA IWEZEKANAVYO KABLA HAJAJUA YEYE...UKISUBIRI AANZE YEYE KISHA UJE UTOE UTETEZI UTAKUWA TAYARI UMEHARIBIKIWA. KILA MTU ANA NYOTA NA MWENZAKE HILO ULIJUE, ANA MAISHA YAKE NA WE UNA MAISHA YAKO. HILO NDO LA MSINGI ILIYOBAKI NI HISTORIA.Habari wapendwa wangu,