Nimekuta uchafu na usaliti kwenye simu yake

Nimekuta uchafu na usaliti kwenye simu yake

Alaaa!! Ndo pale pale anaonekana keshawahi kutoa kwa wengine!! Inshort huyu demu kimeo kwa asilimia 100! Sioni sababu ya kuendelea kung'ang'ani! Mbn mimi sipo ivo aisee sijuagi kabisa kubembelezwa na demu ambaye afike robo tu ya upuuzi kama huo!! Mademu wenye heshima zao wapo kibao!! Halafu sisi wanaume pia tunasaliti lakini mademu tuvumilieni tu!! Sisi tuna midadi mingi msishtuke kiviiiile[emoji15] [emoji15]
sawa mkuu ushauri mzuri ila sijui nianzie wapi
 
Kumbuka pesa ilimuuza Yesu

Kikubwa tu hapo kidume mwenzangu hapo umeshavuliwa nguo huna budi kuchutama.
Mwache aende umalizie masomo yako kwa amani kabisa.
asante sana mkuu
 
Wee unashika simu ya Demu wakoo unapekua ulitegemea ukute Maombi au..??? Achaa ujingaa wew...Ukitaka kumla bataa usimchunguze... NITAPEKUA SIMU YA MKE WANGU TU IKIBIDI..
[emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Mku.d. wako simu yake uliikagua ya nn. Omba ushauri kwa akili zilizokutuma ukague simu.
 
Wee unashika simu ya Demu wakoo unapekua ulitegemea ukute Maombi au..??? Achaa ujingaa wew...Ukitaka kumla bataa usimchunguze... NITAPEKUA SIMU YA MKE WANGU TU IKIBIDI..
Tuliza boli mkuu kuna vitu unatakiwa ushtuke mapema! Hasa ukiangalia alikuwa tayari keshamuweka katika kundi la wife material
 
Wee unashika simu ya Demu wakoo unapekua ulitegemea ukute Maombi au..??? Achaa ujingaa wew...Ukitaka kumla bataa usimchunguze... NITAPEKUA SIMU YA MKE WANGU TU IKIBIDI..
sipendagi kushika simu ya mpnz wangu ila jana ilinibid tu
 
Tuliza boli mkuu kuna vitu unatakiwa ushtuke mapema! Hasa ukiangalia alikuwa tayari keshamuweka katika kundi la wife material
Wife material...?????? haya baba ilaa ukiendelea hivyo hujikuoa maana hao viumbe hawana tofauti
 
sawa mkuu ushauri mzuri ila sijui nianzie wapi
Pa kuanza mkatie laini tu ikiwezekana ata jisingizie maradhi kuwa umetembea na mtu mwengine aloathirika siku ya pili baada ya kumgonga mara ya mwisho huyo demu wako!! Ili tu aache kukushobokea nawe uishi kwa amani!! Wanazingua sana hawa na ukifanya mchezo anaharibu malengo yote ya maisha yako
 
Back
Top Bottom