Nimekuta uchafu na usaliti kwenye simu yake

Nimekuta uchafu na usaliti kwenye simu yake

Mtoe wasiwasi. ...mwambie unajua kila kitu. ..ungependa kusikia anasemaje? Najua atajitetea lakini atambue kosa, kama unampenda bado. ..muanze upya msahau yaliyopita, Ila weka onyo ikitokea tena hakuna msamaha, utoto utakuwa unamsumbua.
dah!yani mkuu wewe peke ako ndiye umetoa ushauri wa kumhurumia hyu binti
 
Achana nae Mkuu, kwnn ujitese wakati wanawake wapo wengi.
Mwambie ukweli alafu piga chini OVER
 
Tell her truth and the truth will mak3 u free..
 
Wakuu habari..Jana nilipigwa na bumbuwazi baada ya kushuhudia msichana niliyekuwa nategemea awe mke wangu akinisaliti..ilikua hv
Me nipo chuo hapa dar na ninakaa geto.Huyo dem wang anasoma mkoani so akaja town kunisabahi kama wiki hivi.Tunaishi vizur huku kila siku akichezea dushe za kutosha.Jana usiku tukiwa bed kuna jamaa akapga smu wakaongea dk. kadhaa.Alipomaliza kuongea nikatoka nje kupoteza stress,niliporudi nikakuta amelala nikachukua smu yake nifanye uchunguzi.Nikaenda nayo nje nikatoa lock nikaanza kufatilia convo. watsap na jamaa..nilichokikuta nikajikuta natetemeka na kubaki mdomo wazi.Kuna videos inaonekana alikua amamtumia jamaa huyo aliyekua anaongea nae akijichua kwa vidole na mswaki pia wamekutana na wamesex,hadi akamuahid kumpa tigo.Nikafatilia kuna jamaa mwingine pia alikua anamega,nilichoka.Nilipomaliza nikarudisha smu yake nikakaa nje.Kumbe alikua anaona mchezo mzma akaja akanifata akaniuliza vp kuna nini?nikamwambia hakuna kitu,akauliza simu yake usiku nlichukua ya nin?nikamwambia kwani ni vibaya me kuchukua simu yake!basi toka ile jana sijamwambia chochote kuhusu nlichokikuta kwenye simu na sijaonesha dalili yoyote ya kua tofauti.Anajifanya kuomba msamaha et anajua amekosea me najifanya sielewi chochote kuhusu hlo swala.Mambo mengine nimeacha ili kufupisha stor.
MNANIPA USHAURI GANI WANA MMU!
Jaribu kuish mwenyewe uwe huru na uepukane na hayo mambo hawa Dada zetu Siku hizi kutuma picha na video kama hizo ishakuwa kawaida kimsing kama unahitaji kuish maisha yenye amani kuwa single boi tuu la sivyo utapata shida sana ndugu
 
Nikikuita boya mwanaume mwenzangu ntakukosea,plz lala mbele pia kumbuka kupima mpwa wanatoaga peku hao
 
huyo kiboko mpk mswaki na kulivyo laini kule

endelea kukaa kimya siku utakuta video anajifanya na tango
 
Jaribu kuish mwenyewe uwe huru na uepukane na hayo mambo hawa Dada zetu Siku hizi kutuma picha na video kama hizo ishakuwa kawaida kimsing kama unahitaji kuish maisha yenye amani kuwa single boi tuu la sivyo utapata shida sana ndugu
kweli kabisa ndugu yangu ila nataka niwe playboy
 
Simu ya mpenzi wako kitunguu... ila kumbuka siku zote women cheat for love but men cheat just for sex... be care, be cautioned, may be kuna kitu hukitimizi vizuri
 
Huwa hawaeleweki hawa viumbe,usijikute we ndo mwenyewe.pengine we ndo mwizi.
 
Back
Top Bottom