Nimekuta uchafu na usaliti kwenye simu yake

Nimekuta uchafu na usaliti kwenye simu yake

Sasa ushauri wa nini hapo. Mweleze ukweli kisha piga chini aondoke.


Tahadhari; mpe mtoto wa watu nauli ya kurudi kwao.
Tafadhali mpe mtoto nauli ya kurudi kwao[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
tigo hajamla ila alimuahidi atampa
Alaaa!! Ndo pale pale anaonekana keshawahi kutoa kwa wengine!! Inshort huyu demu kimeo kwa asilimia 100! Sioni sababu ya kuendelea kung'ang'ani! Mbn mimi sipo ivo aisee sijuagi kabisa kubembelezwa na demu ambaye afike robo tu ya upuuzi kama huo!! Mademu wenye heshima zao wapo kibao!! Halafu sisi wanaume pia tunasaliti lakini mademu tuvumilieni tu!! Sisi tuna midadi mingi msishtuke kiviiiile[emoji15] [emoji15]
 
nilishawahi mzingua mara kibao tuachane ila amekua mgumu anajifanya ananipenda sana na hawezi bila mm,kiuchumi kwao! wapo vizuri kiasi
Kumbuka pesa ilimuuza Yesu

Kikubwa tu hapo kidume mwenzangu hapo umeshavuliwa nguo huna budi kuchutama.
Mwache aende umalizie masomo yako kwa amani kabisa.
 
Simu ya mpenzi wako kitunguu... ila kumbuka siku zote women cheat for love but men cheat just for sex... be care, be cautioned, may be kuna kitu hukitimizi vizuri
ni kweli lakini,mana kuna kipindi nilikuaga nampotezea kabisa
 
Unataka kuniambia mapenzi ya dar to arusha hayadumu ??? I mean long distance
 
Wee unashika simu ya Demu wakoo unapekua ulitegemea ukute Maombi au..??? Achaa ujingaa wew...Ukitaka kumla bataa usimchunguze... NITAPEKUA SIMU YA MKE WANGU TU IKIBIDI..
 
Hiz ni tabia za ki advance na first year.. ilikuwa ukiwa na mtoto wa kishuwa unajisifu balaa na unaonekana jembe.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ndio mleta mada
 
Back
Top Bottom