Nimekuta uchafu na usaliti kwenye simu yake

Nimekuta uchafu na usaliti kwenye simu yake

Pa kuanza mkatie laini tu ikiwezekana ata jisingizie maradhi kuwa umetembea na mtu mwengine aloathirika siku ya pili baada ya kumgonga mara ya mwisho huyo demu wako!! Ili tu aache kukushobokea nawe uishi kwa amani!! Wanazingua sana hawa na ukifanya mchezo anaharibu malengo yote ya maisha yako
sawa mkuu nitajitahidi
 
Unakaa na bomu ndani ambalo ni lakutega alafu unashuhudia dakika zinazidi kuyoyoma linakaribia kulipuka alafu unajiuliza nikimbie au nizidi kuliangalia, vitu vingine vya kujiongeza tu Mkuu
 
Sasa ushauri wa nini hapo. Mweleze ukweli kisha piga chini aondoke.


Tahadhari; mpe mtoto wa watu nauli ya kurudi kwao.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] Asije akafanya Kama Yule Jamaa Wa moro
 
[emoji3] [emoji3] you made my day..OK anyway
Vizuri kama atleast umecheka katika majanga.

Usichukulie serious ila kuwa makini. Ukiona mpaka hayo ndo uliyoyajua jiulize mangapi yako nje ya uwezo wako wa kupekua.

Cheka ila kuwa makini. Na nnajua uamuzi wa kuchukua unao tayari moyoni mwako unajua nini cha kufanya.kifanye usijidanganye kuwa kuna mabadiliko yatatokea kimiujiza
 
mm niko nae hui zaidi ya mwaka wa nne na kubadilika kaanza baada ya kwenda chuo,kwahyo mm ndye mmilik halali
Unaweza kuwa namba moja baadae ukashuka no 3 au ukashuka Hata ligi [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Unakaa na bomu ndani ambalo ni lakutega alafu unashuhudia dakika zinazidi kuyoyoma linakaribia kulipuka alafu unajiuliza nikimbie au nizidi kuliangalia, vitu vingine vya kujiongeza tu Mkuu
sawa mkuu lakini mm naweza kuwa chanzo
 
Back
Top Bottom