[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wee ni....
Sasa uchumi wa kwao unakuhusu nini wewe? Kwa hiyo umeolewa sio
Sipendi nauli.....ila namhurumia binti wa watu asijetelekezwa mjini.Unapenda nauli wewe.... haya taja namba nikurushie ukachukue vya baridi hapo kona bar
Yeah ndiyo maana nikatahadharisha mapema kabisaSipendi nauli.....ila namhurumia binti wa watu asijetelekezwa mjini.
Mmmh! Hujaamua kumwachahyu dem nimemiacha zaidi ya Mara 4 ila haachiki
[emoji3] [emoji3] una mitego weweBro sorry nami naomba ushauri Kidogo, Hapa mfukoni nina shilingi elfu ishirini na saba ni hela zangu Hizi alafu nina njaa balaa maana tangu ninywe chai kavu asubuhi sijala hadi Saa Hizi. Sasa Nipo mjini huku naona Kuna vibanda vya chips na mahoteli kibao, naomba ushauri Wako bro nifanyeje asee, njaa inauma hasa yaani
umeona e!huyu demu had maza alikua annamtambua
tigo hajamla ila alimuahidi atampaAcha nae huyo demu malaya, hafai kabisa kuwekwa kwenye ndoa!! Isitoshe jamaa kala hadi tigo halafu bado unadai ushauri!! Wew ulipopata panatosha na ukiendelea kuwa naye huyo demu mwenyewe atakuona bwege kweli