Nimekuta mke wangu ana maongezi ya kimapenzi na mwanaume kwenye simu yake

Hii kauli rahisi sana kusema mkiwa mnaishi kisela


Ikishafikia hatua mna watoto 2+ plus, wazazi wa pande mbili washakuwa ndugu

Umezoea jioni watoto na wife kukupokea then haraka haraka uje usaliti then haraka haraka break up inaumiza hakuna mfano

Unawaza watoto wanaenda shule na bashasha kwasababu ya uwepo wa good parenting

Askimbie mtu inauma kuona watoto hawana furaha

Tulio kwenye ndoa tunajua haya

Miaka ya uharibifu kwenye ndoa ni 20s to 55

Nakuombea kijana Mungu akutie nguvu

Sikwambii umwache ila mwanamke mwaminifu anajulikana soma meseji neno kwa neno ujue km ameshawishiwa au yeye ndio ameamua kutoka kwenye mahusiano yenu
Ubarikiwe
 
Wakuu habari.
Imeniuma saana, na tayari wanalove desire, mbaya zaidi tunamtoto ni mgonjwa anahitaji uangalizi wa mama. Naombeni ushauri, napitia hali ngumu saaana. Nifanyaje

Mbarikiwe
broo mimi sijui nakuwaga na moyo gani huwa mavitu hayo sisamehi kabisa hata kikifanyika kikao cha ukoo mzima. by the way ongea nae mchane wazi utoe mzigo moyoni na pia mpate mwafaka wa hatima ya afya na mtoto, angalia wapi ulipwaya pia.
 
Mkuu, pole sana.
Usifanye uamuzi wowote kuanzia hivi sasa juu ya hatma yenu, kaa chini utafakari kisha muweke chini mkeo mzungumze.

Muulize kwa utaratibu bila hasira ni nini kilichopelekea yeye kufanya hivyo?
Akikujibu utapima mwenyewe, akionesha kujutia na kukuhitaji msamehe na kumkanya, otherwise amua mwenyewe.
Hakuna mwanamke anacheat kwa bahati mbaya, what to do mwambie akupishe nyumbani uleta shangazi ama ajiri mama wa kuhudumia mtoto ama mpe mama aende na mtoto
 
Back
Top Bottom