AmiinHaya mambo ni magumu sana.
Sisi tulio kwenye ndoa MUNGU atusaidie, kuna mitihani ni pasua kichwa na inahitaji busara, maarifa na hekima kuitatua.
Sina neno ila Mungu mkuu akutie ujasiri wa kuliendea hilo.
Shukran mkuuUyo sio mke ulioa joka lakibisa pambania malengo tayo uyo ishinae kinafiki moka mtoto atakapo kua ila na wewe tafuta mwanamke mwingine anaejielewa full stop
UbarikiweHii kauli rahisi sana kusema mkiwa mnaishi kisela
Ikishafikia hatua mna watoto 2+ plus, wazazi wa pande mbili washakuwa ndugu
Umezoea jioni watoto na wife kukupokea then haraka haraka uje usaliti then haraka haraka break up inaumiza hakuna mfano
Unawaza watoto wanaenda shule na bashasha kwasababu ya uwepo wa good parenting
Askimbie mtu inauma kuona watoto hawana furaha
Tulio kwenye ndoa tunajua haya
Miaka ya uharibifu kwenye ndoa ni 20s to 55
Nakuombea kijana Mungu akutie nguvu
Sikwambii umwache ila mwanamke mwaminifu anajulikana soma meseji neno kwa neno ujue km ameshawishiwa au yeye ndio ameamua kutoka kwenye mahusiano yenu
Sawa mkuuAnatokea mjinga mmoja anakwambia usishike Simu ya mkeo.. Utaishi na malaya ndani anayeitwa mke.
Ushauri wangu msemehe, asipojirekebisha fukuza.
bLessedMuite kikao akiri mbele Yako na familia au viongozi wa dini mpe last warning.
Sometimes tunaishi nao Kwa ajili ya watoto wanakuwa na akili wakishaachika
Wake zenu ni wajanja Mimi wa kwangu hata whatsup tu hajui kujiunga.Lakini Malaya achungiki hata ukae na simu yake.
Anaweza chat hata kwa messenger au telegram au email au akifika home TU ana delete kila kitu
broo mimi sijui nakuwaga na moyo gani huwa mavitu hayo sisamehi kabisa hata kikifanyika kikao cha ukoo mzima. by the way ongea nae mchane wazi utoe mzigo moyoni na pia mpate mwafaka wa hatima ya afya na mtoto, angalia wapi ulipwaya pia.Wakuu habari.
Imeniuma saana, na tayari wanalove desire, mbaya zaidi tunamtoto ni mgonjwa anahitaji uangalizi wa mama. Naombeni ushauri, napitia hali ngumu saaana. Nifanyaje
Mbarikiwe
NoWewe toka umeoa ulishawahi kuchepuka japo mala moja mkuu ?
Hakuna mwanamke anacheat kwa bahati mbaya, what to do mwambie akupishe nyumbani uleta shangazi ama ajiri mama wa kuhudumia mtoto ama mpe mama aende na mtotoMkuu, pole sana.
Usifanye uamuzi wowote kuanzia hivi sasa juu ya hatma yenu, kaa chini utafakari kisha muweke chini mkeo mzungumze.
Muulize kwa utaratibu bila hasira ni nini kilichopelekea yeye kufanya hivyo?
Akikujibu utapima mwenyewe, akionesha kujutia na kukuhitaji msamehe na kumkanya, otherwise amua mwenyewe.
😂 aisee hii mbinu nitaiapplyAndaa Mchezo wa kupigana na mito we wk eka nyundo
Pole sana ila namuombea mtoto uponyaji kwa jina la MUNGU aliye hai. Nakushauri usiende kwenye hitimisho Moja kwa mojaWakuu habari.
Imeniuma saana, na tayari wanalove desire, mbaya zaidi tunamtoto ni mgonjwa anahitaji uangalizi wa mama. Naombeni ushauri, napitia hali ngumu saaana. Nifanyaje
Mbarikiwe
Kama ni Muislam ningekushauri umlambe talaka tu. Akaendeleze mapenzi yake na ampendae.Wakuu habari.
Imeniuma saana, na tayari wanalove desire, mbaya zaidi tunamtoto ni mgonjwa anahitaji uangalizi wa mama. Naombeni ushauri, napitia hali ngumu saaana. Nifanyaje
Mbarikiwe
Kabeeesa
NoWewe ni askari ?
na huyo anae chati na mke wako namba yake inaishia 46?