Kumbe ni wewe uliyepotea na hela yangu? Nilishangaa sana kukuta akaunti yangu haina kitu wakati siku kama mbili hivi niliweka 74,600,000/= Nakuomba mkuu uende benki haraka sana ukarudishe hiyo hela!Naombeni msaada tafadhari!
mauza uza haya nilianza kuyaona mwezi wa nne nilipokuwa nataka kusafiri kwenya Italia, kwa kuwa card yangu ya CRDB ilikuwa ni Tembo card na siku renew niliamua kwenda kuactivate account yangu ya STANDARD CHARTERD bank ambayo awali ilikuwa na deni la kama -63700. nilifanya hivi makusudi ili nipate card mpya (credit card) ntakayotumia Italia
nilipofika benk nilijaza kwanza form ya kuangalia salio na kumpatia CASHIER ambapo aliangalia balance akajaza akanirudishia nikakuta 765,000 nikashtuka kidogo, afu nikataka kuuliza nikaona ngoja niuchune, nikaaa pale benk nikiwaza baadae nikaondoka zangu. kwa kuwa nilikuwa na hela sikudeal nayo sana ile hela. baada ya kama wiki nikaona nikacheck tena salio nikakuta 735000 nikaona nitoe 50000 kutest na kweli zikatoka nikatulia. nikasafiri zangu
sasa juzy tar 02 nikasema ngoja niende ATM nikaangalie kama ile hela ipo, ile kuomba balance kwa ATM nikaona imenitolea karatasi inaonyesha salio 74,549,940.36, nikachanganyikiwa! sikutoa hata shilingi nikaogopa. leo tena nimeenda pale mikocheni nimeangalia salio nimelikuta hilo hilo duu nimechanganyikiwa na naogopa hebu nisaidieni nifanye nini na hizi hela
niende police?
nikariport bank?
niuchune nitumie?
usiicheleweshe tafuna hakuna ushahidi apoeti eeeh! kumbe basi nami ngoja nisubiri subir
Hakuna kitu kama icho una kiasi hicho benk unakumbuka kuweka hadi madoido ya rangi kwenye uzi.!.....mashaka mashakaniNaombeni msaada tafadhari!
mauza uza haya nilianza kuyaona mwezi wa nne nilipokuwa nataka kusafiri kwenya Italia, kwa kuwa card yangu ya CRDB ilikuwa ni Tembo card na siku renew niliamua kwenda kuactivate account yangu ya STANDARD CHARTERD bank ambayo awali ilikuwa na deni la kama -63700. nilifanya hivi makusudi ili nipate card mpya (credit card) ntakayotumia Italia
nilipofika benk nilijaza kwanza form ya kuangalia salio na kumpatia CASHIER ambapo aliangalia balance akajaza akanirudishia nikakuta 765,000 nikashtuka kidogo, afu nikataka kuuliza nikaona ngoja niuchune, nikaaa pale benk nikiwaza baadae nikaondoka zangu. kwa kuwa nilikuwa na hela sikudeal nayo sana ile hela. baada ya kama wiki nikaona nikacheck tena salio nikakuta 735000 nikaona nitoe 50000 kutest na kweli zikatoka nikatulia. nikasafiri zangu
sasa juzy tar 02 nikasema ngoja niende ATM nikaangalie kama ile hela ipo, ile kuomba balance kwa ATM nikaona imenitolea karatasi inaonyesha salio 74,549,940.36, nikachanganyikiwa! sikutoa hata shilingi nikaogopa. leo tena nimeenda pale mikocheni nimeangalia salio nimelikuta hilo hilo duu nimechanganyikiwa na naogopa hebu nisaidieni nifanye nini na hizi hela
niende police?
nikariport bank?
niuchune nitumie?
....hahaaDuuuuuh seriously hebu nitafute mkuu tujue cha kufanya.
Duh,sijui na mimi nihamie CRDB?
umeua mkuu! ndoto hufanana, niliwahi kuota nimeokota kikapu kimejaa noti ile nagutuka asubuhi sikuamini hadi nilizama uvunguni kukitafuta. kumbe hisia za sadaka kanisani. acha buana ndoto zinatesa kisaikolojiaripot bank usije fungwa bure huko mbelen
lakin hii stori tamu
umenikumbusha enzi zile za utoto nilitamani sana ndege ya WORLD BANK ianguke nje ya nyumba yetu
hahahaa wakati huo umesha weka kiwanja sehemu nyeti hapo dodoma kusubiri serikali ihamie dodoma ujenzi wa nyumba uanze maramojaWatoto wa Kishua ndo mnaomba ushauri wa kijinga humu. Ndege kajileta mwenyewe bandani kwanini usimtafune ? million 70's zingeingia kwangu Leo kesho ningekuwa Ruhaa Mbuyuni na Mang'ola kufanya yangu.