Nimekuta 74,549,940.36 kwenye account yangu

Ni mgao wako kutoka tegeta escrow. Wenzio walibeba kwenye viroba na sandarusi we umewekewa kwenye akaunti zitafune tu hamna kesi hapo wala Mahakama ya mafisadi tuko busy kuhamia Dodoma


ahsante
 
Kama hiyo hela si yako usiitumie. Ni suala la muda watajua walikosea wapi. Utailipa tu. Heri uwaambie mapema.
Inakuaje wakosee Wao alafu alipe aliyeingiziwa pesa, km makosa si wamefanya WAO bn
 
duu hapa nimeshindwa nifanye nini ndugu yangu! naona bora nikae kimya kama sijaziona hata upite mwaka mzima, milion 70 mkuu?? nikariport
sasa umekuja kuomba ushauri au umekuja kutuambia tujue?
 
Kitendo cha kutaja idadi ya pesa na jina la benki kinaonyesha wazi kuwa eidha hii ni story ya kutunga au wewe ni juha wa mwisho unayeweza kujisnitch mwenyewe,on the internet
 
duu hapa nimeshindwa nifanye nini ndugu yangu! naona bora nikae kimya kama sijaziona hata upite mwaka mzima, milion 70 mkuu?? nikariport
Makosa ya jinai huongozwa na kitu kinaitwa nia ovu. Hivyo kitendo cha kuchukua pesa hiyo huku ukijua siyo yako hilo ni kosa la jinai coz ulikuwa na nia ovu hivyo wewe ni mhanga wa sheria. Huna sababu ya kwenda polisi bali toa taarifa bank husika wao watafuatilia kujua hiyo pesa imeingizwaje ktk acc yako.
 
Naombeni msaada tafadhari!

Mauza uza haya nilianza kuyaona mwezi wa nne nilipokuwa nataka kusafiri kwenya Italia, kwa kuwa card yangu ya CRDB ilikuwa ni Tembo card na siku renew niliamua kwenda kuactivate account yangu ya STANDARD CHARTERD bank ambayo awali ilikuwa na deni la kama -63700. nilifanya hivi makusudi ili nipate card mpya (credit card) ntakayotumia Italia

Nilipofika benk nilijaza kwanza form ya kuangalia salio na kumpatia CASHIER ambapo aliangalia balance akajaza akanirudishia nikakuta 765,000 nikashtuka kidogo, afu nikataka kuuliza nikaona ngoja niuchune, nikaaa pale benk nikiwaza baadae nikaondoka zangu. kwa kuwa nilikuwa na hela sikudeal nayo sana ile hela. baada ya kama wiki nikaona nikacheck tena salio nikakuta 735000 nikaona nitoe 50000 kutest na kweli zikatoka nikatulia. nikasafiri zangu

Sasa juzi tar 02 nikasema ngoja niende ATM nikaangalie kama ile hela ipo, ile kuomba balance kwa ATM nikaona imenitolea karatasi inaonyesha salio 74,549,940.36, nikachanganyikiwa! sikutoa hata shilingi nikaogopa. leo tena nimeenda pale mikocheni nimeangalia salio nimelikuta hilo hilo duu nimechanganyikiwa na naogopa hebu nisaidieni nifanye nini na hizi hela

Niende police?
Nikariport bank?
Niuchune nitumie?
chukua tu ni za freemasons
 
Mi nishaipiga ya hivyo.. Nilikuta laki saba na upuuz.. Nikaomba bank statement, nikapewa. Nikauliza hii transaction imetokea wapi wao wakajibu ni mshahara wangu wa kila mwezi na inaonesha kuwa kuna kampuni inanilipa mshahara... So nikavunga tu, na kwa hasira nikaongezea kwa visent vyangu nikanunua kiwanja
 
Back
Top Bottom