Nimekunywa sumu bahati mbaya sijui

Nimekunywa sumu bahati mbaya sijui

wivu wa mapenzi acha binti yangu
tutakuzika na uzuri wako wote utaondoka nao.
 
thax luv nashukuruni wote mnaoniombea nipone,kwa wale wanaoombea niwe kwenye sanduku watasubiri sana
We mwenyewe umejiombea uwe kwenye sanduku.... Nakunukuu' rip me' mwisho wa kunukuu.


Hakuna anaekuombea uwe kwenye sanduku manake hakuna atakayefaidika na chochote kutoka kwako!..

Umemaliza kutapishwa?
 
Nimeambiwa nilale naogopa jamani naweza kulala ndo ivo nisiamke tena.sifungi jicho leo
balaa gani hili jamani?
 
Nina mshkaji wangu anafanya kibarua cha kuchimba makaburi, ukiambiwa hautibiki tena nishtue nimpasie jamaa ulaji.
 
Nina mshkaji wangu anafanya kibarua cha kuchimba makaburi, ukiambiwa hautibiki tena nishtue nimpasie jamaa ulaji.
Nimeambiwa nilale naogopa jamani naweza kulala ndo ivo nisiamke tena.sifungi jicho leo
balaa gani hili jamani
 
Nimeambiwa nilale naogopa jamani naweza kulala ndo ivo nisiamke tena.sifungi jicho leo
balaa gani hili jamani
Usiogope sana, utaonana na whitney houston laivu wakati sisi huku hatuna nafasi ya kumuona
 
wa nini bwana,?mimi sitanii mwenzenu .nifanyeje kaka
Hivi unazani mimi natania? Chechniya jamaa sita walijiuwa kilipotangazwa kifo cha whitney, wamesema wanamfata. Wewe cha kufanya sasa hivi nipatie account details zako espesheli za credit card ili nikazitolee sadaka malaika wakupokee kwa shwangwe na vigelegele.
 
hivi unazani mimi natania? Chechniya jamaa sita walijiuwa kilipotangazwa kifo cha whitney, wamesema wanamfata. Wewe cha kufanya sasa hivi nipatie account details zako espesheli za credit card ili nikazitolee sadaka malaika wakupokee kwa shwangwe na vigelegele.
nina m kumi tu till now na mkopo ndo ulikuwa unatoka wiki hii
 
Back
Top Bottom