Nimekunywa sumu bahati mbaya sijui

Nyie huyu anasema ukweli au vipi kwa nini watu wanajibu kwa utani?

Kweli mtu anaweza kukaa chini na kudai kanywa sumu bahati mbya na wengine kuleta utani kama watu finyu juu wasio na mbele wala nyuma.

Natumaini unaendelea vizuri mgonjwa.
 
ndo nawai regency niombeeni mimi
kama nitapona nitawaeleza ilivokuwa niombeeni
rip me

sasa km umekunywa sumu,nguvu umepata wapi za kupost hii thread yako,na kucommemt,?..km kweli pole,but kuna utata ndani yake.
 
Una bahati mgomo wa madaktari umeisha.
Maana referral lazima maskani hapa Muhimbili tuu.
Kama kuna haja ya kufanyiwa upausuaji ni PM fasta.
 
Smile bana, wacha mchezo wako huo! Unajua ukikufa na mimi nitakufa?
Tafadhali niambi ulikuwa unatania tu, hata hivyo utani mwengine....
 
Ndo napimwa hapa jamani nina nguvu kidogo bado
 
Kama bahati mbaya pole na wahi kwa hospital upone. Usifanye tena uzembe sumu inaua.
Kama ulikusudia pona haraka ukashitakiwe kwa mujibu wa sheria
 
haiui haraka hiyo sumu bwana usijali utakufa taratibuu baada ya miaka 50 ijayo!
 
Smile acha hz,waswahili husema mdomo huumba.

sad thing wewe unajua aina zote za sumu na zinafanyaje kazi mwilini?

watu wengine hamna kazi shuti kubisha mamba wengine hawafanyii mchezo basi tu muandike, kua.

wewe na wenzako mnaoleta utani kwenye jambo hili.

pumba ziimewajaaaa
 
Back
Top Bottom