Nimekunywa sumu bahati mbaya sijui

una bahati mgomo wa madaktari umeisha.
Maana referral lazima maskani hapa muhimbili tuu.
Kama kuna haja ya kufanyiwa upausuaji ni pm fasta.
nilienda store kunakazi nilikuwa naenda kufanya huko muda mrefu ,nilikuwa na maji chupa ya kilimanjaro
store ni kubwa kuna table nyingi sasa kuna time nikawanimeeenda upande wa pili nilivorudi nikajiskia kunywa maji nilivoweka mdomoninikajiskia kama sio maji yale niliokuwa nakunywa vile
nikiwa najiuliza nikaona ile chupa nilokuwa naitumia ,lakininilishameza yale maji mama yangu weenakufa mwenzenu
 
a little serious na povu kidogo

Smile nimeanza kushindwa kukuelewa aisee.... what is going on?? maana ilikua ya shule, ikaja ya kula sasa sumu!! are you ok dude??
 
Pole sana,
die slow slow basiiii...

Ushafika hospitali???

nilienda store kunakazi nilikuwa naenda kufanya huko muda mrefu ,nilikuwa na maji chupa ya kilimanjaro
store ni kubwa kuna table nyingi sasa kuna time nikawanimeeenda upande wa pili nilivorudi nikajiskia kunywa maji nilivoweka mdomoninikajiskia kama sio maji yale niliokuwa nakunywa vile
nikiwa najiuliza nikaona ile chupa nilokuwa naitumia ,lakininilishameza yale maji mama yangu weenakufa mwenzenu
 
jaman ajafa tu mi nakodisha maturubai kwa member wa JF 10 PER FREE
VITI 5 PERC FREE KWA MEMBER WA JF ATAKAWAH KUTUTOKA
USAFIRI NI MCHANGO WANGU KULETA VITI NA KURUDISHA NAOMBA
JIBU NDUGU WA KARIBU AJAONDOKA HUYO KWA MSAADA ZAIDI
PM ANYTIME NIKO ON LINE
 
Smile, mizaha mingine ya kutafuta power rep ni kujichulia, km ni kweli yamekukuta pole sana mpendwa.
 
hueleweki< umekunywa sumu ki bahati mbaya au umekunywa sumu makusudi na sasa hutaki ufe?
 
Mbwa wako asipobweka bweka mwenyewe.

Source: kongosho

a.k.a konnie

a.k.a Bishanga's x wife

a.k.a SUKARI ya babu ODM..

a.k.a jf shemale of the year 2011!
 
nilienda store kunakazi nilikuwa naenda kufanya huko muda mrefu ,nilikuwa na maji chupa ya kilimanjaro
store ni kubwa kuna table nyingi sasa kuna time nikawanimeeenda upande wa pili nilivorudi nikajiskia kunywa maji nilivoweka mdomoninikajiskia kama sio maji yale niliokuwa nakunywa vile
nikiwa najiuliza nikaona ile chupa nilokuwa naitumia ,lakininilishameza yale maji mama yangu weenakufa mwenzenu
 
mmmh, utani mwingine usije kuwa uchuro.
We muache ambeep Mungu, atampigia muda sio mrefu na hapo ndio atajua waliosema Mungu si athumani walikuwa wanamaanisha nini!

Hivi konnie mtu unywe sumu kwa bahati mbaya hiyo presha utakayokuwa nayo utakumbuka kweli kukaa chini na kutype? Viatu vyenyewe utakumbuka kuvaa?

Kazi kweli kweli source: Lizzy.
 
nilienda store kunakazi nilikuwa naenda kufanya huko muda mrefu ,nilikuwa na maji chupa ya kilimanjaro
store ni kubwa kuna table nyingi sasa kuna time nikawanimeeenda upande wa pili nilivorudi nikajiskia kunywa maji nilivoweka mdomoninikajiskia kama sio maji yale niliokuwa nakunywa vile
nikiwa najiuliza nikaona ile chupa nilokuwa naitumia ,lakininilishameza yale maji mama yangu weenakufa mwenzenu
Na utu uzima wako umeshindwa kutofautisha ladha ya sumu na maji? Inamana hicho ulichokunywa hakina harufu? Na umejuaje kama ni sumu? Mtoto pekee ndie angeweza kufanya ujinga kama huo ulioufanya wewe!

Rip just in case!
 
duh... two awwaz mtu hajafa bado anapost tu!!! kweli JF kiboko, anaweza akafika kaburini huku anaendelea kupost hali ya huko hadi akifika motoni ataendela kutupa feedback

Viva JF
 
Na utu uzima wako umeshindwa kutofautisha ladha ya sumu na maji? Inamana hicho ulichokunywa hakina harufu? Na umejuaje kama ni sumu? Mtoto pekee ndie angeweza kufanya ujinga kama huo ulioufanya wewe!

Rip just in case!
rip too tutaonana paradiso
hope utanitangulia
 
Back
Top Bottom