Nimekumiss Marangu Mtoni...!!!!

Nimekumiss Marangu Mtoni...!!!!

pale mbele ya ASHIRA GIRLS kulikuwa na Bar moja inaitwa BABYLON, hapo ndio ilikuwa break yetu kabla ya kuendelea na safari ya shuleni
 
Daa nimekumba kwetu jamani kirua vunjo kijiji cha yamu.kwenu ni kwenu tu.jamani tu wachaga lulawaryime kanyi lanye.
 
aisee hiyo mbege mpaka nimepata kiu duh...
Dah! mitaa ya marangu mtoni pale kcc (kama sijakosea) ghorofa la mbao, unapata pande hata la 100, pia mitaa hiyo kitu cha banana wine kimetamalaki
 
Dah! mitaa ya marangu mtoni pale kcc (kama sijakosea) ghorofa la mbao, unapata pande hata la 100, pia mitaa hiyo kitu cha banana wine kimetamalaki

MBUNDI MBUNDI unaijua wewe uchumi bar.
 
mie kweli napapenda ila utaratibu wao wa kuchinja kizamani huwa siufagilii kwakweli yaani nyama inakanyagwa na miguu utafikiri ni sakafu?? kwann wasitundike juu khaaa!!!!!!!!!!!!

staili hii huwa inaongeza appetite!😎
 
Mkuu na watoto wa Ashira tulivyokuwa tunapenda kitemboniii. Ndo ilikuwa janja ya kwenda marangu mtoni kupiga simu enzi hizo posta.

ukitaja jina la ashira huwa nakumbukia enzi zangu, shule hii ndiyo iliyonipatia jiko la ukweli! Ashiraaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!
 
ukitaja jina la ashira huwa nakumbukia enzi zangu, shule hii ndiyo iliyonipatia jiko la ukweli! Ashiraaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!

Hongera ndugu kwa kupata jiko toka Ashiraaaaaaaaaa.
 
Ukienda tena unitaarifu twende wote na mie nikajipatie uhondo uliobakia Tanzania
 
X-mass hiyoooooooo inakuja kwa kasi!!:welcome: wote
 
Hongera kwa kusoma ashira,
dada yangu alisoma pale,
nakumbuka nilikuwa namtembelea wakati
wa ile visitors day. Ilikuwa nzuri sana,
sijui miaka ya leo ikoje.

ukitaja jina la ashira huwa nakumbukia enzi zangu, shule hii ndiyo iliyonipatia jiko la ukweli! Ashiraaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!
 
hongera kwa kusoma ashira,
dada yangu alisoma pale,
nakumbuka nilikuwa namtembelea wakati
wa ile visitors day. Ilikuwa nzuri sana,
sijui miaka ya leo ikoje.

tafadhali wewe vipi, kama nilisoma ashira ningepataje mke kutoka ashira? Mimi ni dume la simba! Tulikuwa tukivizia kwenye uzio baadae tukasogeza home, ashiraaaa
 
Ha ha haa haaa
Pole mwaya
na hongera kwa kupata mke ashira
Naamini kabisa ni mke mwema sana.

tafadhali wewe vipi, kama nilisoma ashira ningepataje mke kutoka ashira? Mimi ni dume la simba! Tulikuwa tukivizia kwenye uzio baadae tukasogeza home, ashiraaaa
 
dah hiyo nyama na mbege inahamasisha kiwatengu uko wapi na BARIKI MINJA na Mamndenyi disemba inakaribia aise jiandaeni kwenda kula nyama bana
Kotela na Kokirie juu sana

Mkuu ukisogea hapo mbele Mamba Kotela, kuna Club Marunda nlipiga sana Guinnes pale wiki mbili zilizopita. Then nikasogea Mwika pale kupiga mbege kabla sijatua kwa Mwarabu Mamsera kujilia nyama choma ya mbuzi waukwee.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom