bullet
JF-Expert Member
- Oct 31, 2009
- 1,047
- 543
hahaha lazima wewe utakuwa mjomba ake naniii
MMh mjomba wa nani tena mkuu? Kwanza Blue Band bado yupo? maana nimetoka kitambo kidogo!!!
hahaha lazima wewe utakuwa mjomba ake naniii
miss chagga asante kwa kunikumbusha kumbe inaitwa uchumi bar!! ila hii hapa "MBUNDI MBUNDI" sijaelewa maana mi ni chasaka
bananna hii pombe unaijua ndo wanaita mbundi mbundi
Yaan nana mara ya kwanza naonja si nkasema bia gani hii tamu tu, nkapiga tano za fasta fasta, aisee nilijikuta naimba table ya kwanza hadi ya 25.
Worry not..uje na shemeji tumfahamu pia!!!
yupo asee sema sasa ivi kuna manka ndo anamsaidia paleMMh mjomba wa nani tena mkuu? Kwanza Blue Band bado yupo? maana nimetoka kitambo kidogo!!!
hahaha! ile kitu ni noma, nilijaribu moja tu, dah! kidogo network ikate.Za vichupa vya kijani hizo,a.k.a Heineken