miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,805
- 49,104
Mkuu nlikua kule komelo!
okey mkuu japo kuwa sipapati vizuri ni wapi?
Mkuu nlikua kule komelo!
huu uzi nausoma mpaka nasisimka ila kwetu kuzuri sio fitna me huwa napita hapo mtoni siku hizi kimei katuwekea benki pazuri aje!!! me wa kilema asikwambie mtu bado mwezi mmoja narudi zangu kwetu mbali na mbege nimemiss kyumbo!
okey mkuu japo kuwa sipapati vizuri ni wapi?
Aisee mtoa mada umenikumbusha mbali sana, Marangu mtoni nilifika mwaka 2010, kulikuwa na msiba wa rafiki yangu maeneo ya Ashira. Sasa nikatafuta mwenyeji ili nifahamu kijiji kidogo basis akanipeleka Bar moja inaitwa kwa Hosea(kama cijasahau). Sasa tukatulia kaunta nikamwambia kula kilaji mpaka uchoke. Sasa kwa mazingira ya kule kuna baridi(wenyeji wanafahamu) na pale kaunta kulikuwa na muuzaji anavutia kwa kweli basi nikaanza kuleta utoto wa mjini. Duh!! kumbe ni mke wa mtu na upande wa pili mwenyeji kashanizunguka kwa zile pombe nilizokuwa namnunulia akaenda sema mimi ni mtalii nina dollar, sasa naona watu wananiangalia sana sababu kila akija na rafiki yake yoyote mimi namlipia tu. Basi nikashangaa vurugu zimeanza nimefuatwa nikapigwa ngumi nikaanguka chini, kuamka bar nzima inanifuata mimi,mwenyeji hayupo.....Aisee nitaendelea

mie kweli napapenda ila utaratibu wao wa kuchinja kizamani huwa siufagilii kwakweli yaani nyama inakanyagwa na miguu utafikiri ni sakafu?? kwann wasitundike juu khaaa!!!!!!!!!!!!
Kama kawa mkuu, yaan hapo wewe uwe na kisu chako tu. Nyama zinachomwa zinachomekwa kwenye miti wewe ni kukata na kula!
Umenikumbusha gulio marangu mtoni those days
huu uzi nausoma mpaka nasisimka ila kwetu kuzuri sio fitna me huwa napita hapo mtoni siku hizi kimei katuwekea benki pazuri aje!!! me wa kilema asikwambie mtu bado mwezi mmoja narudi zangu kwetu mbali na mbege nimemiss kyumbo!
Usijali nitakuambia tu;
Tufanye mwezi wa kumi na moja
mie huwa sipendi msongamano wa disemba.
Sasa ule msongamano ndo raha zenyewe...