miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,805
- 49,104
duh umenikumbusha Home Man hadi mate yamejaa mdomoni....wachaga oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!
oyeeeeeeeeeeeeeeeeee!
duh umenikumbusha Home Man hadi mate yamejaa mdomoni....wachaga oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!
Mbege tamu asikwambie mtu!
ukaweka na msesewe na konyagi kidogo we utasahau shida zote.
Hapana hiyo picha ya nyama iko chini ni migombani ambapo wanakaa wazee wa ukoo wanakula nyama na supu, haruhusiwi mwanamke kwenye hii!
kweli man mwanamke hasogei hapo nyama zao huwa wanaenda kulia jikoni. umenikunimbusha mbaaaaaaaali!
mie kweli napapenda ila utaratibu wao wa kuchinja kizamani huwa siufagilii kwakweli yaani nyama inakanyagwa na miguu utafikiri ni sakafu?? kwann wasitundike juu khaaa!!!!!!!!!!!!
ukaweka na msesewe na konyagi kidogo we utasahau shida zote.
Aise donlucchese umenikumbusha mbali sana. Miaka ya 1995-1996 wakati huo nafanya kazi Marangu Hospital (Kitemboni) - first appointment!
Baada ya kazi na siku za weekend mie na mshkaji wangu tulikuwa tunachukua totoz za Ashira Girls na Marangu TTC!🙂🙂🙂
....nitarudi siku moja!
Yaa napajua sana teh, teh!! Nimekaa sana pande hizo kuanzia Himo mpaka Mwika, Rombo, Shimbi, Keni Aleni nk
Mkuu na watoto wa Ashira tulivyokuwa tunapenda kitemboniii. Ndo ilikuwa janja ya kwenda marangu mtoni kupiga simu enzi hizo posta.
Hahaah, sasa nimekubali kweli we miss chagga
Mkuu nlikua kule komelo!Ulikuwa ukubali me kwetu mamba kotela,komakundi kisambo ndo mitaa yetu mkuu