nimeona babu Dark City eti anasema wamama tutakuwa wasikilizaji tu.... unakubaliana na hilo?
Hommie hapa ni kama kipindi cha "This week in perspective" dot.com hola
hahahahaha, kitu kinakuwa kitamu kama asali yenyewe, hahaha nawe husahau jamani?:smile-big:, usitumie za kariakoo plz zimechanganywa na mashudu:tape:
Afadhali kaka nawe uwepo kwenye jopo!...
hahahah!Hommie hapa ni kama kipindi cha "This week in perspective" dot.com hola
.......ahaha, mwenyekiti upooo? Nice reading from you again!
Unasema? Aaaaa banaa, funguo unazo weye? Msaada pliz, nitskurudishia
nipo mjumbe wangu Mbu
ni muda mrefu sana sijakuona wala kuisikia harufu ya perfume yako kwenye chumba cha mkutano......
nilipojaribu kuzipitia attendance sheets bado sikuliona hata jina lako
u hali gani mjumbe?
umesusia mikutano?
Mie sitamani kabisa muda urudi nyuma maana niliumizwa sana na mabinti wa DAR, bora wale wa kijijini wala hawana gharama...
......la la la, nawapisha wazee wa baraza wapate kusikiza hoja za pande zote mbili kwanza....
.....na hasa baada ya kufunguliwa kikao na hoja kuwekwa mezani na mkuu Dark City 🙂
swala lako 'linazungumzika'......tatizo sasa ni :A S-key::A S-key::A S-key::A S-key:
....mnh, ili kuwaenzi waliotangulia, panabidi pawepo na angalau 1/3 ya kina mama.
Lakini, bila uwepo wa AshaDii, WomanOfSubstance, Lizzy na Freema Agyeman, hilo jopo mie sitalikubali!
Mbona umesahau rules zako mwenyewe kamanda??
Au zinatumika kwa ubaguzi....
Hivi Babu DC akikutwangia kwamba kule Makorora kuna mdada mkorofi kaloweka nguo zake...na Bibi kachachamaa, hutakimbia kuokoa jahazi?
Labda unambie kuwa siku hizi umeongoka.....ila hata kama....kwani maji hata yachemke vipi, mwisho wa siku yatarudia ubaridi wake...
I still believe bado wewe ni katibu wa kile chama....
Naomba mzee mwenzangu Asprin akuje hapa...lol!!
Babu DC!!