MwanajamiiOne
Platinum Member
- Jul 24, 2008
- 10,470
- 6,586
We Da Mkubwa FirstLady, aksante kwa kunitunuku but hii ya Soulmate Mbu kuchimbua yaliyomo moyoni mwake kwangu mie mageni na ndio nkahisi kuna alomchokoza? He is and has always been sweet to me oh........... cant say enough.Mbu yaani hii ni speacial kwa MwanajamiiOne bila ubishi
babu Dark City mie nilipouona huu uzi wa Mbu nilisema tu jamani utu uzima dawa.
sikutaka kabisa kuchangia as kila nikivuta hisia namwona Mwanajamii one nikajisemea swaumu ya leo imebamba ile mbaya.
lakini King'asti kaongea point sana ingawa wewe umesema ni unoko but that is the reality sometimes.
myself naomba ni deklee interest kwamba haya ni mageni sana kwangu ngoja nijiondokee kama kaka yangu TANMO
umeona eeh, hawa watu hakuna kitakachowatenganisha, hahaha MJ1 kaona Mbu yupo ndani ya nyumba kaacha hata kupakua futari chaaap kaingia, hahahah
........ Hahah ubongo wako ushakuwa biases........ ukiona kila alalamikaye au atendwaye ni MwanajamiiOne. Ah nshastaafu huko mie Dadangu gfsonwinmy dearest si wajua hakuna kaitu kibaya kama hisia??
sijui kwann nilipousoma huu uzi nilikuona wewe ukiwa kwenye avatar yako nikasema lolz!
let me pass through kimya kimya. lakin alonirudisha ni babu wallah!!!!!
mi huyu nina ugamvi nae manake kazi yake kuniita tu hata pale ambapo sitak kusema jambo.
........ Hahah ubongo wako ushakuwa biases........ ukiona kila alalamikaye au atendwaye ni MwanajamiiOne. Ah nshastaafu huko mie Dadangu gfsonwin
........ Hahah ubongo wako ushakuwa biases........ ukiona kila alalamikaye au atendwaye ni MwanajamiiOne. Ah nshastaafu huko mie Dadangu gfsonwin
at last. manake tumekutoa mbali wewe, najuuta.
Tufanye mbuzi wa graduation tafadhali
Pole kaka.....si unakijua kitu cha R.Kelly ..When a woman is fade up?Just sooth yourself with memories tu!It helps.......mkuu TIMING, tatizo muda haugandi, na moyo wa mtu hauchezewi makida makida, tena moyo wenyewe ule ulokuwa tayari ina vidonda ndugu, mnh.... She'll take you back half heartedly nakwambia.....
If it will ever be, it will never be like the 1st time 🙁
Umeona eh Da Mkubwa, we acha tu, ingekuwa Enzi zile uwiiii ngekuwa nsharusha threads humu ndani kama kichaa, na kamasi juu. Kama namioneni na Nyamayao mkitamani kuingia kwenye screen zenu. Jamani hebu mbuzi atafutwe kwa kweli maana mtihani ulikuwa mgumu kweli!
Mh..... :Cry::Cry::Cry::Cry:Hahaha memory card zinakuwaga na makusudi mabaya! Yaani ndo maana unaweza jikuta imeirushiankwenye glass ya maji.
Tatizo la kuturn back the hands of time ni kuwa it will never be the same
Kwema tupo tunahangaikia makolokochosijambo baba, aisee na wewe nimekumiss sana sana jamani! kwema baba?
Hivi waweza zuia kujuta?
Nafikiri ukifanya yafuatayo hautajuta kama Mbu afanyavyo leo.
1. Tambua penzi la mwenzako
2. lithamini penzi lake pamoja na mazagazaga yake (muda, kujali, kujitoa etc)
3. Jitoe na wewe pengine zaidi yake (kupenda kama ilivyo kutoa kuna leta furaha zaidi kuliko kupendwa au kupokea)
4. Ishi naye kama vile leo ni siku ya mwisho kuwa naye
5. Kumbuka hakuna aliyemkamilifu, hivyo kusamehe na kubebeana mizigo iwe sehemu ya mapenzi.
back to you Mbu pole, wanasema majuto ni mjukuu; ila angalia isiwe sehemu ya maisha yako.
hata mie nimeshangaa sanaMbona umetoa hitimisho kali kama death sentence?
Natamani kuona tume ya ukweli na maridhiano ikiundwa haraka!
Babu DC!!