naunga mkonoHakusema kuwa CCM tatizo alingangania kuwa system ya kina Rostam. Lakini angeukana CCM na kusema matatizo yalianza na Magufuli angekumbukwa leo. Tumeshamsahau kwa sababu aliongelea ujinga na upumbavu kuwa wabadilishe mgombea.
Uko sahihi, wa kutenda huwa hasemi! HatishiiYule kaka yake mimi nilikuwa naangalia body language yake na maneno yake nikahisi huyu anaongea kwa sababu ya maumivu tu hana mkakati wowote. Mtu mwenye mkakati ha-record clips kutishia kuwa anakwenda kufanya jambo....
Alishasema kuwa alirudi makusudi ili kama kumuua wamuue hapa hapa. Kwahiyo alikuwa tayari kwa lolote. Kwakifupi Kikwete, Samia, Abdul, Mafwele na wasengè wengine watawajibika, ni suala la muda tu.Usingelifanya harakati zako ( nzuri, I can say by now) ukiwa hapa!
Walijua una siri zao nyingi, lazima wakumaliza as they have done!
Nakuombea huko ulipo tukuone tena.
AMINA
Kikwete ndiyo muasisi wa upumbavu. Alimteka Dr. Ulimboka, aliwamwagia tindikali wanahabari wa mwanahalisi, alimuua Daud Mwangosi, alimfunga babu sea baada ya kumtombea malaya wake Salma.Mnoooo yeye na magu ndio chanzo Cha hizi siasa zilizopo now nchini
We unaonajeKwa hiyo kesi ya uhaini inayomkabili Tundu ni halali?
😹😹😹 Dah!Ukishaamini Mungu anakulinda, unaweza kufanya ujinga wowote.
Wewe mwenyewe husikii hayo masikio ya kumsikiza HP ukamuelewa umeyatoa wapi?Pole.pole niliwahi kumsikiliza ukimsikiliza wala haeleweki napia kachanganyikiwa
Sahihi..yeye na Jiwe wake,waliona hii nchi kama mali yao binafsi, sisi tulikuwa kama sisimizi tu..KIBRI,UJUAJI,UJIVUNI,na ROHO MBAYA ziliwajaaKabisa mkuu..amewahi kumuita lissu kibaraka wa Mabeberu hapa nchini..alikuwa ni kiongozi mjivuni sana kila anapo pata airtime.
Sure but magu alizidiKikwete ndiyo muasisi wa upumbavu. Alimteka Dr. Ulimboka, aliwamwagia tindikali wanahabari wa mwanahalisi, alimuua Daud Mwangosi, alimfunga babu sea baada ya kumtombea malaya wake Salma.
wakuu tutakubaliana kwamba ccm haifanyi vyema na watu wengi hawaitaki.
ila hamuwezi kukataa msukumo wa wanaharakati na taarifa zilizo sio sahihi --- nataka kusema kwamba taarifa zile nyingi zilikua za kilaghai. na kama hamku-anticipate kutawepo na risasi wakuu basi serikali ya ccm tulikua tiunaisingizia kwamba ni katili hapo awali.
kwa maneno waliokua watu wanasema watafanya ile okt 29 - nyi mnaona kweli ingewezekana hali kutulia bila shaba? --- ukiachana na wanaharakati wetu waliopo nje ya nchi wale wa ndani ya nchi nyi mmeona wakiandamania wapi? - kama issue ilikua mabomu ya machozi na maji ya kuwasha tu?
tuendelee kuangalia hali ilivyo --- ila kuna siku mtakuja kukiri okt 29 ilikua blunder kubwa sana kwa walioandaa na walioisupport - wote walikua na uwezo mdogo wa kufikiri
Poa mkuuUnajilisha upepo mkuu. Protests/riots za Oct 29 hazikua na kiongozi rasmi. Zilikua "organic" na ndiyo maana zilikua za kihistoria - kubwa. And, Again, chanzo cha hayo maandamano ni vigezo vingi sana ambavyo havikuibuka ghafla. Hao "so called" wanaharakati walienda na upepo tu. Hakuna kazi kubwa waliifanya. Shida yako unaangalia dalili kubwa ulioiona wakati tukio linafikia tamati. Huangalii vyanzo.
Ni sawa na chawa wa CCM akitetea mfumo wa Serikali batili, mwishowe nae anatekwa na kuuwawa. Nyoka anayeuma kote kote siyo wa kucheza naeAlikuwa mpumbavu kupindukia, mfumo alioshiriki kuutengeneza na kuutetea umemtsfuna masikini ya Mungu.
Ujasiri wa nzi matokeo yake huwa ni kifo chake mwenyewe.
huu ujumbe unaumaa balaa Mungu ni wetu sote atuepushe ni hila za maadui,i believe he is a liveAisee! Inasikitisha sana, Mwenyezi Mungu amrehemu huko alipo, i don't believe if he's still alive 😥
mkuu una uhakika? taifa lote kwq ujumla limemponza polepole maana polepole alijitoa mwanga kwa taifa zima na sio taasisi moja moja sasa big show umeshindwq ku reason kweliKanisa katoliki limemponza pole pole na wao wenyewe wamekaaa kimyaaaaa....maisha haya dah
mkuu una uhakika? taifa lote kwq ujumla limemponza polepole maana polepole alijitoa mwanga kwa taifa zima na sio taasisi moja moja sasa big show umeshindwq ku reason kweliKanisa katoliki limemponza pole pole na wao wenyewe wamekaaa kimyaaaaa....maisha haya dah