Nimekuja kwenu kuomba ushauri wa kilimo Cha maharage chenye Tija (faida)

Nimekuja kwenu kuomba ushauri wa kilimo Cha maharage chenye Tija (faida)

Nikifa MkeWangu Asiolewe

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2024
Posts
11,250
Reaction score
24,084
Kabla ya yote ni kiri wazi kuwa Elimu Haina mwisho na hata maarifa pia.

Nakuja kwenu ninyi wabobevu wa kilimo Cha maharage kuomba njia Bora ya kilimo hiki.

Ukizingatia mbegu, upandaji,
Mbolea na madawa hata booster ni zipi nzuri?

Kwenye mbegu ni mbegu Gani (zipo mbegu za hybrid kama za mahindi?) au ni hizi hizi za kwetu?


Kwa upande mahali nilipopata Hali ya hewan ni nzuri ardhi Ina mvua za kutosha Hadi zinamwagikia.

Soko ni uhakika mchawi bei tu ndo unaweza tofautiana!

Karibuni sana wabobevu uwanja ni wenu tupate maarifa.

Ahsantee sana
FB_IMG_1646668789770.jpg
 
UNALIMIA WAPI.JE HUKO HUWA WANALIMA MAHARAGE AU WW MDYO UNAANZA HAPA
 
Kama unalima kilimo cha kutegemea mvua ni pata potea. Kama unafanya kilimo cha umwagiliaji au all the best. Utatoboa
 
Wakati unatafuta mbinu za kilimo nenda pia sokoni ukajue ni maharage yepi yana market kubwa.
2025 nilizunguka masokoni ndio nikajua sio maharage yote ya njano yanatakiwa sokoni. Kuna mikoa ambayo inaaminika kutoa maharage ambayo baada ya muda yanabadilika rangi na wanunuzi wa jumla hawayataki kabisa .
 
Back
Top Bottom