nimekuja kuzima giza

nimekuja kuzima giza

He! Jamani Koroboi mbona hata mafuta ya taa gharama....
Mtanzania wa kwaida ataweza kweli 2300/= kwa ltr??

Haya basi karibu....
 
Karibu koroboi, huku kwetu Ngeleja katususa.
 
Duh, hivi watu bado wanatumia koroboi hapa mjini?, hebu zima, kisha karibu ndani.
 
Wakuu nimekaribia me ndo koroboi bin mpenda bure ukijilengesha nalenga mafuta yangu aghali
 
Karibu sana koroboi,..........umenikumbusha zamani kidogo kijijini,......nduguzo chemli na karabai wape salamu
 
Unapenda bure ndo maana bado unatumia koroboi. Anyway, karibu tena na tena!
 
Sasa umekuja kuzima giza.GIZA UKILIZIMA TENA SI ITAKUWA GIZA squired,hali itakuwa mbaya zaidi
 
Nyegela nakanyeto kabisha oinaolutambi anga ekendo na akashato.
 
Back
Top Bottom