communist cuba, giza totoro siku ya pili leo!

Kijakazi

Platinum Member
Joined
Jun 26, 2007
Posts
10,608
Reaction score
18,257
time is ticking for the communist cuba aidha kuingia dili na D.Trump (ending communism na kurudia Christian democracy) au waendelee kushupaza shingo wakiwa gizani, hali ni mbaya sana, kisiwa chote cha communist cuba ni giza totoro kama tanzagiza, hakuna umeme siku ya pili leo hii.

communist cuba, giza tupu kisiwa kizima ...
1783775081951.png

View: https://x.com/OSDE_UNE/status/2074165873120567548?ref_src=twsrc%5Etfw%7Ctwcamp%5Etweetembed%7Ctwterm%5E2074165873120567548%7Ctwgr%5E9a9d92b104e571fbba11e872c349afcecc4262ed%7Ctwcon%5Es1_&ref_url=https%3A%2F%2Fwww.zerohedge.com%2Fgeopolitical%2Fi-can-negotiate-castros-grandson-says-hes-ready-discuss-cubas-future-president-trump
 
Tatizo kuu ni Vikwazo vya Trump kwenye Mafuta

wanataka Cuba wapitie matatizo makubwa ya kijamii
uku wao wakipanga njama ya namna ya kuiyangusha Serikali yao!!!

Chenye kufurahiasha sana pale Cuba👈

ni Wananchi wao wapo bega kwa bega na Serikali yao!!

Usaliti kwao mwiko

Wananchi wengi wanaulewa mpana sana wa kile kinaendelea ndani ya nchi yao ✍️
 
sijaelewa inahusiana vp na sanctions za USA? cuba ina trade na russia, china and other communist regimes freely, sasa kwa nini russia au china wasisaidie cuba?

cuba inafeli sababu ya communism na siyo vikwazo, hakuna umeme kisiwa kizima kama ni mafuta russia anayo ya kutosha anaweza muuzia cuba, communists ni incompetent na hu-bankrupt countries, sifa kuu ya communists ni kama tu tanzagiza serikali iko kwa ajili ya kuhudumia politburo na familia zao, angalia tanzagiza politburo wanavyoishi wako peponi vs wananchi wanavyotaabika, communist governments huwekeza na kuchezea fedha kwenye anasa badala ya kutatua matatizo ya wananchi, angalia fedha wanazotupa kwenye sijui matamasha ya bongoflava, simba vs yanga, safari za poilitburo na familia zao, magari ya kifahari, wanajenga mavillas hii yote ni fedha ya serikali iliyopaswa kwenda kutatua matatizo ya wananchi ila communist politburo wanachukuwa kwa matumizi yao binafsi, thats why communism fails siyo sijui vikwazo, tanzagiza hakuna accountability yoyote popote ya jinsi fedha za walipa kodi zinavyochezewa na politburo ..
 
muslims na communists ni kitu kimoja, wote ni antichrist ...

Kwanza, Waislam na Communists sio kitu kimoja. Ni watu mbali kabisa wenye itikadi na misimamo mbali kabisa. Sijui umekariri wapi hili. Ila Muslims na Communists sio kitu kimoja.

Pili, kuwaita Waislam kuwa ni Anti Christ, inaonesha huwajui kabisa Waislam ni nani. Waislam sio Wapinga Kristo, sisi Waislam, Yesu (Amani iwe juu yake) ni Mtume kwetu tena ni katika Mitume wakubwa. Na akirudi, ni sisi Waislam ndio tutakaokuwa wafuasi wake na jeshi lake. Atarudi Nabii Yesu na ataongoza kwa Shari'ah ya Nabii Muhammad (Swala na Salamu ziwe juu yake). Na atamuua Masih ad Dajjal (False Messiah/Anti Christ).
 
sijaelewa inahusiana vp na sanctions za USA? cuba ina trade na russia, china and other communist regimes freely, sasa kwa nini russia au china wasisaidie cuba?

cuba inafeli sababu ya communism na siyo vikwazo, hakuna umeme kisiwa kizima kama ni mafuta russia anayo ya kutosha anaweza muuzia cuba, communists ni incompetent na hu-bankrupt countries, sifa kuu ya communists ni kama tu tanzagiza serikali iko kwa ajili ya kuhudumia politburo na familia zao, angalia tanzagiza politburo wanavyoishi wako peponi vs wananchi wanavyotaabika, communist governments huwekeza na kuchezea fedha kwenye anasa badala ya kutatua matatizo ya wananchi, angalia fedha wanazotupa kwenye sijui matamasha ya bongoflava, simba vs yanga, safari za poilitburo na familia zao, magari ya kifahari, wanajenga mavillas hii yote ni fedha ya serikali iliyopaswa kwenda kutatua matatizo ya wananchi ila communist politburo wanachukuwa kwa matumizi yao binafsi, thats why communism fails siyo sijui vikwazo, tanzagiza hakuna accountability yoyote popote ya jinsi fedha za walipa kodi zinavyochezewa na politburo ..
Unauelewa mdogo sana wa haya majambo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom