chai ya rangi
JF-Expert Member
- Mar 7, 2026
- 1,046
- 3,111
Kwakweli wengi huja humu kwaajili ya issue fulani lakini wakipata wanapotea jumla.
mimi niliwahi kuja kutafuta binti mzuri bikra wa kuoa, nimefanikiwa kumpata na nimekuja kushukuru.
japo JF hakuna bikra ila kuna connection ya kuwapata, kuna wengine ni watoto wao, wengine dada, wengine kaka binamu au rafiki, kwahiyo natoa wito wa kiendelea kiwasaka na oia ninawapa moyo kuwa wanapatikana