Pole...sasa kwanini huyo polisi alipotea? Au huyo kijana ni uvccm
Upo sahihi mkuuHahaha,
Issue kama hzo hua tunaenda kufungua kesi, halafu unaendelea kufanya upelelezi mwenyewe, utakapo jua jamaa walipo unaenda kuchukua polisi waje wamkamate tu ndo utaona wanakuja kwa mbwembwe na mabunduki yao 😅
AhsantePole...sasa kwanini huyo polisi alipotea? Au huyo kijana ni uvccm
Apo patamu mkuuUbaya ni kwamba na wao hawana Imani na ww😁.kaa kimtego😂
Amini Mungu pekee acha ushirikina gentleman na itapendeza zaidi 🐒Ndugu wanajamii,
Napenda kutoa malalamiko yangu kwa umma kuhusu mkasa ulionikuta usiku wa kuamkia jana. Nyumbani kwangu nilivamiwa na kuibiwa (TVS) yangu
. Baada ya tukio hilo, nilifanya jambo la busara na la kiraia — nilikwenda kituo cha polisi kupeleka taarifa rasmi. Mwizi nimemjua, na ushahidi wake upo.
Nilikutana na mkuu wa kituo, nikamweleza kila kitu, naye akanipa askari mmoja ambaye nilidhani ndiye atakayeshughulikia masuala ya uhalifu. Askari huyo akanipeleka nikafungue kesi. Lakini kilichonishangaza ni kwamba mara tu nilipomtaja mtuhumiwa, askari akaniambia kwa mshangao, "Sijui tutampata vipi huyu kijana." Maneno hayo yalinifanya nipoteze matumaini mara moja.
Tangu siku hiyo, sikumwona tena yule askari, na hadi hivi sasa sijapata suluhisho lolote kituoni.
Hivyo, nauliza kwa dhati: nikiwa raia mwema niliyekwenda kupeleka kesi yangu kwa taasisi tunazoziamini za kulinda watu na mali zao, na nikakosa ushirikiano hadi sasa — tutazuiaje uhalifu nchini Tanzania?
Raia tunapojitokeza kutoa taarifa na ushahidi, tunatarajia mwitikio wa kizalendo na wa kiprofesheni kutoka kwa vyombo vya dola. Tusipopata ushirikiano, tutapoteza imani na wananchi wataogopa kutoa taarifa — na hapo ndipo uhalifu unaposhamiri.
Naomba mamlaka husika zichukue hatua na kuhakikisha kesi hii inashughulikiwa ipasavyo. Pia naomba jamii ijadili: ni vipi tunaweza kushirikiana na polisi kwa ufanisi zaidi ili kulinda usalama wetu?
😂😂😂😂Pole hilo ni GENGE LA POLISI CCM ,mtu ambaye wanaweza kumpata ni wa chama pinzani wengine hao hawawezi
Uko sahihi kabisaa.Bora ukutane na majambazi kuliko policcm. Jambazi ukishampa pesa anakuacha.
Policcm ukishawapa pesa, wanakupeleka ofisini kwako, chochote cha thamani watakachokikuta wanakibeba. Wakitoka hapo wanakupeleka nyumbani kwako wanachukua pesa na mali zako.
Baada ya hapo wanaanza kuwapigia simu ndugu zako, jamaa na marafiki watoe hela, vinginevyo unapewa kesi ya kumiliki bunduki ya kivita, madawa ya kulevya, mauaji ya tarehe 29 October 2025, ugaidi, na uhujumu uchumi na utakatishaji pesa
😂😂😂Pole,hizi pikipiki za kichina ukiibiwa kuipata ngumu
Unaweza shangaa inakupita hapo hapo machoni mwako
Ikibadilishwa tanki la mafuta na nembo utaikumbuka???
Ova
😂😂😂Hahaha,
Issue kama hzo hua tunaenda kufungua kesi, halafu unaendelea kufanya upelelezi mwenyewe, utakapo jua jamaa walipo unaenda kuchukua polisi waje wamkamate tu ndo utaona wanakuja kwa mbwembwe na mabunduki yao 😅
Nimekusoma mkuuAmini Mungu pekee acha ushirikina gentleman na itapendeza zaidi 🐒
Tatizo sio polisi shida ni CCM!Ndugu wanajamii,
Napenda kutoa malalamiko yangu kwa umma kuhusu mkasa ulionikuta usiku wa kuamkia jana. Nyumbani kwangu nilivamiwa na kuibiwa (TVS) yangu
. Baada ya tukio hilo, nilifanya jambo la busara na la kiraia — nilikwenda kituo cha polisi kupeleka taarifa rasmi. Mwizi nimemjua, na ushahidi wake upo.
Nilikutana na mkuu wa kituo, nikamweleza kila kitu, naye akanipa askari mmoja ambaye nilidhani ndiye atakayeshughulikia masuala ya uhalifu. Askari huyo akanipeleka nikafungue kesi. Lakini kilichonishangaza ni kwamba mara tu nilipomtaja mtuhumiwa, askari akaniambia kwa mshangao, "Sijui tutampata vipi huyu kijana." Maneno hayo yalinifanya nipoteze matumaini mara moja.
Tangu siku hiyo, sikumwona tena yule askari, na hadi hivi sasa sijapata suluhisho lolote kituoni.
Hivyo, nauliza kwa dhati: nikiwa raia mwema niliyekwenda kupeleka kesi yangu kwa taasisi tunazoziamini za kulinda watu na mali zao, na nikakosa ushirikiano hadi sasa — tutazuiaje uhalifu nchini Tanzania?
Raia tunapojitokeza kutoa taarifa na ushahidi, tunatarajia mwitikio wa kizalendo na wa kiprofesheni kutoka kwa vyombo vya dola. Tusipopata ushirikiano, tutapoteza imani na wananchi wataogopa kutoa taarifa — na hapo ndipo uhalifu unaposhamiri.
Naomba mamlaka husika zichukue hatua na kuhakikisha kesi hii inashughulikiwa ipasavyo. Pia naomba jamii ijadili: ni vipi tunaweza kushirikiana na polisi kwa ufanisi zaidi ili kulinda usalama wetu?
Mh mkuu umenda mbali sanaTatizo sio polisi shida ni CCM!
Mbali wapi wakati polisi ni mali ya ccm? kifupi wanachofanya ndio wanachopangiwa na wamiliki wao! Aya mbwa akiuma binadamu lawama anapewa nani?Mh mkuu umenda mbali sana