Nimekosa Imani na jeshi la POLISI

Nimekosa Imani na jeshi la POLISI

Yaani adui yako unamjua nabado unateseka.

Youngman are you nuts😬😬😬

YAANI WEWE HAPO UMEJIFUNGA KWANI LIKIMKUTA JAMBO HUYO MTU WAKO SUSPECT WAKWANZA NI WEWE.NDOMAANA MWANAUME UNATAKIWA UWE UNAANGALIA VITU VYA MSINGI UKIWA FREE VITU KAMA CRIME DOCUMENTARIES ZINAKUPA ABC ZA MAISHA.

JIFUNZE PIA MAPIGANO FOR SELF DEFENCE ACHENI KUISHI KAMA MAANDAZI.HII DUNIA HAKUNA ULAINI ULAINI.MAISHA MCHAKAMCHAKA!!!

HUNA MBINU, TAFUTA MGANGA MTOA KISHIPA HUYO BWEGE.USIKUBALI KUISHI KINYONGE.TAFUTA HATA MPEMBA AMTUPIE JINI KAMA KYELA MBALI.

SHIDA VIJANA MUDA WA ZIADA MNAANGLIA TMTHILIA ZA KITURUKI.ONA SASA UNASHINDWA KUSOLVE JAMBO DOGO KAMA HILO.NA HUYO MWIZI BAADA YA MUDA ATAMTAFUTA DEMU WAKO AU MKEO AKUGONGEE NA BADO UTAKUJA KULALAMA JF😄😄😄😄.

USHAURI WA BURE,,BE A MAN!!!
😂😂
 
Polisi hawana msaada kweli 😄 Nakumbuka mwaka 2011 nilikabwa nikaibiwa simu Nokia E 40 , na wale Vibaka walikuwa wamekaa na Babu Mlinzi wa magari usiku. Waliponiona nakuja wakanyqnyuka wakaanza kunikimbiza na mapanga.

Kesho yake nikaenda kwa yule Babu Mlinzi maana nilikuwa napafahamu anapoishi , nikamwambia twende Polisi ukawataje wale Wezi lasivyo nitakupeleka SITAKI SHARI Mkuu wa kituo ni Baba yangu mkubwa yule aliogopa sana , kufika kituoni nikaelezea tukio lilivyokuwa na huyu Babu anawajua walionikaba.

Polisi wakaomba elfu 10 ya mafuta wakawakamate wale Vibaka maana wanawajua nikatoa ile 10,000 wakasema niongeze tena 30,000, nikawaambia basi bhana hao wezi kutoka hapa kituoni mpaka wanakopatikana hata kilomita moja haifiki. Sitaki tena na hiyo hela chukueni tu.

Hawana msaada hawa jamaa
 
Ni kweli kabisa mkuu
 
Kwa dhati kabisa, nawashukuru ndugu na dada zangu wanajamii kwa michango na mawazo yao yenye busara. Ni kupitia mwongozo na uzoefu wenu ndani ya Jamii Forums nilifanikiwa kuipata TVS yangu. Mchango wenu haukuwa bure — umenigusa moyo na kunifanya niamini zaidi katika nguvu ya jamii inayoshirikiana. Asanteni sana, na Mungu awabariki.
 
Attachments

  • IMG-20261017-WA0108.jpg
    IMG-20261017-WA0108.jpg
    205.5 KB · Views: 1
Back
Top Bottom