Tumwesige senior
JF-Expert Member
- Jan 28, 2013
- 6,870
- 12,371
Hao wanasaidia mkono ulioshika nukudu(pesa)
Hehe hatariUngewaambia kuwa mwizi alikuwa amevaa sare za CHADEMA, hapo hadi RPC angeingia kwenye msako wa huyo mwizi maana ndiyo kazi wanayoiweza.
Nimekusoma mkuuMbali wapi wakati polisi ni mali ya ccm? kifupi wanachofanya ndio wanachopangiwa na wamiliki wao! Aya mbwa akiuma binadamu lawama anapewa nani?
😀😀😀Pole hilo ni GENGE LA POLISI CCM ,mtu ambaye wanaweza kumpata ni wa chama pinzani wengine hao hawawezi
KakaBora ukutane na majambazi kuliko policcm. Jambazi ukishampa pesa anakuacha.
Policcm ukishawapa pesa, wanakupeleka ofisini kwako, chochote cha thamani watakachokikuta wanakibeba. Wakitoka hapo wanakupeleka nyumbani kwako wanachukua pesa na mali zako.
Baada ya hapo wanaanza kuwapigia simu ndugu zako, jamaa na marafiki watoe hela, vinginevyo unapewa kesi ya kumiliki bunduki ya kivita, madawa ya kulevya, mauaji ya tarehe 29 October 2025, ugaidi, na uhujumu uchumi na utakatishaji pesa
😀😀Tafuta mganga mzuri mueleze shida yako usiende Kwa waganga wa mjini ingia chaka Kwa mfano Kyela ndani ndani huko wapi na malipo unafanya baada ya watuhumiwa wako kuwa vichaa au kudanja
Kalpana unataka kusema kua?😀Pole...sasa kwanini huyo polisi alipotea? Au huyo kijana ni uvccm
Si ndo kama yule aliemchomea mwenzake duka Dodoma alimwambia yy ni ccm haguswi inshort hana pa kumpeleka...ndo hivyo na mm nimewaza labda mwizi ni kijana wa chama...Kalpana unataka kusema kua?😀
Mwemzangu una mwanasheria mkalii 😀Si ndo kama yule aliemchomea mwenzake duka Dodoma alimwambia yy ni ccm haguswi inshort hana pa kumpeleka...ndo hivyo na mm nimewaza labda mwizi ni kijana wa chama...
Kwani nimesema kitu gani baya? Kwahyo unataka semaje 😁Mwemzangu una mwanasheria mkalii 😀
Kama mwizi unamjua,haina haja ya kuwambia polisi tena.Ndugu wanajamii,
Napenda kutoa malalamiko yangu kwa umma kuhusu mkasa ulionikuta usiku wa kuamkia jana. Nyumbani kwangu nilivamiwa na kuibiwa (TVS) yangu
. Baada ya tukio hilo, nilifanya jambo la busara na la kiraia — nilikwenda kituo cha polisi kupeleka taarifa rasmi. Mwizi nimemjua, na ushahidi wake upo.
Nilikutana na mkuu wa kituo, nikamweleza kila kitu, naye akanipa askari mmoja ambaye nilidhani ndiye atakayeshughulikia masuala ya uhalifu. Askari huyo akanipeleka nikafungue kesi. Lakini kilichonishangaza ni kwamba mara tu nilipomtaja mtuhumiwa, askari akaniambia kwa mshangao, "Sijui tutampata vipi huyu kijana." Maneno hayo yalinifanya nipoteze matumaini mara moja.
Tangu siku hiyo, sikumwona tena yule askari, na hadi hivi sasa sijapata suluhisho lolote kituoni.
Hivyo, nauliza kwa dhati: nikiwa raia mwema niliyekwenda kupeleka kesi yangu kwa taasisi tunazoziamini za kulinda watu na mali zao, na nikakosa ushirikiano hadi sasa — tutazuiaje uhalifu nchini Tanzania?
Raia tunapojitokeza kutoa taarifa na ushahidi, tunatarajia mwitikio wa kizalendo na wa kiprofesheni kutoka kwa vyombo vya dola. Tusipopata ushirikiano, tutapoteza imani na wananchi wataogopa kutoa taarifa — na hapo ndipo uhalifu unaposhamiri.
Naomba mamlaka husika zichukue hatua na kuhakikisha kesi hii inashughulikiwa ipasavyo. Pia naomba jamii ijadili: ni vipi tunaweza kushirikiana na polisi kwa ufanisi zaidi ili kulinda usalama wetu?
By the way hawa jamaa wajitafakari sanaKwani nimesema kitu gani baya? Kwahyo unataka semaje 😁
Yajayo yatawasurubu wenyewe...By the way hawa jamaa wajitafakari sana
Mpe mbinu mbona una mchamba tena?Yaani adui yako unamjua nabado unateseka.
Youngman are you nuts😬😬😬
YAANI WEWE HAPO UMEJIFUNGA KWANI LIKIMKUTA JAMBO HUYO MTU WAKO SUSPECT WAKWANZA NI WEWE.NDOMAANA MWANAUME UNATAKIWA UWE UNAANGALIA VITU VYA MSINGI UKIWA FREE VITU KAMA CRIME DOCUMENTARIES ZINAKUPA ABC ZA MAISHA.
SHIDA VIJANA MUDA WA ZIADA MNAANGLIA TMTHILIA ZA KITURUKI.ONA SASA UNASHINDWA KUSOLVE JAMBO DOGO KAMA HILO.NA HUYO MWIZI BAADA YA MUDA ATAMTAFUTA DEMU WAKO AU MKEO AKUHONGEE NA BADO UTAKUJA KULALAMA JF😄😄😄😄.
USHAURI WA BURE,,BE A MAN!!!