Nimekoma kumchunguza mpenzi wangu

Nimekoma kumchunguza mpenzi wangu

Walilia mifupa,kumbe wee kobogoyo,usirudie naukifanya ivyo hakikisha unakifua maana utajalia siku moja
 
Acha uzembe kidume mzima kulia lia mpnz wako anachat na wanaume wengine
 
Kuna kipindi niliingia kwenye inbox nikakuta inbox iko poa tu kwenye whatsapp hakuna message mbaya nikashusha pumzi kwamba yuko poa mara sms ya kawaida ikaingia imeandikwa "lini nitakutom**a tena?" ebwana alikuwa mwekundu kwa kipigo aisee

Aisee ina maana huyo mtuma msg hukumfuatilia ili umpe kibano? Ningekuwa mimi ningechukua namba zake alafu nimpe mtu( mwanamke mwingine) afanye nae mawasiliano ili nimkamate nimpe kibano cha kutembea na wife. Huku Biharamulo ndo wanavyofanya, hawawezi kumuacha mtu anayetembea na mke wa mwingine kizembe hivyo.
 
Ukome....
Anachat na nanii haijalishi lakini anachat nini inahusu sana
Hivi inawezekanaje mtu achat na wewe tu khaa,wacha ajichanganye
 
Aisee ina maana huyo mtuma msg hukumfuatilia ili umpe kibano? Ningekuwa mimi ningechukua namba zake alafu nimpe mtu( mwanamke mwingine) afanye nae mawasiliano ili nimkamate nimpe kibano cha kutembea na wife. Huku Biharamulo ndo wanavyofanya, hawawezi kumuacha mtu anayetembea na mke wa mwingine kizembe hivyo.
Ahahahaa unaweza fatilia ukaja kujkuta wewe ndo mchepuko na ukachezea kbano mwnywe..apo ww deal na wako 2 alyekusaliti
 
Ungeomba kabla.mi nibadilishana nae simu.nikakuta sms za midume ikimtokea japo haonekani kujibu.sijui kweli ama anafuta
Hata me naona hvyo ila inauma bado.au anaona raha kusumbuliw?!ila cku zte mamaako ndo umuamin sio mwnamke mwngne
 
Kuna kipindi niliingia kwenye inbox nikakuta inbox iko poa tu kwenye whatsapp hakuna message mbaya nikashusha pumzi kwamba yuko poa mara sms ya kawaida ikaingia imeandikwa "lini nitakutom**a tena?" ebwana alikuwa mwekundu kwa kipigo aisee
Hahaha kaka huyo atakuwa na pepo ya ngono kaaah
 
wengine tushakuwa na mioyo migumu hata kupenda sijui..
ambaye anajua kumpenda mwanamke (kimapenzi)anifundishemaana sasa najihisi kama si mtu wa kawaida..!
 
Naombeni ushauri wadau,

Karibu wiki sasa nime hack Facebook, Whatsapp ya mpenzi. Awali sikutaka presha ya kujiumiza roho hivyo sikutaka kumfuatilia.

Juzi kati nikajaribu mautundu yangu.. Yesuuuu na Maria. Anachat na wanaume huyo! Sina amani, moyo unaenda mbio kila saa. Najuta kufanya hivyo maana amani yote imepotea.

Nisaidieni wadau nifanyeje maana nampenda kiama.
Ww jamaa vp unataka utafune peke yako acha izo mambo acha na wengne watafune
 
Naombeni ushauri wadau,

Karibu wiki sasa nime hack Facebook, Whatsapp ya mpenzi. Awali sikutaka presha ya kujiumiza roho hivyo sikutaka kumfuatilia.

Juzi kati nikajaribu mautundu yangu.. Yesuuuu na Maria. Anachat na wanaume huyo! Sina amani, moyo unaenda mbio kila saa. Najuta kufanya hivyo maana amani yote imepotea.

Nisaidieni wadau nifanyeje maana nampenda kiama.
Mkuu nipe majina ya izo program
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom