Simtegemei yeye kwa %zote ingawa kama Baba mwenye nyumba hufanya hayo kwetu sisi(me and his kids)Sio sahihi kabisa.. je wewe unamtegemea yeye akulishe akuvishe?
Mwanaume akidakwa kawaida hawaleti dharau aliyokupa hata iweje.. nawe tafuta wako upoze roho. Unataka iweje kwani.. kajua umemkamata na kuyaona na anakudharau.. shooooo.. lala usingizi amka kesho tafuta furaha yako wewe
Kesho akirudi mwambie hujafurahi yeye kulala nje ukishasema yako ya moyoni muwekee chai anywe.
Mkumbushe kuwa mna watoto wanahutaji kulelewa na HIV is real.
Ukishayaongea yote, funga mjadala endelea na maisha. Ukimnunia umempa because ya kwenda atakako.
Na nimeshika hiyo adabuYaani huyo ndio mwanamume wa ukweli kabisa.....kwanza utashika adabu....pili hamna mwanaume rijali akagegeda papuchi moja tuu so wala usi panic.
Ila kiukweli umemkosea heshima mume wako. Wacha akale raha na mchepuko
Hapo Mama hizo ni hasira tu na anajaribu kuwa mkali ili kupunguza uzito wa tatizo na kuzuga kiaina
Hili amelifanikisha ndio maana hadi sasa unawaza kuhusu yeye na sio ulichoona kwenye simu. Mpe muda baharia hawezi lala nje atarudi tu...
Pole sana...kuwa na subra...tulia ndani...endelea na maisha yako hapo hapo na watoto...na wala usimtafute...hata akirudi...punguza na vile wewe ulivyokuwa unavifanya...ili aone kuna kitu gani anakimiss kutoka kwako ambacho kabisa kabisa hawezi kukipata kwa huyo aliye nae huko sasa hivi...wewe utabaki kuwa wewe tu...
ILA VILE VILE NAKUPONGEZA KWA UJASIRI WA KUTAKA KUJUA UKWELI WA DHANA ULIYOKUWA NAYO...MAANA DHANA HAISAIDII KITU...ISIPOKUWA UKWELI HUSAIDIA SANA...
WENGI WANAJIDANGANYA KWA KUJIFICHA KUWA HAWAUMWI MAFUA KWA KUVUTA MAKAMASI NDANI NA KUYAMEZA KAMA MAFUA...KUMBE NI MAKASI...PENGA KAMASI TU KWA UHURU ILI UWE NA AMANI IJULIKANE KWELI NINA MAFUA...
ETI OOOH SIWEZI SHIKA SIMU YA MKE WANGU...THUBUTUUUU...HUKO NI KUTOKUJIAMINI...
Bora awahi maana baadae atakuja kuwa Mama Davis aliyekumbuka kutendewa bar na Sara kupewa nafasi kama mke...
Haya awahi kuwa Tilda aokoe ndoa mapema basi.. kwa kusali.
Huyu mumewe hapana aiseee.. awahi kabisaaaa maana ndio vituko kaanza.. na limbwata ni kama linahusu pia.
Hii kidogo point...hawa kunguru wanaokulaumu achana nao...
Ila bibie...nikuulize kitu...
HIVI HAKUNA KITU UMEKIPUNGUZA KUMPA MUMEO...
HIVI UNAMPA MUMEO PAPUCHI KISAWASAWA KWELI...? MUDA WOWOTE ANAOTAKA UNAMPA...?
UNAJIPAMBA KWA AJILI YAKE KWELI...? NA VIKOLOMBWEZO VYA KITANDANI VIPO VILE VILE AU UMEPUNGUZA UMEPELEKA KWA WATOTO...
NAAMINI HIVYO NI MOJA YA CHANZO...ILA WENGI MNAAMBIWA KILA SIKU KUWA ACHENI UTANI NA WAUME WAPENI VITU DANTA DANTA KADIRI MUWEZAVYO WAENJOY...MNAZIBA MASIKIO...
HILI NI TATIZO...HATA MIMI NATAMANI NIONGEZE MKE WA PILI KUTOKANA NA UTUMBI WA HII TABIA AMBAYO WANAWAKE WENGI WAKO NAO...WANAJISAHAU WAKIINGIA NDOANI...NAMUOGOPA TU MOLA WANGU SITAKI NA SIWEZI ZINI...
MSITUTIE KATIKA MATATIZO...
Ha ha haaaaa
Kama bado anapenda ndoa yake basi ni kusali tu kwa bidii.
Ila kwa alichofanya na kumjibu upuuzi huo hapana aiseee... ajiangalie maisha yake.. janamume la hivyo hapana aiseeee.. hapo hata iweje ndio analo.. fanya yako kimya kimya kama mjinga kumbe eeeeh. Amani itakuja ikiwa tendwa utende.. wala asimuulize tena maana ni anamchambua huyo mchepuko mwili hadi kukuche..
Ahsanteni sanaKweli huyu mwanaume ni muovu...lakini usijiumize na usijidhalilishe utu wako ety kulipa uovu wake...
Pole sana mama.
Wanaume wanasemaga wakimpenda mke siku mchepuko ukijulikana lazima uachwe na mume atakua mnyenyekevu sana kuinusuru ndoa yake.
Sasa huyo shemeji naona kaamua kuchagua upande wa mchepuko.
Siku nyingine usishike simu za watu kwa lengo la kukagua.
MWANA KULITAFUTA MWANA KULIPATA
Ahsante sanauyo jamaa kafanya ushubwada...huo ukali ni defence mechanism..sasa akirudi we ratiba ziendelee kama kawaida,usimuulize,usimnunie,,atakua na shauku ya kutaka kujua unawaza nini,,na atakacho tarajia kukisikia kutoka kwako hatakisia,,hapo ndipo safari ya kuelekea kwenye mind torturing inapoanzia..mi mvivu kuandka sitaeza malizia pattern yote ya kumtesa kiakili..hivo itakusaidia kidogo