upangiwi umemwandikia nani?,acha malipizi,hayo ni maamuzi yako usitafute mkumbo,tenda wema ,kuwa mama,nena vyema,usifate maisha ya upagani,kuwa na asili
Tueleze mke akikuambia hayo maneno utafanyaje?
Na jibu lingine hapo limbwata imekukolea na wala mkeo hasali?
ila wewe si ulisema kwamba hupendi mwanaume kukuuliza uko wapi na ukawa unatetea unaona ni sawa''''''''' see what drug just drugs in
Kabla sijaendelea kusoma.,
Matumizi ya neno "Mume wangu" kwenye maandishi yako zaidi ya mara moja, inaonyesha ni jinsi gani unatumia nguvu kutuaminisha una mume[emoji23][emoji23][emoji23] Hivyo ninamashaka kama unamume.
Sidhan kama unajua utofauti wa kuolewa na kuoaSio sahihi kabisa.. je wewe unamtegemea yeye akulishe akuvishe?
Mwanaume akidakwa kawaida hawaleti dharau aliyokupa hata iweje.. nawe tafuta wako upoze roho. Unataka iweje kwani.. kajua umemkamata na kuyaona na anakudharau.. shooooo.. lala usingizi amka kesho tafuta furaha yako wewe
Kesho akirudi mwambie hujafurahi yeye kulala nje ukishasema yako ya moyoni muwekee chai anywe.
Mkumbushe kuwa mna watoto wanahutaji kulelewa na HIV is real.
Ukishayaongea yote, funga mjadala endelea na maisha. Ukimnunia umempa because ya kwenda atakako.
[emoji447][emoji443][emoji446][emoji442][emoji446] baby ooh why u touch my[emoji390][emoji390][emoji390]
Ulichokitafuta umekipata kaa kimyaView attachment 1144269
Kabla sijaendelea kusoma.,
Matumizi ya neno "Mume wangu" kwenye maandishi yako zaidi ya mara moja, inaonyesha ni jinsi gani unatumia nguvu kutuaminisha una mume[emoji23][emoji23][emoji23] Hivyo ninamashaka kama unamume.
Mimi dume,nakwambia hivi,acha kihere here,wewe umeolewa,maana yake ndo unapendwa,mengine hayakuhusu
wanaume hatuchunguzwi,ili mradi unapata mahitaji mengine achana nayo mdogo wangu,ona sasa yaliyokukuta..