Nimekoma kukagua simu ya mume wangu

Nimekoma kukagua simu ya mume wangu

USHAURI WANGU MM WEKA KIKAO KWA FAMILIA ZOTE MBILI YAKO NA YA MUMEO ILI ULIONGEE HILO SUALA NA WALA USILIFUMBILOE JICHO ILA KAMA MKO KWENYE NDOA KAMA HAMIPO KWENYE NDOA HAPO SASA NDIO UTAAMUWA MWENYEWE UCHUKUE UWAMUZI GANI
 
Endelea tu na maisha yako jifanye kama hujui yaliyotokea. Halafu acha hasira mpende tu na fanya shughuli zako kama kawaida. Mungu atakuvusha tu maana mshika mawili moja humponyoka.
Habari za usiku huu waungwana..naamini wote mko salama.

Niwaambie yaliyonikuta sasa..week kama tatu zilizopita nilianza kuhisi mume wangu anakimada ila sikutaka kumuuliza wala sikutaka ajue kama nahisi anachepuka.

Mumewangu alikua na tabia ya kuwahi kurudi nyumbani au hata kama anajua anachelewa hua lazima apige simu kunitaarifu.

Mumewangu alikua amenipa Uhuru na simu yake hata kama anaoga alinipa ruhusa niipokee na niongee na mpigaji na sio tu mimi Uhuru huo aliwapa hata watoto wake.

Wiki tatu zilizopita nikaona mwenzangu ameanza kubadilika..hatuna ruhusa ya kushika simu..hata kama inaita atatoka bafuni na apovu lake ataichukua simu maongezi yatafanyika bafuni..ukali ukaanza kwangu na watoto hata kama haikua na haja ya kutukalipia.

Nikaanza kufuatilia mwenendo wake ndipo nilipogundua ana mwanamke..leo asubuhi nikasubiri ameenda kuoga nikachukua simu bahati nzuri nywila yake naifahamu nikapunguza sauti nikaanza kupekua kwenye whatsapp.

Nikakutana na picha za tupu za huyo mwanamke huku wakisifiana wanavyofurahishana kitandani..nilijikuta sina nguvu kwakweli..ghafla na yeye akatoka bafuni akavaa huyo akaondoka hata kifungua kinywa hakupata.

Muda wa kama nusu saa hivi nikamtumia meseji
Mimi: "ahsante nimeona na nimejua kila kitu"
Mumewangu: "umekipata ulichokua wakitafuta na ukome"
Mimi: "yani Mume wangu ndio wanijibu ivyo?"
Yeye: "tena umenikera na sirudi Leo "

Yani ninavyoandika hapa hadi sasa 11:36pm huyu mwanaume bado hajarudi na simu yake haipatikani.

Wanawake wenzangu naomba mnishauri nifanye nini?

Wanaume mnahisi alichokifanya mwanaume mwenzenu ni sahihi?

Sent from my LG-K350 using JamiiForums mobile app
 
Yupo sahihi sana alichokufanyia jamaa
We unatunzwa na kila kitu unachotaka unapata yanini kuanza kufuatiliana kama watoto wadogo
Habari za usiku huu waungwana..naamini wote mko salama.

Niwaambie yaliyonikuta sasa..week kama tatu zilizopita nilianza kuhisi mume wangu anakimada ila sikutaka kumuuliza wala sikutaka ajue kama nahisi anachepuka.

Mumewangu alikua na tabia ya kuwahi kurudi nyumbani au hata kama anajua anachelewa hua lazima apige simu kunitaarifu.

Mumewangu alikua amenipa Uhuru na simu yake hata kama anaoga alinipa ruhusa niipokee na niongee na mpigaji na sio tu mimi Uhuru huo aliwapa hata watoto wake.

Wiki tatu zilizopita nikaona mwenzangu ameanza kubadilika..hatuna ruhusa ya kushika simu..hata kama inaita atatoka bafuni na apovu lake ataichukua simu maongezi yatafanyika bafuni..ukali ukaanza kwangu na watoto hata kama haikua na haja ya kutukalipia.

Nikaanza kufuatilia mwenendo wake ndipo nilipogundua ana mwanamke..leo asubuhi nikasubiri ameenda kuoga nikachukua simu bahati nzuri nywila yake naifahamu nikapunguza sauti nikaanza kupekua kwenye whatsapp.

Nikakutana na picha za tupu za huyo mwanamke huku wakisifiana wanavyofurahishana kitandani..nilijikuta sina nguvu kwakweli..ghafla na yeye akatoka bafuni akavaa huyo akaondoka hata kifungua kinywa hakupata.

Muda wa kama nusu saa hivi nikamtumia meseji
Mimi: "ahsante nimeona na nimejua kila kitu"
Mumewangu: "umekipata ulichokua wakitafuta na ukome"
Mimi: "yani Mume wangu ndio wanijibu ivyo?"
Yeye: "tena umenikera na sirudi Leo "

Yani ninavyoandika hapa hadi sasa 11:36pm huyu mwanaume bado hajarudi na simu yake haipatikani.

Wanawake wenzangu naomba mnishauri nifanye nini?

Wanaume mnahisi alichokifanya mwanaume mwenzenu ni sahihi?
 
Kwa vyovyote haya sio mapenzi ninayo yafahamu

Mapenzi ni kuwa na uhuru na mwenzako

Kitendo cha mwenzako kutoka nje ya mahusioano yenu kinamaanisha amekuchoka

Jiongeze
 
Kesho akirudi mwambie hujafurahi yeye kulala nje ukishasema yako ya moyoni muwekee chai anywe.

Mkumbushe kuwa mna watoto wanahitaji kulelewa na HIV is real.

Ukishayaongea yote, funga mjadala endelea na maisha. Ukimnunia umempa because ya kwenda atakako.
[emoji419][emoji419][emoji419]
 
Sio sahihi kabisa.. je wewe unamtegemea yeye akulishe akuvishe?

Mwanaume akidakwa kawaida hawaleti dharau aliyokupa hata iweje.. nawe tafuta wako upoze roho. Unataka iweje kwani.. kajua umemkamata na kuyaona na anakudharau.. shooooo.. lala usingizi amka kesho tafuta furaha yako wewe
hasira hasara,bora akae kimya asimuulize chochote yeye mwenyewe ataanza kufikiri mara mbili tena ikiwezekana hata asiwe na hasira. haya mambo ya kulipizana ndio kuleta magonjwa nyumbani na kuwaacha watoto kwenye mateso.
 
Habari za usiku huu waungwana..naamini wote mko salama.

Niwaambie yaliyonikuta sasa..week kama tatu zilizopita nilianza kuhisi mume wangu anakimada ila sikutaka kumuuliza wala sikutaka ajue kama nahisi anachepuka.

Mumewangu alikua na tabia ya kuwahi kurudi nyumbani au hata kama anajua anachelewa hua lazima apige simu kunitaarifu.

Mumewangu alikua amenipa Uhuru na simu yake hata kama anaoga alinipa ruhusa niipokee na niongee na mpigaji na sio tu mimi Uhuru huo aliwapa hata watoto wake.

Wiki tatu zilizopita nikaona mwenzangu ameanza kubadilika..hatuna ruhusa ya kushika simu..hata kama inaita atatoka bafuni na apovu lake ataichukua simu maongezi yatafanyika bafuni..ukali ukaanza kwangu na watoto hata kama haikua na haja ya kutukalipia.

Nikaanza kufuatilia mwenendo wake ndipo nilipogundua ana mwanamke..leo asubuhi nikasubiri ameenda kuoga nikachukua simu bahati nzuri nywila yake naifahamu nikapunguza sauti nikaanza kupekua kwenye whatsapp.

Nikakutana na picha za tupu za huyo mwanamke huku wakisifiana wanavyofurahishana kitandani..nilijikuta sina nguvu kwakweli..ghafla na yeye akatoka bafuni akavaa huyo akaondoka hata kifungua kinywa hakupata.

Muda wa kama nusu saa hivi nikamtumia meseji
Mimi: "ahsante nimeona na nimejua kila kitu"
Mumewangu: "umekipata ulichokua wakitafuta na ukome"
Mimi: "yani Mume wangu ndio wanijibu ivyo?"
Yeye: "tena umenikera na sirudi Leo "

Yani ninavyoandika hapa hadi sasa 11:36pm huyu mwanaume bado hajarudi na simu yake haipatikani.

Wanawake wenzangu naomba mnishauri nifanye nini?

Wanaume mnahisi alichokifanya mwanaume mwenzenu ni sahihi?
Tuma location na namba tuje kukufariji
 
Kabla sijaendelea kusoma.,
Matumizi ya neno "Mume wangu" kwenye maandishi yako zaidi ya mara moja, inaonyesha ni jinsi gani unatumia nguvu kutuaminisha una mume[emoji23][emoji23][emoji23] Hivyo ninamashaka kama unamume.
Teheteheee
 
Mimi nilifanya hayo hayo baada ya kuona mwanamke wangu anamtumia picha zake lakini si za utupu.Nikaondoka na simu yake kabisa kuikagua halafu nikarudisha.Kwa taarifa tu ni kwamba leo ni siku ya nne hatuongei
 
Sio sahihi kabisa.. je wewe unamtegemea yeye akulishe akuvishe?

Mwanaume akidakwa kawaida hawaleti dharau aliyokupa hata iweje.. nawe tafuta wako upoze roho. Unataka iweje kwani.. kajua umemkamata na kuyaona na anakudharau.. shooooo.. lala usingizi amka kesho tafuta furaha yako wewe
Are you serious? I hope not. Ila kama upo serious basi hutokuwa tofauti na Mama Karisa yule wa hadithi yetu pendwa. Usisahau umalaya wa uzeeni hugharimu 😃
 
Sio sahihi kabisa.. je wewe unamtegemea yeye akulishe akuvishe?

Mwanaume akidakwa kawaida hawaleti dharau aliyokupa hata iweje.. nawe tafuta wako upoze roho. Unataka iweje kwani.. kajua umemkamata na kuyaona na anakudharau.. shooooo.. lala usingizi amka kesho tafuta furaha yako wewe
Ushauri wa "kipuuzi", watu wa Visiwani ndio wanatabia za hivyo!!!
 
Nakuona mwenyewe unavyoshadadia posts za cocochanel. Zinakugusa eh? Bi dada hii ni ndoa yako wala hakuna anayeiishi humu ndani. Unamwelewa vyema mumeo unajua mazuri na mabaya yake na nini kilikuvutia kwake mpaka mkaamua kuoana.

Yamkini kama bado unaihitaji ndoa basi fanya kama sky eclat alivyokwambia pamoja na wengine wengi humu jukwaani. Ila kama imekupendeza kuivunja, don't stress go do exactly kama unavyoshauriwa na best yako cocochanel.
Good luck with it
 
Yaani huyo ndio mwanamume wa ukweli kabisa.....kwanza utashika adabu....pili hamna mwanaume rijali akagegeda papuchi moja tuu so wala usi panic.
Ila kiukweli umemkosea heshima mume wako. Wacha akale raha na mchepuko
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16], duh!!Hakupaswa kuchunguza simu ya mumewe .
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom