Nimekoma kukagua simu ya mume wangu

Nimekoma kukagua simu ya mume wangu

Kesho akirudi mwambie hujafurahi yeye kulala nje ukishasema yako ya moyoni muwekee chai anywe.

Mkumbushe kuwa mna watoto wanahitaji kulelewa na HIV is real.

Ukishayaongea yote, funga mjadala endelea na maisha. Ukimnunia umempa because ya kwenda atakako.
Inaonekana kichwani uko vizuri. Hongera.
 
ETI OOOH SIWEZI SHIKA SIMU YA MKE WANGU...THUBUTUUUU...HUKO NI KUTOKUJIAMINI...[/QUOTE]

Mwanaume yyte anaesema hawez kushika wala kufatilia simu ya mke wake huyo ni bwege
 
Habari za usiku huu waungwana..naamini wote mko salama.

Niwaambie yaliyonikuta sasa..week kama tatu zilizopita nilianza kuhisi mume wangu anakimada ila sikutaka kumuuliza wala sikutaka ajue kama nahisi anachepuka.

Mumewangu alikua na tabia ya kuwahi kurudi nyumbani au hata kama anajua anachelewa hua lazima apige simu kunitaarifu.

Mumewangu alikua amenipa Uhuru na simu yake hata kama anaoga alinipa ruhusa niipokee na niongee na mpigaji na sio tu mimi Uhuru huo aliwapa hata watoto wake.

Wiki tatu zilizopita nikaona mwenzangu ameanza kubadilika..hatuna ruhusa ya kushika simu..hata kama inaita atatoka bafuni na apovu lake ataichukua simu maongezi yatafanyika bafuni..ukali ukaanza kwangu na watoto hata kama haikua na haja ya kutukalipia.

Nikaanza kufuatilia mwenendo wake ndipo nilipogundua ana mwanamke..leo asubuhi nikasubiri ameenda kuoga nikachukua simu bahati nzuri nywila yake naifahamu nikapunguza sauti nikaanza kupekua kwenye whatsapp.

Nikakutana na picha za tupu za huyo mwanamke huku wakisifiana wanavyofurahishana kitandani..nilijikuta sina nguvu kwakweli..ghafla na yeye akatoka bafuni akavaa huyo akaondoka hata kifungua kinywa hakupata.

Muda wa kama nusu saa hivi nikamtumia meseji
Mimi: "ahsante nimeona na nimejua kila kitu"
Mumewangu: "umekipata ulichokua wakitafuta na ukome"
Mimi: "yani Mume wangu ndio wanijibu ivyo?"
Yeye: "tena umenikera na sirudi Leo "

Yani ninavyoandika hapa hadi sasa 11:36pm huyu mwanaume bado hajarudi na simu yake haipatikani.

Wanawake wenzangu naomba mnishauri nifanye nini?

Wanaume mnahisi alichokifanya mwanaume mwenzenu ni sahihi?
Bado natafakari huu ujumbe wako hasa ukizingatia tatizo lililojitokeza ni matokeo na wala si chanzo. Wengi wetu tunajaribu kutibu matokeo bila kutibu chanzo. Kwa uzoefu wangu katika ndoa, Sumu ya ndoa ni kukosekana kwa mgegedo katika ndoa na vyanzo vikuu ni:-
i. Kulala na watoto kitanda kimoja (hasa kumweka mtoto kati ba baba na mama,
ii. Nguo za kulalia kwa wanandoa, na
iii. Ukubwa wa kitanda.

Angalizo:- Masuala haya hayawapati wapenzi ambao hawaishi wote kwa vile huwa kila mtu anajiandaa kisaikolojia kwa mgegedo. Bibie anatoka kwake akijua kuwa anaenda kupokea na mwanaume anainoa kabla ya kwenda guest au kumkaribisha mpenzi wake.
Nawasilisha
 
Wacha kulialia huko njoo pm nikufute machozi,,
Angalizo,kwangu kila mtu na simu yake,kuchunguzana sitaki,,karibu
 
Habari za usiku huu waungwana..naamini wote mko salama.

Niwaambie yaliyonikuta sasa..week kama tatu zilizopita nilianza kuhisi mume wangu anakimada ila sikutaka kumuuliza wala sikutaka ajue kama nahisi anachepuka.

Mumewangu alikua na tabia ya kuwahi kurudi nyumbani au hata kama anajua anachelewa hua lazima apige simu kunitaarifu.

Mumewangu alikua amenipa Uhuru na simu yake hata kama anaoga alinipa ruhusa niipokee na niongee na mpigaji na sio tu mimi Uhuru huo aliwapa hata watoto wake.

Wiki tatu zilizopita nikaona mwenzangu ameanza kubadilika..hatuna ruhusa ya kushika simu..hata kama inaita atatoka bafuni na apovu lake ataichukua simu maongezi yatafanyika bafuni..ukali ukaanza kwangu na watoto hata kama haikua na haja ya kutukalipia.

Nikaanza kufuatilia mwenendo wake ndipo nilipogundua ana mwanamke..leo asubuhi nikasubiri ameenda kuoga nikachukua simu bahati nzuri nywila yake naifahamu nikapunguza sauti nikaanza kupekua kwenye whatsapp.

Nikakutana na picha za tupu za huyo mwanamke huku wakisifiana wanavyofurahishana kitandani..nilijikuta sina nguvu kwakweli..ghafla na yeye akatoka bafuni akavaa huyo akaondoka hata kifungua kinywa hakupata.

Muda wa kama nusu saa hivi nikamtumia meseji
Mimi: "ahsante nimeona na nimejua kila kitu"
Mumewangu: "umekipata ulichokua wakitafuta na ukome"
Mimi: "yani Mume wangu ndio wanijibu ivyo?"
Yeye: "tena umenikera na sirudi Leo "

Yani ninavyoandika hapa hadi sasa 11:36pm huyu mwanaume bado hajarudi na simu yake haipatikani.

Wanawake wenzangu naomba mnishauri nifanye nini?

Wanaume mnahisi alichokifanya mwanaume mwenzenu ni sahihi?
Miye ni mwanaume. Ushauri wangu ni kwamba kama kweli unajua maana ya ndoa, haya mambo si ya kuleta mahali kama hapa. Ndo maana unashauriwa nawe uanze kuchepuka. Nakushauri kama ulivyolianzisha utafute namna ya kulimaliza mwenyewe. JF si uwanja wa kila kitu! Kizazi hiki sijui kinafundishwa mini kuhusu ndoa[emoji32][emoji32][emoji32]
 
Sawa

Hahaha
ETI OOOH SIWEZI SHIKA SIMU YA MKE WANGU...THUBUTUUUU...HUKO NI KUTOKUJIAMINI...

Mwanaume yyte anaesema hawez kushika wala kufatilia simu ya mke wake huyo ni bwege[/QUOTE]
 
Back
Top Bottom