Nimekoma kukagua simu ya mume wangu

Nimekoma kukagua simu ya mume wangu

Pole sana ndio changamoto za ndoa hizo muombe mungu ata kusaida wala usi lipize [emoji48]
 
"Nakuona mwenyewe unavyoshadadia posts za cocochanel .Zinakugusa eh?

Sorry hapa umemaanisha nini?
Nakuona mwenyewe unavyoshadadia posts za cocochanel. Zinakugusa eh? Bi dada hii ni ndoa yako wala hakuna anayeiishi humu ndani. Unamwelewa vyema mumeo unajua mazuri na mabaya yake na nini kilikuvutia kwake mpaka mkaamua kuoana.

Yamkini kama bado unaihitaji ndoa basi fanya kama sky eclat alivyokwambia pamoja na wengine wengi humu jukwaani. Ila kama imekupendeza kuivunja, don't stress go do exactly kama unavyoshauriwa na best yako cocochanel.
Good luck with it
 
Pole
Mimi nilifanya hayo hayo baada ya kuona mwanamke wangu anamtumia picha zake lakini si za utupu.Nikaondoka na simu yake kabisa kuikagua halafu nikarudisha.Kwa taarifa tu ni kwamba leo ni siku ya nne hatuongei
 
Hivi kumbe waume wote watokao nje ya ndoa zao wamewachoka wake zao?? Sikujua hili
Kwa vyovyote haya sio mapenzi ninayo yafahamu

Mapenzi ni kuwa na uhuru na mwenzako

Kitendo cha mwenzako kutoka nje ya mahusioano yenu kinamaanisha amekuchoka

Jiongeze
 
Ushauri mzuri huu mwanamke mwenzangu..Ahsante sana
Endelea tu na maisha yako jifanye kama hujui yaliyotokea. Halafu acha hasira mpende tu na fanya shughuli zako kama kawaida. Mungu atakuvusha tu maana mshika mawili moja humponyoka.

Sent from my LG-K350 using JamiiForums mobile app
 
Akikujibu niTag
Na vipi kama mwanamke ndiye anahudumia familia mahitaji yote...in short ndiye mwenye kipato, still akae kimya?
Na je akikaa kimya awe tayari kuletewa magonjwa?
 
Ushauri mzuri huu mwanamke mwenzangu..Ahsante sana
Ucjali. Yaan hawa wanaume huwa wanahangaikaaa mwishowe wanarudi palepale, especially mwanamke ukifocus na mambo yako, yaan get busy na interest zako zitakazokupa smile ambazo hazina madhara. Sijaona mtu mwenye mchepuko aliefanikiwa hata mmoja tena wengi wanatendwa vibaya na kurudi kuomba msamaha hata kama inachukua miaka. Ila inahitaji kuwa mjasiri tu na kutulia ili watoto wakae salama wasome bila stress, na hata majirani wasielewe. Kamwe usiwaze kumkomoa kwa lolote, usimjibu vibaya, akifoka nyamaza tulia tu. Vinapouma sana lia chumbani upate relief, futa machozi go on omba Mungu aondoe hilo balaa, hasa pale ukihisi kuumiaa sana moyoni we omba kwa imani lia mbele za Mungu.As time goes by unaanza kuona kawaida na kujiamini. Atajirudi tu na kuomba msamaha.Strong people are always calm and positive.
 
ETI OOOH SIWEZI SHIKA SIMU YA MKE WANGU...THUBUTUUUU...HUKO NI KUTOKUJIAMINI...

Mwanaume yyte anaesema hawez kushika wala kufatilia simu ya mke wake huyo ni bwege[/QUOTE]Mimi mmojawapo aisee. Kuishika na kuipekeua ndo kutojiamini kwenyewe. Mara nyingi mpekua sim ya mwenzie huwa kuna kitu tu bila shaka anakitafuta. Na Mara nyingi kile kitu hujienga na hutokea kweli na kukuta maana shetani hukazania palipo padhaifu. Lazima kuna siku utakuta tu unachokitafuta. Better kila mmoja abaki na sim yake na kama kuna jambo basi litajitokeza tu na utajua A-Z.
 
Barikiwa mpendwa
Ucjali. Yaan hawa wanaume huwa wanahangaikaaa mwishowe wanarudi palepale, especially mwanamke ukifocus na mambo yako, yaan get busy na interest zako zitakazokupa smile ambazo hazina madhara. Sijaona mtu mwenye mchepuko aliefanikiwa hata mmoja tena wengi wanatendwa vibaya na kurudi kuomba msamaha hata kama inachukua miaka. Ila inahitaji kuwa mjasiri tu na kutulia ili watoto wakae salama wasome bila stress, na hata majirani wasielewe. Kamwe usiwaze kumkomoa kwa lolote, usimjibu vibaya, akifoka nyamaza tulia tu. Vinapouma sana lia chumbani upate relief, futa machozi go on omba Mungu aondoe hilo balaa, hasa pale ukihisi kuumiaa sana moyoni we omba kwa imani lia mbele za Mungu.As time goes by unaanza kuona kawaida na kujiamini. Atajirudi tu na kuomba msamaha.Strong people are always calm and positive.
 
Bado natafakari huu ujumbe wako hasa ukizingatia tatizo lililojitokeza ni matokeo na wala si chanzo. Wengi wetu tunajaribu kutibu matokeo bila kutibu chanzo. Kwa uzoefu wangu katika ndoa, Sumu ya ndoa ni kukosekana kwa mgegedo katika ndoa na vyanzo vikuu ni:-
i. Kulala na watoto kitanda kimoja (hasa kumweka mtoto kati ba baba na mama,
ii. Nguo za kulalia kwa wanandoa, na
iii. Ukubwa wa kitanda.

Angalizo:- Masuala haya hayawapati wapenzi ambao hawaishi wote kwa vile huwa kila mtu anajiandaa kisaikolojia kwa mgegedo. Bibie anatoka kwake akijua kuwa anaenda kupokea na mwanaume anainoa kabla ya kwenda guest au kumkaribisha mpenzi wake.
Nawasilisha
Nilichogundua pia ni wanandoa kupoteza mvuto kila mmoja kwa mwenzie. Mume kupoteza kwa Mke ama Mke kupoteza kwa mume. Chanzo ni yoyote tu kati yao ..
 
Nilichogundua pia ni wanandoa kupoteza mvuto kila mmoja kwa mwenzie. Mume kupoteza kwa Mke ama Mke kupoteza kwa mume. Chanzo ni yoyote tu kati yao ..
Ndoa ikifika miaka 10 ina mitikisiko kibao. Hilo la kupoteza mvuto ni jambo la kawaida unashauriwa ujitahidi kuangalia lililo jema kutoka kwa mwenzi wako na kila siku uwe wimbo wako. Mfano anajua kupika maharage vizuri nk la sivyo utitili wa kuoa na kuacha kunakuandama. Kawaida naona hatari kwa mwanaume kuoa kabla ya miaka 35 na msichana asiwe angalau 30 years. Ndoa inahitaji ukomavu wa mwili na akili kiasi K isiwe priority bali kichicheo tu
 
Back
Top Bottom