Nimekataliwa kisa sina gari

Nimekataliwa kisa sina gari

She is right. Wanawake tusiwalaumu. Simba jike anapkuwa anatafta wa kymzalisha hutafta dume lenye sifa kama vile kuweza kuwinda na kuleta kitowewo cha kutosha. Pili mwenye iwezo wa kulida kitoto vyake. Hii ipo hata kwa wanawake. Kwasababu wao wanazaa so huhakikisha anazaa panapofaaa. Yani watoto wake watapata maisha bora na yenye fraha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kina mwajuma ndala ndefu wa mtaani kwako unawaacha ukaenda kwa slay queen. Pole
 
Hehe Davet njoo umchukue pacha wako
😂😂😂 chizi wewe.....

Huyu mwamba nimeshakutana nae mara kadhaa humu ndani hatimae na leo umenikutanisha nae tena akiwa anatema madini 😀😀
 
😂 😂 😂 😂
Sasa mkuu ulitegemea kabisa aendeshe mashine ya kusaga kweli?? yaani aendeshe mashine kutoka Buza mpaka Landmark hotel.?

On a serious note; kila mtu ana lengo lake, wewe ulikuwa na lako naye hajakidhi vigezo na yeye ana lake nawe hujakidhi vigezo.!! true meaning of L.I.F.E..!!
Unasalimiwa na kaka yako SYB
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] khaa kwahiyo kusema amuachie dada wa watu nauli 5000 ndiyo madini, na we nimegundua hhm na mmu hapakufai kabisa baki kule kule chit chat na kwingineko huku usije ukaharibikiwa bure. [emoji16][emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23] chizi wewe.....

Huyu mwamba nimeshakutana nae mara kadhaa humu ndani hatimae na leo umenikutanisha nae tena akiwa anatema madini [emoji3][emoji3]
 
Back
Top Bottom