Nimekataliwa kisa sina gari

Nimekataliwa kisa sina gari

Lazima aanzie na swali hilo kwa kuwa kwa jinsi ulivyovaa na mahali mlipokutana vinampa wasiwasi.
Wewe nawe ukaongeza utata ulipoendelea kutoa majibu fake.
Akajua tu wewe si mkweli na unafanya 'mind games' akajiongeza na hyo 20 ili asitoke patupu kwa muda alioucheze.
Basi ana akili kama zako..unadhani usmart ndio utajiri. Matapeli umeshaoana kama wachafu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hilo la gari tuliweke pembeni maana gari ni basic need ni kitu cha kawaida watu wengi sana wana magari hata huku jf na sio vyombo vya usafiri, ni magari wanaume wengi wana magari coz sikumbuki kama nilishawahi sijui Niko na mwanaume hana gari haijawai tokea na sijui sababu.

Wewe dogo be yo self maigizo mengine ni upumbavu, ati ulikwenda umevaa vibaya kisa kumpima mwanamke? Ati umevaa viatu vibovu kisa kumpima mwanamke?

Wanawake wengine tu napenda wanaume smart, hata kama huna gari kama wewe smart huwezi kuvaa mshat wa ajabu na ma viatu ya ajabu kisa kumpima mwanamke ni upuuzi.

Haya tuamnie hivyo viatu vilivuochoka kama sio vyako ulivitoa wap?uliazima? Nguo uliazima?

Hiyo mitihani yako ya kipuuzi yo' not even a boy, coz ulishakosa sifa ya mwanaume na mvulana.hata sijui we ni nani?

Kuna wanaume hata akishuka kwenye daladala,jinsi alivyo smart mate yanakutoka.
 
Duu mbaba usijisikie vibaya, kwani hakuna mtu ambaye hapendi maisha mazuri hivyo huyo bibie si kosa lake.

Itakuaje kosa lake wakati wewe mwenyewe hupendi kuwa masikini ndio maana unachakarika kufuga kuku na mashine ya kusaga?

Wewe ungeenda na true kala zako, alafu ukamwambia expectations zako na namna unavyoweza kumpima kama ataweza kuzi achieve na kwa muda gani na kubwa zaidi umwambie mapema Mambo ya kugegedana hakuna na pia yeye Mambo ya virungu hakuna pia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Be yo self maigizo mengine ni upumbavu, ati ulikwenda umevaa vibaya kisa kumpima mwanamke? Ati umevaa viatu vibovu kisa kumpima mwanamke?

Wanawake wengine tu napenda wanaume smart, hata kama huna gari kama wewe smart huwezi kuvaa mshat wa ajabu na ma viatu ya ajabu kisa kumpima mwanamke ni upuuzi.

Haya tuamnie hivyo viatu vilivuochoka kama sio vyako ulivitoa wap?uliazima? Nguo uliazima?

Hiyo mitihani yako ya kipuuzi yo' not even a boy, coz ulishakosa sifa ya mwanaume na mvulana.hata sijui we ni nani?
Mimi kwenda vile ni upumbavu sawa kwa mujibu wako. Je angekuwa kaniona mpumbavu jinsi nilivyovaa si angeondoka kuliko kula vyangu na kuomba nauli hapo nani mpumbavu. Je ulishauliza mama yako alipatwa vipi na baba yako. Wenzako wote wamechangia bila lugha ngumu jinsi gani unaonekana una malezi mabaya. KUNA WANAWAKE WANATABIA YA KWENDA KIJIJI KWA MWANAUME je hilo unaliita vipi. Heshima na ukijiheshimu na ukatoa ushauri bila lugha ngumu na yenye kuumiza upande fulani unakuwa muungwana sana. Hapo kwako hauna vitu vilivyochakaa ambavyo unaweza kuvitumia kuvaa. Acha ujuaji wa lugha ya kuumiza. Haujalazimishwa kuchangia ungesoma na kukaa kimya kuliko haya unayoaandika.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hilo la gari tuliweke pembeni maana gari ni basic need ni kitu cha kawaida watu wengi sana wana magari hata huku jf na sio vyombo vya usafiri, ni magari wanaume wengi wana magari coz sikumbuki kama nilishawahi sijui Niko na mwanaume hana gari haijawai tokea na sijui sababu.

Wewe dogo be yo self maigizo mengine ni upumbavu, ati ulikwenda umevaa vibaya kisa kumpima mwanamke? Ati umevaa viatu vibovu kisa kumpima mwanamke?

Wanawake wengine tu napenda wanaume smart, hata kama huna gari kama wewe smart huwezi kuvaa mshat wa ajabu na ma viatu ya ajabu kisa kumpima mwanamke ni upuuzi.

Haya tuamnie hivyo viatu vilivuochoka kama sio vyako ulivitoa wap?uliazima? Nguo uliazima?

Hiyo mitihani yako ya kipuuzi yo' not even a boy, coz ulishakosa sifa ya mwanaume na mvulana.hata sijui we ni nani?

Kuna wanaume hata akishuka kwenye daladala,jinsi alivyo smart mate yanakutoka.
Mimi sio dogo nina 40+ hivyo jaribu kufikiria mara mbili nimesema nilifanya makusundi sipo hivyo na gari ni kitu gani. Panga appointment na mimi uone kama nitakuja kizembe sababu najua nakuja kufanya nini. Pia waza nimeenda nae pale Landmark kitu ambacho hata walinzi wangeweza kunizuia....mimi kwa mahusiano ya mtandaoni kama ni mwanamke wa showoff ningemdirect aje sehemu tofauti. Mtu ambaye anataka mwanaume mwenye gari hana hata nauli. Mbn unachukia sana ama ndio wewe. Nakushauri uache lugha mbaya soma wenzio hakuna hata lugha ngumu imetumika. Huu ni mkasa wangu ningeweza kukaa nao bila kuuleta hapa lakini hapa kuna darasa huru ndio nimeleta kupewa mafunzo na sio kutukana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi kwenda vile ni upumbavu sawa kwa mujibu wako. Je angekuwa kaniona mpumbavu jinsi nilivyovaa si angeondoka kuliko kula vyangu na kuomba nauli hapo nani mpumbavu. Je ulishauliza mama yako alipatwa vipi na baba yako. Wenzako wote wamechangia bila lugha ngumu jinsi gani unaonekana una malezi mabaya. KUNA WANAWAKE WANATABIA YA KWENDA KIJIJI KWA MWANAUME je hilo unaliita vipi. Heshima na ukijiheshimu na ukatoa ushauri bila lugha ngumu na yenye kuumiza upande fulani unakuwa muungwana sana. Hapo kwako hauna vitu vilivyochakaa ambavyo unaweza kuvitumia kuvaa. Acha ujuaji wa lugha ya kuumiza. Haujalazimishwa kuchangia ungesoma na kukaa kimya kuliko haya unayoaandika.

Sent using Jamii Forums mobile app
Umejibu kwa uchungu, nikajikuta nimejiskia huruma pole mwaya, same he lugha yangu, vitu vinavyonikera
naandikaga hivyo.ukikua utazoea.
 
Mimi sio dogo nina 40+ hivyo jaribu kufikiria mara mbili nimesema nilifanya makusundi sipo hivyo na gari ni kitu gani. Panga appointment na mimi uone kama nitakuja kizembe sababu najua nakuja kufanya nini. Pia waza nimeenda nae pale Landmark kitu ambacho hata walinzi wangeweza kunizuia....mimi kwa mahusiano ya mtandaoni kama ni mwanamke wa showoff ningemdirect aje sehemu tofauti. Mtu ambaye anataka mwanaume mwenye gari hana hata nauli. Mbn unachukia sana ama ndio wewe. Nakushauri uache lugha mbaya soma wenzio hakuna hata lugha ngumu imetumika. Huu ni mkasa wangu ningeweza kukaa nao bila kuuleta hapa lakini hapa kuna darasa huru ndio nimeleta kupewa mafunzo na sio kutukana.

Sent using Jamii Forums mobile app

40 yrs? Shikamoo, mmmh umri huo unatega mtego huo first meeting? Haya nisamehe, afu umesema ati au ni Mimi? Hapana mm sio type hizo za kuomba nauli. Ikitokea nikaomba basi naomba mshahara wa mtu.
 
Mimi sina mshahara....ukiona mtu anafanya vitu kama hivyo ujue kashaumizwa ndugu haunifahamu hivyo ni ngumu sana kujua uzito wa tatizo lake. Karibu tujadili hoja bila hasira.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Poleni na hofu ya gonjwa hatari la corona.

Habari zenu,

Kama mtakumbuka vyema hivi karibuni nilileta ombi la kutafuta mke mwema. Mambo yakawa yanajipa taratibu sana tofauti na malengo yangu, basi wakatokeza wawili ila kuna vigezo havikukidhi. Juzi hapa nikapata mtu tukapanga tukaonana sehemu la landmark ya Ubungo.

Nilienda kama nimetoka kuchunga mbuzi sikutaka kabisa kujiweka wa juu. Tukaagiza vya kuagiza sina shida na vihela vidogo hivi. Kuku choma na mishikaki ya pale ina ubora wa kiwango cha juu. Nilivaa kiatu kimelika upande kwenye kisigino.

Kwa ufupi nilikuwa hovyo. Ikaja bili nikalipa tukaongea kupeana hadithi ya kila mmoja. Akaniuliza umejenga nikasema hapana nimepanga(jibu la uongo), akashituka nikamwambia nimenunua kiwanja Segerea ndio nimeanza kujenga! Akaniuliza una usafiri nikamwambia sina(jibu la ukweli) nikaona kabisa kashapotea.

Nikamwambia gari nilikuwa nalo ila hivi sasa nimewekeza nafuga na pia kuna ujenzi wa mashine ya kusaga na kukoboa wazo langu niwe na brand ya unga wangu.

Nikamwambia gari litakuja soon ila natarajia mke wangu atakuwa anaendesha mashine ya kusaga[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hapa nikaona kabadilika kbs akasema ngoja niite uber maana kuna sehemu nawahi. Akaomba nimboost nauli nikampa 20 tukamalizana.

Asubuhi nikakutana na ujumbe toka kwake" samahani mpendwa nimeitikia wito wako ila wewe sio mwanaume wa ndoto yangu hauna nyumba hauna gari.

Halafu unasema mkeo atakuja kuendesha sijui mashine ya kusaga. Mimi nataka kuendesha Vanguard sio mashine ya kusaga. Mungu atakupa wa kufanana nawe".

Nikasema heri mtu miaka 33 anawaza kinyume na mbele. Kumbe gari ni moja ya CV ya kuonekana una hela. Siku nikiwa na miadi naomba mwenye passo aniazime.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaaa afu wee jamaa nilikuona pale landmark hotel,mlihudumiwa na mzee mzee hivi afu baadaye akaja kijana kumsaidia babu,nilicheka sanaaaa na mshkaji wangu namna bibie alivyokuwa anakunja zura!
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Poleni na hofu ya gonjwa hatari la corona.

Habari zenu,

Kama mtakumbuka vyema hivi karibuni nilileta ombi la kutafuta mke mwema. Mambo yakawa yanajipa taratibu sana tofauti na malengo yangu, basi wakatokeza wawili ila kuna vigezo havikukidhi. Juzi hapa nikapata mtu tukapanga tukaonana sehemu la landmark ya Ubungo.

Nilienda kama nimetoka kuchunga mbuzi sikutaka kabisa kujiweka wa juu. Tukaagiza vya kuagiza sina shida na vihela vidogo hivi. Kuku choma na mishikaki ya pale ina ubora wa kiwango cha juu. Nilivaa kiatu kimelika upande kwenye kisigino.

Kwa ufupi nilikuwa hovyo. Ikaja bili nikalipa tukaongea kupeana hadithi ya kila mmoja. Akaniuliza umejenga nikasema hapana nimepanga(jibu la uongo), akashituka nikamwambia nimenunua kiwanja Segerea ndio nimeanza kujenga! Akaniuliza una usafiri nikamwambia sina(jibu la ukweli) nikaona kabisa kashapotea.

Nikamwambia gari nilikuwa nalo ila hivi sasa nimewekeza nafuga na pia kuna ujenzi wa mashine ya kusaga na kukoboa wazo langu niwe na brand ya unga wangu.

Nikamwambia gari litakuja soon ila natarajia mke wangu atakuwa anaendesha mashine ya kusaga[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hapa nikaona kabadilika kbs akasema ngoja niite uber maana kuna sehemu nawahi. Akaomba nimboost nauli nikampa 20 tukamalizana.

Asubuhi nikakutana na ujumbe toka kwake" samahani mpendwa nimeitikia wito wako ila wewe sio mwanaume wa ndoto yangu hauna nyumba hauna gari.

Halafu unasema mkeo atakuja kuendesha sijui mashine ya kusaga. Mimi nataka kuendesha Vanguard sio mashine ya kusaga. Mungu atakupa wa kufanana nawe".

Nikasema heri mtu miaka 33 anawaza kinyume na mbele. Kumbe gari ni moja ya CV ya kuonekana una hela. Siku nikiwa na miadi naomba mwenye passo aniazime.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanawake wa miaka hii yan anataka kila kitu akukute nacho aya bhana kuondoka mtaondoka ivo ivoo
 
Being fake in a positive way sio kosa,coz hata akikutana na reality haitamuathiri,sasa ngoja akutane na fake in a negative way, jamaa linakuja na vanguard kali (ya kuazima) linakuonyesha picha za nyumba kali (ya watu) then linaaminiwa, linatafuna weeee baadaye linatokomea, pengine na mimba yake unabeba halafu mwisho wa siku unagundua lina kanuni ya "ahsante kwa chakula" mara tatu kwa siku...(linaishi kwa shemeji yake) hapo ndo utakapojua rangi zote za binadamu!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom