secret file
JF-Expert Member
- Sep 10, 2019
- 5,838
- 8,653
Ww majibu yako yakoje ukiwa unatupiga vibuti!Hivi kweli Kuna wanawake wanatoa majibu ya hivyo? Bila kupepesa macho? Nashindwa kuamini
Sent using Jamii Forums mobile app

Kaka gari ndio kila kitu mujini yaani ukiwa nalo mbona unawavua chupi utakavyoPoleni na hofu ya gonjwa hatari la corona.
Habari zenu,
Kama mtakumbuka vyema hivi karibuni nilileta ombi la kutafuta mke mwema. Mambo yakawa yanajipa taratibu sana tofauti na malengo yangu, basi wakatokeza wawili ila kuna vigezo havikukidhi. Juzi hapa nikapata mtu tukapanga tukaonana sehemu la landmark ya Ubungo.
Nilienda kama nimetoka kuchunga mbuzi sikutaka kabisa kujiweka wa juu. Tukaagiza vya kuagiza sina shida na vihela vidogo hivi. Kuku choma na mishikaki ya pale ina ubora wa kiwango cha juu. Nilivaa kiatu kimelika upande kwenye kisigino.
Kwa ufupi nilikuwa hovyo. Ikaja bili nikalipa tukaongea kupeana hadithi ya kila mmoja. Akaniuliza umejenga nikasema hapana nimepanga(jibu la uongo), akashituka nikamwambia nimenunua kiwanja Segerea ndio nimeanza kujenga! Akaniuliza una usafiri nikamwambia sina(jibu la ukweli) nikaona kabisa kashapotea.
Nikamwambia gari nilikuwa nalo ila hivi sasa nimewekeza nafuga na pia kuna ujenzi wa mashine ya kusaga na kukoboa wazo langu niwe na brand ya unga wangu.
Nikamwambia gari litakuja soon ila natarajia mke wangu atakuwa anaendesha mashine ya kusaga[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hapa nikaona kabadilika kbs akasema ngoja niite uber maana kuna sehemu nawahi. Akaomba nimboost nauli nikampa 20 tukamalizana.
Asubuhi nikakutana na ujumbe toka kwake" samahani mpendwa nimeitikia wito wako ila wewe sio mwanaume wa ndoto yangu hauna nyumba hauna gari.
Halafu unasema mkeo atakuja kuendesha sijui mashine ya kusaga. Mimi nataka kuendesha Vanguard sio mashine ya kusaga. Mungu atakupa wa kufanana nawe".
Nikasema heri mtu miaka 33 anawaza kinyume na mbele. Kumbe gari ni moja ya CV ya kuonekana una hela. Siku nikiwa na miadi naomba mwenye passo aniazime.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa, ila hizi familia za kujenga ndani ya magari zina raha tupu, Na sio kwa taabu na raha!Unadhani kuna mtu anaingia ndoani bila lengo mkuu??
Hata kuwa na mtu wa kujenga naye familia hilo tayari ni lengo..!!
Usifikiri tu kwenye negativities.!!
Kama ulikuwa akilini mwangu, hii chai nimegoma kuinywa.Hivi kweli Kuna wanawake wanatoa majibu ya hivyo? Bila kupepesa macho? Nashindwa kuamini
Sent using Jamii Forums mobile app
Poleni na hofu ya gonjwa hatari la corona.
Habari zenu,
Kama mtakumbuka vyema hivi karibuni nilileta ombi la kutafuta mke mwema. Mambo yakawa yanajipa taratibu sana tofauti na malengo yangu, basi wakatokeza wawili ila kuna vigezo havikukidhi. Juzi hapa nikapata mtu tukapanga tukaonana sehemu la landmark ya Ubungo.
Nilienda kama nimetoka kuchunga mbuzi sikutaka kabisa kujiweka wa juu. Tukaagiza vya kuagiza sina shida na vihela vidogo hivi. Kuku choma na mishikaki ya pale ina ubora wa kiwango cha juu. Nilivaa kiatu kimelika upande kwenye kisigino.
Kwa ufupi nilikuwa hovyo. Ikaja bili nikalipa tukaongea kupeana hadithi ya kila mmoja. Akaniuliza umejenga nikasema hapana nimepanga(jibu la uongo), akashituka nikamwambia nimenunua kiwanja Segerea ndio nimeanza kujenga! Akaniuliza una usafiri nikamwambia sina(jibu la ukweli) nikaona kabisa kashapotea.
Nikamwambia gari nilikuwa nalo ila hivi sasa nimewekeza nafuga na pia kuna ujenzi wa mashine ya kusaga na kukoboa wazo langu niwe na brand ya unga wangu.
Nikamwambia gari litakuja soon ila natarajia mke wangu atakuwa anaendesha mashine ya kusaga[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hapa nikaona kabadilika kbs akasema ngoja niite uber maana kuna sehemu nawahi. Akaomba nimboost nauli nikampa 20 tukamalizana.
Asubuhi nikakutana na ujumbe toka kwake" samahani mpendwa nimeitikia wito wako ila wewe sio mwanaume wa ndoto yangu hauna nyumba hauna gari.
Halafu unasema mkeo atakuja kuendesha sijui mashine ya kusaga. Mimi nataka kuendesha Vanguard sio mashine ya kusaga. Mungu atakupa wa kufanana nawe".
Nikasema heri mtu miaka 33 anawaza kinyume na mbele. Kumbe gari ni moja ya CV ya kuonekana una hela. Siku nikiwa na miadi naomba mwenye passo aniazime.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wadada wanahofia kuanza na mwanaume from the scratch halafu mwanaume akifanikiwa anaona you ain't his league sababu wale aliokuwa anawataka hakuweza kuwapata kwa kipindi kile wallet haibani.!Sawa, ila hizi familia za kujenga ndani ya magari zina raha tupu, Na sio kwa taabu na raha!
Tatizo wadada wa siku hizi wanataka maisha tayari, raha ya maisha muanze pamoja, hata wewe utakuwa na Amani mpaka uzeeni.
Sijui ndo wewe!!!?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sasa mkuu ulitegemea kabisa aendeshe mashine ya kusaga kweli?? yaani aendeshe mashine kutoka Buza mpaka Landmark hotel.?
On a serious note; kila mtu ana lengo lake, wewe ulikuwa na lako naye hajakidhi vigezo na yeye ana lake nawe hujakidhi vigezo.!! true meaning of L.I.F.E..!!
Ungejua tunavyowaheshimu nyie tulioanza pamoja kwenye sifuri 0, siwezi kusema,Wadada wanahofia kuanza na mwanaume from the scratch halafu mwanaume akifanikiwa anaona you ain't his league sababu wale aliokuwa anawataka hakuweza kuwapata kwa kipindi kile wallet haibani.!
Kabla mlalamikie wanawake, jiulizeni ninyi kama wanaume mmekwama wapi?
Do I look like the one?Sijui ndo wewe!!!?
Unajichanganya, hapo sasa thamani iko wapi[emoji1745][emoji1745][emoji1745][emoji1745]Ungejua tunavyowaheshimu nyie tulioanza pamoja kwenye sifuri 0, siwezi kusema,
Tatizo wanaume wengi tunapopata pesa hupenda kujaribu zile starehe tulizokosa wakati hamna fedha. Ulofa ukiisha wanabaki kwa wake zao.
Mke wa ujana ana thamni sana.
Aiseee sasa mkuu unamwambia mtu aje kuendesha mashine tena ya kusaga unga unajua kelele zake kweli
Nkupongeze kwa kuwa muwazi ila Mungu atakupa itaji lako endelea kupambana mke atafutwi anakuja mwenyewe kwenye life cycle utashangaaa tu ushamtia mtu mimba anakua mkeo wengine ndo tumeoa ivo japo sio kila mtu ataoa ivo
#Stayhome safe COVID-19 is everywhere
Mkuu huyo hayuko tayar kuolewaPoleni na hofu ya gonjwa hatari la corona.
Habari zenu,
Kama mtakumbuka vyema hivi karibuni nilileta ombi la kutafuta mke mwema. Mambo yakawa yanajipa taratibu sana tofauti na malengo yangu, basi wakatokeza wawili ila kuna vigezo havikukidhi. Juzi hapa nikapata mtu tukapanga tukaonana sehemu la landmark ya Ubungo.
Nilienda kama nimetoka kuchunga mbuzi sikutaka kabisa kujiweka wa juu. Tukaagiza vya kuagiza sina shida na vihela vidogo hivi. Kuku choma na mishikaki ya pale ina ubora wa kiwango cha juu. Nilivaa kiatu kimelika upande kwenye kisigino.
Kwa ufupi nilikuwa hovyo. Ikaja bili nikalipa tukaongea kupeana hadithi ya kila mmoja. Akaniuliza umejenga nikasema hapana nimepanga(jibu la uongo), akashituka nikamwambia nimenunua kiwanja Segerea ndio nimeanza kujenga! Akaniuliza una usafiri nikamwambia sina(jibu la ukweli) nikaona kabisa kashapotea.
Nikamwambia gari nilikuwa nalo ila hivi sasa nimewekeza nafuga na pia kuna ujenzi wa mashine ya kusaga na kukoboa wazo langu niwe na brand ya unga wangu.
Nikamwambia gari litakuja soon ila natarajia mke wangu atakuwa anaendesha mashine ya kusaga[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hapa nikaona kabadilika kbs akasema ngoja niite uber maana kuna sehemu nawahi. Akaomba nimboost nauli nikampa 20 tukamalizana.
Asubuhi nikakutana na ujumbe toka kwake" samahani mpendwa nimeitikia wito wako ila wewe sio mwanaume wa ndoto yangu hauna nyumba hauna gari.
Halafu unasema mkeo atakuja kuendesha sijui mashine ya kusaga. Mimi nataka kuendesha Vanguard sio mashine ya kusaga. Mungu atakupa wa kufanana nawe".
Nikasema heri mtu miaka 33 anawaza kinyume na mbele. Kumbe gari ni moja ya CV ya kuonekana una hela. Siku nikiwa na miadi naomba mwenye passo aniazime.
Sent using Jamii Forums mobile app
Laiti ungejua pesa zikipatikana dharau unazofanyiwa, usingetetea hili.! Mtu yoyote ukitaka kujua 'true color' yake muache apate pesa.! I've been there na nina mifano hai kabisa, wenge la pesa likija kuisha na ulimbukeni kumpungua ndiyo anakurupuka huko alikokuwa na kukumbuka alipoteza almasi wakati anakazana kukusanya mawe.!!Ungejua tunavyowaheshimu nyie tulioanza pamoja kwenye sifuri 0, siwezi kusema,
Tatizo wanaume wengi tunapopata pesa hupenda kujaribu zile starehe tulizokosa wakati hamna fedha. Ulofa ukiisha wanabaki kwa wake zao.
Mke wa ujana ana thamni sana.
Asee sio kujichanganya,Siku zote Mwanaume hawezi kutulia na Mwanamke mmoja, huu ni ukweli ulio wazi, Ukiona mwanaume ametulia kwa Mwanamke mmoja huyo ana Matatizo.Unajichanganya, hapo sasa thamani iko wapi[emoji1745][emoji1745][emoji1745][emoji1745]
Ukayatafute ya kuyatafuta huko then urudi nayo ndio thamani hiyo? Hii neno "heshima au thamani" mnayoiongelea sijawahi kuielewa walah!!!
Hivi kweli Kuna wanawake wanatoa majibu ya hivyo? Bila kupepesa macho? Nashindwa kuamini
Sent using Jamii Forums mobile app