Nimekataliwa kisa sina gari

Nimekataliwa kisa sina gari

Au usikute mtoa mada kaamua tu kuongezea chumvi hapo kwenye hayo majibu, maana hawa nao siyo wa kuwaamini sana sometimes ni hasira za kukataliwa tu ndiyo huwa zinawasumbua.
Waweza sema kimoyo moyo au kumwambia shoga yako lakini kumtamkia muhusika face to face ni ngumu
 
Wanwake[emoji28][emoji28]
Poleni na hofu ya gonjwa hatari la corona.

Habari zenu,

Kama mtakumbuka vyema hivi karibuni nilileta ombi la kutafuta mke mwema. Mambo yakawa yanajipa taratibu sana tofauti na malengo yangu, basi wakatokeza wawili ila kuna vigezo havikukidhi. Juzi hapa nikapata mtu tukapanga tukaonana sehemu la landmark ya Ubungo.

Nilienda kama nimetoka kuchunga mbuzi sikutaka kabisa kujiweka wa juu. Tukaagiza vya kuagiza sina shida na vihela vidogo hivi. Kuku choma na mishikaki ya pale ina ubora wa kiwango cha juu. Nilivaa kiatu kimelika upande kwenye kisigino.

Kwa ufupi nilikuwa hovyo. Ikaja bili nikalipa tukaongea kupeana hadithi ya kila mmoja. Akaniuliza umejenga nikasema hapana nimepanga(jibu la uongo), akashituka nikamwambia nimenunua kiwanja Segerea ndio nimeanza kujenga! Akaniuliza una usafiri nikamwambia sina(jibu la ukweli) nikaona kabisa kashapotea.

Nikamwambia gari nilikuwa nalo ila hivi sasa nimewekeza nafuga na pia kuna ujenzi wa mashine ya kusaga na kukoboa wazo langu niwe na brand ya unga wangu.

Nikamwambia gari litakuja soon ila natarajia mke wangu atakuwa anaendesha mashine ya kusaga[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hapa nikaona kabadilika kbs akasema ngoja niite uber maana kuna sehemu nawahi. Akaomba nimboost nauli nikampa 20 tukamalizana.

Asubuhi nikakutana na ujumbe toka kwake" samahani mpendwa nimeitikia wito wako ila wewe sio mwanaume wa ndoto yangu hauna nyumba hauna gari.

Halafu unasema mkeo atakuja kuendesha sijui mashine ya kusaga. Mimi nataka kuendesha Vanguard sio mashine ya kusaga. Mungu atakupa wa kufanana nawe".

Nikasema heri mtu miaka 33 anawaza kinyume na mbele. Kumbe gari ni moja ya CV ya kuonekana una hela. Siku nikiwa na miadi naomba mwenye passo aniazime.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umeshindwa kununua hata Toyota moja mfano crown au harrier? Sasa hapo kweli si ungemtesa mtoto wa watu? Nyumba si lazima kujenga. Nenda kapange apartment hata ya tsh 900,000-1,000,000 kwa mwezi.lipia hata miaka 20. Pumzika na mkeo fanyeni maisha ukijipanga kununua gari za ulaya. Kwa sasa kama hali ngumu nunua hata Toyota Crown au Subaru za miaka ya 2015 kuja juu.

Shukrani mkuu ila sintohitaji tena kutafuta mke kupitia kwenye mitandao. Ngoja nifuate ushauri wako
Mkuu pole kwa hayo majibu ila kama mke wa kuoa bora atumie hata ndugu, jamaa,na marafiki wasaidie kukutafutia ndipo mengine yaendelee, vinginevyo hao wahuni utaendelea kukutana nao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa huyu niliyekutana nae mpaka anaomba nauli unaweza kumuweka katika kundi la wa hali ya juu ama ya chini. Hapo ulipo umeshawaza kuwa hata na kumiliki kitu chako zaidi ya kutegemea mshahara ila kama unaona.
Ila wanaume tupunguze lawama, kama unataka wa hali ya chini mbona wapo kibao tuu kitaa, hauhitaji kuwapima kwani ukosema tuu namiliki mashine ya kusaga umewapata.
Wengi wa walio katika Social Media ni wapaka urembo na watoto wa mjini, hasa waliosoma, so unapoweka appointment jipange kichuochuo kwa muonekano na kila kitu.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umeshindwa kununua hata Toyota moja mfano crown au harrier? Sasa hapo kweli si ungemtesa mtoto wa watu? Nyumba si lazima kujenga. Nenda kapange apartment hata ya tsh 900,000-1,000,000 kwa mwezi.lipia hata miaka 20. Pumzika na mkeo fanyeni maisha ukijipanga kununua gari za ulaya. Kwa sasa kama hali ngumu nunua hata Toyota Crown au Subaru za miaka ya 2015 kuja juu.
Kiduku mwenzangu una uwezo wakumiliki hayo magari. Maana unaishi maisha ya sayari yako ambayo unatushirikisha wengine.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah raha ya gari Pisi unapigia ndani ya gari

inakurahishia kutongoza ukiomba number apo hesabu umekubaliwa asilimia 85, hiyo 15 ww imebakia kumwambia mkutane na kumalizia

Kumbuka, ukimwi upo kwa binadamu na sio wanyama
 
Back
Top Bottom