Wadada wanahofia kuanza na mwanaume from the scratch halafu mwanaume akifanikiwa anaona you ain't his league sababu wale aliokuwa anawataka hakuweza kuwapata kwa kipindi kile wallet haibani.!
Kabla mlalamikie wanawake, jiulizeni ninyi kama wanaume mmekwama wapi?
Ungejua tunavyowaheshimu nyie tulioanza pamoja kwenye sifuri 0, siwezi kusema,
Tatizo wanaume wengi tunapopata pesa hupenda kujaribu zile starehe tulizokosa wakati hamna fedha. Ulofa ukiisha wanabaki kwa wake zao.
Mke wa ujana ana thamni sana.
Jamaa kakosea sana, umri wake nahic bado mdogo sana. First look ndio inadetermine kila kitu. Jamaa bado sana huyu.Siku nyingine usiende kama mchunga mbuzi….nenda tu kawaida...siku ya miadi mtu anatarajia uwe angalau vizuri
Tatizo la kuchelewa kuoa unajidai unajipanga, umri unaenda na hujajipanga.Poleni na hofu ya gonjwa hatari la corona.
Habari zenu,
Kama mtakumbuka vyema hivi karibuni nilileta ombi la kutafuta mke mwema. Mambo yakawa yanajipa taratibu sana tofauti na malengo yangu, basi wakatokeza wawili ila kuna vigezo havikukidhi. Juzi hapa nikapata mtu tukapanga tukaonana sehemu la landmark ya Ubungo.
Nilienda kama nimetoka kuchunga mbuzi sikutaka kabisa kujiweka wa juu. Tukaagiza vya kuagiza sina shida na vihela vidogo hivi. Kuku choma na mishikaki ya pale ina ubora wa kiwango cha juu. Nilivaa kiatu kimelika upande kwenye kisigino.
Kwa ufupi nilikuwa hovyo. Ikaja bili nikalipa tukaongea kupeana hadithi ya kila mmoja. Akaniuliza umejenga nikasema hapana nimepanga(jibu la uongo), akashituka nikamwambia nimenunua kiwanja Segerea ndio nimeanza kujenga! Akaniuliza una usafiri nikamwambia sina(jibu la ukweli) nikaona kabisa kashapotea.
Nikamwambia gari nilikuwa nalo ila hivi sasa nimewekeza nafuga na pia kuna ujenzi wa mashine ya kusaga na kukoboa wazo langu niwe na brand ya unga wangu.
Nikamwambia gari litakuja soon ila natarajia mke wangu atakuwa anaendesha mashine ya kusaga[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hapa nikaona kabadilika kbs akasema ngoja niite uber maana kuna sehemu nawahi. Akaomba nimboost nauli nikampa 20 tukamalizana.
Asubuhi nikakutana na ujumbe toka kwake" samahani mpendwa nimeitikia wito wako ila wewe sio mwanaume wa ndoto yangu hauna nyumba hauna gari.
Halafu unasema mkeo atakuja kuendesha sijui mashine ya kusaga. Mimi nataka kuendesha Vanguard sio mashine ya kusaga. Mungu atakupa wa kufanana nawe".
Nikasema heri mtu miaka 33 anawaza kinyume na mbele. Kumbe gari ni moja ya CV ya kuonekana una hela. Siku nikiwa na miadi naomba mwenye passo aniazime.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimekuelewa sana.Wadada wanahofia kuanza na mwanaume from the scratch halafu mwanaume akifanikiwa anaona you ain't his league sababu wale aliokuwa anawataka hakuweza kuwapata kwa kipindi kile wallet haibani.!
Kabla mlalamikie wanawake, jiulizeni ninyi kama wanaume mmekwama wapi?
Ah wee huna gari sahau kugegeda warembo bwana... Gari inarahisisha kumgegeda demu... Yaani akishaingia ndani ya gari huyo ulishamgegeda.Kaka gari sio kitu unajua kila mtu na malengo yake kwa akili ya kawaida tu hizi passo ni kama 4M sasa kuna ugumu gani
Sent using Jamii Forums mobile app
Asee sio kujichanganya,Siku zote Mwanaume hawezi kutulia na Mwanamke mmoja, huu ni ukweli ulio wazi, Ukiona mwanaume ametulia kwa Mwanamke mmoja huyo ana Matatizo.
Mke ana thamani yake,anapewa heshima zote anazostahili, ikiwemo ya kutokujua kuwa kuna wanawake wengine zaidi yake, anapewa kila anachohitaji.
'Ningekuwa na gari na pesa, ningekufuata wewe'!?Kuna mmoja huko juu kacomment, "demu unanikataa eti kisa sina gari, unafikiri ningekuwa na gari na pesa ningekufuata wewe".
Kauli kama hizo zinafikirisha sana aisee, imebidi tu nicheke kama mazuri vile.
Hauwezi kutaka kumuuliza mpenzi wako anafanya nini. Mimi kesi yangu tofauti. Nataka mke sio girl friend huko nimeshapitaMmekutana siku moja mkaanza na kuweka mikakati ya kuoana,yaani mnataka siku hiyohiyo mjuane mpaka na mnavyomiliki??
Siwezi kutafuta mke kabla sijapata mpenzi.
Hayo ndiyo ya kuruka stage.
Girlfriend/boyfriend ---Mchumba---Mke/Mume.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu nina 40+ sina utoto hata chembe nimefanya kwa purpose kuuJamaa kakosea sana, umri wake nahic bado mdogo sana. First look ndio inadetermine kila kitu. Jamaa bado sana huyu.
Sent using Jamii Forums mobile app
'Ningekuwa na gari na pesa, ningekufuata wewe'!?
Na hii ndiyo aina ya wanaume wanalia kila siku tuanze nao from the scratch, seriously.?
Means I ain't your league, ni vile 'pangu pakavu tia mchuzi' ndiyo maana ukaja, siku ukizichanga utaenda sasa rasmi kwa walio level yako.!!
Kuendesha kiingereza chake ni kipi ama ulitaka nimwambie asimamie. Usiongelee maumivu ya kiatu ambacho haujakivaa.Tatizo la kuchelewa kuoa unajidai unajipanga, umri unaenda na hujajipanga.
Kuna umri ukimtokea mdada anajua lazima utakuwa umejipanga, kumbe umejipanga hadi vimeshindikana
Oa mjipange pamoja ukiwa umri wa ujana. sasa miaka 33 na majibu yako ndo hayo ya kuendesha mashine ya kusaga, lazima uachwe
Ah wee huna gari sahau kugegeda warembo bwana... Gari inarahisisha kumgegeda demu... Yaani akishaingia ndani ya gari huyo ulishamgegeda.
Aiseee.... kwani we umeelewa mashine ya kusaga ina matairi..!!??😂 😂 😂 😂
Sasa mkuu ulitegemea kabisa aendeshe mashine ya kusaga kweli?? yaani aendeshe mashine kutoka Buza mpaka Landmark hotel.?
On a serious note; kila mtu ana lengo lake, wewe ulikuwa na lako naye hajakidhi vigezo na yeye ana lake nawe hujakidhi vigezo.!! true meaning of L.I.F.E..!!
Waweza sema kimoyo moyo au kumwambia shoga yako lakini kumtamkia muhusika face to face ni ngumuYaani hata mie huwa nashangaa, tena anataja na gari anayotaka kuiendesha huo ujasiri sijui wanautoa wapi aiseee.
Yani haya mashetani ya kike sijui yananini hapo anaangaika kutafuta mwanaume hajui kama hayo anayo taka hua yanakuja tuPoleni na hofu ya gonjwa hatari la corona.
Habari zenu,
Kama mtakumbuka vyema hivi karibuni nilileta ombi la kutafuta mke mwema. Mambo yakawa yanajipa taratibu sana tofauti na malengo yangu, basi wakatokeza wawili ila kuna vigezo havikukidhi. Juzi hapa nikapata mtu tukapanga tukaonana sehemu la landmark ya Ubungo.
Nilienda kama nimetoka kuchunga mbuzi sikutaka kabisa kujiweka wa juu. Tukaagiza vya kuagiza sina shida na vihela vidogo hivi. Kuku choma na mishikaki ya pale ina ubora wa kiwango cha juu. Nilivaa kiatu kimelika upande kwenye kisigino.
Kwa ufupi nilikuwa hovyo. Ikaja bili nikalipa tukaongea kupeana hadithi ya kila mmoja. Akaniuliza umejenga nikasema hapana nimepanga(jibu la uongo), akashituka nikamwambia nimenunua kiwanja Segerea ndio nimeanza kujenga! Akaniuliza una usafiri nikamwambia sina(jibu la ukweli) nikaona kabisa kashapotea.
Nikamwambia gari nilikuwa nalo ila hivi sasa nimewekeza nafuga na pia kuna ujenzi wa mashine ya kusaga na kukoboa wazo langu niwe na brand ya unga wangu.
Nikamwambia gari litakuja soon ila natarajia mke wangu atakuwa anaendesha mashine ya kusaga[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hapa nikaona kabadilika kbs akasema ngoja niite uber maana kuna sehemu nawahi. Akaomba nimboost nauli nikampa 20 tukamalizana.
Asubuhi nikakutana na ujumbe toka kwake" samahani mpendwa nimeitikia wito wako ila wewe sio mwanaume wa ndoto yangu hauna nyumba hauna gari.
Halafu unasema mkeo atakuja kuendesha sijui mashine ya kusaga. Mimi nataka kuendesha Vanguard sio mashine ya kusaga. Mungu atakupa wa kufanana nawe".
Nikasema heri mtu miaka 33 anawaza kinyume na mbele. Kumbe gari ni moja ya CV ya kuonekana una hela. Siku nikiwa na miadi naomba mwenye passo aniazime.
Sent using Jamii Forums mobile app
Read between the lines Mr. Ngalikihinja.!!Aiseee.... kwani we umeelewa mashine ya kusaga ina matairi..!!??