Nimekataliwa kisa sina gari

Nimekataliwa kisa sina gari

😀😀
Mpaka muda naandika hii post yenyewe unasoma sasa hivi tayari ujumbe ulishamfikia, nimekuona nikakumbuka vile ulitaka kufa 😂
Hahahaa..!
And I verily knew it huu ujumbe utafika mubashara kabisa.!!
Kuna watu Mungu anakukutanisha nao maishani kipindi unawahitaji kabisa.! Abarikiwe tu yule kaka, ni kati ya watu walioacha alama isiyofutika moyoni mwangu.!
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] khaa kwahiyo kusema amuachie dada wa watu nauli 5000 ndiyo madini, na we nimegundua hhm na mmu hapakufai kabisa baki kule kule chit chat na kwingineko huku usije ukaharibikiwa bure. [emoji16][emoji16]
😂😂😂😂

🏃‍♂️🏃‍♂️
 
Nilikuja kuamini wanapenda sana magari.
Kimasihara (halfway though) nimefinya sana kwa magari ya kuazima.
Hata ukimwambia ni la Boss, as long as anakuona unakanyaga mafuta hana shida.

Najaribu kufanya research kuna uhusiano gani kati ya mwanamke na steering wheel

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahaa..!
And I verily knew it huu ujumbe utafika mubashara kabisa.!!
Kuna watu Mungu anakukutanisha nao maishani kipindi unawahitaji kabisa.! Abarikiwe tu yule kaka, ni kati ya watu walioacha alama isiyofutika moyoni mwangu.!
Daah! Haya maelezo mafupi sana ila yana mambo mazito ndani yake, bro azidi kubarikiwa ili azidi kuacha alama mioyoni mwa watu wengi zaidi....

Wewe na mimi pia tubarikiwe 🙏
 
Ukipata gari kalipe kisasi...
Poleni na hofu ya gonjwa hatari la corona.

Habari zenu,

Kama mtakumbuka vyema hivi karibuni nilileta ombi la kutafuta mke mwema. Mambo yakawa yanajipa taratibu sana tofauti na malengo yangu, basi wakatokeza wawili ila kuna vigezo havikukidhi. Juzi hapa nikapata mtu tukapanga tukaonana sehemu la landmark ya Ubungo.

Nilienda kama nimetoka kuchunga mbuzi sikutaka kabisa kujiweka wa juu. Tukaagiza vya kuagiza sina shida na vihela vidogo hivi. Kuku choma na mishikaki ya pale ina ubora wa kiwango cha juu. Nilivaa kiatu kimelika upande kwenye kisigino.

Kwa ufupi nilikuwa hovyo. Ikaja bili nikalipa tukaongea kupeana hadithi ya kila mmoja. Akaniuliza umejenga nikasema hapana nimepanga(jibu la uongo), akashituka nikamwambia nimenunua kiwanja Segerea ndio nimeanza kujenga! Akaniuliza una usafiri nikamwambia sina(jibu la ukweli) nikaona kabisa kashapotea.

Nikamwambia gari nilikuwa nalo ila hivi sasa nimewekeza nafuga na pia kuna ujenzi wa mashine ya kusaga na kukoboa wazo langu niwe na brand ya unga wangu.

Nikamwambia gari litakuja soon ila natarajia mke wangu atakuwa anaendesha mashine ya kusaga[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hapa nikaona kabadilika kbs akasema ngoja niite uber maana kuna sehemu nawahi. Akaomba nimboost nauli nikampa 20 tukamalizana.

Asubuhi nikakutana na ujumbe toka kwake" samahani mpendwa nimeitikia wito wako ila wewe sio mwanaume wa ndoto yangu hauna nyumba hauna gari.

Halafu unasema mkeo atakuja kuendesha sijui mashine ya kusaga. Mimi nataka kuendesha Vanguard sio mashine ya kusaga. Mungu atakupa wa kufanana nawe".

Nikasema heri mtu miaka 33 anawaza kinyume na mbele. Kumbe gari ni moja ya CV ya kuonekana una hela. Siku nikiwa na miadi naomba mwenye passo aniazime.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Halafu unasema mkeo atakuja kuendesha sijui mashine ya kusaga. Mimi nataka kuendesha Vanguard sio mashine ya kusaga. Mungu atakupa wa kufanana nawe".

[emoji3][emoji3][emoji3] Sio chai kweli hii

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kununua gari sio sawa na kununua nguo mkuu[emoji3][emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
Gari ni gharama sana tunapokuja kukwama kwa kutaka umaarufu kunuka una gari unalaza CCM au una gari unakuwa na presha ya mafuta. Kuna vitu vingi sana vinachangia kutoendelea kiuchumi kisa mke wako ana ndoto fulani. Ukaweke chini 10M ya gari ama uweke chini 10M ya kufuga na kusimika mashine ya kusaga.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lazima aanzie na swali hilo kwa kuwa kwa jinsi ulivyovaa na mahali mlipokutana vinampa wasiwasi.
Wewe nawe ukaongeza utata ulipoendelea kutoa majibu fake.
Akajua tu wewe si mkweli na unafanya 'mind games' akajiongeza na hyo 20 ili asitoke patupu kwa muda alioucheze.
Mimi mwanamke anayekuja na kuanza kuuliza ninamiliki nini huyo kwangu hana sifa ya kuwa mke kbs. Kauliza unanyumba nikamjibu sina ila nina kiwanja...anataka gari nikamjibu nina mpango wa kununua mashine ya kusaga sasa hapo uongo upo wapi na nikampa na 20 ya uber.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahaa..!
And I verily knew it huu ujumbe utafika mubashara kabisa.!!
Kuna watu Mungu anakukutanisha nao maishani kipindi unawahitaji kabisa.! Abarikiwe tu yule kaka, ni kati ya watu walioacha alama isiyofutika moyoni mwangu.!
I am humbled. Mungu Atulinde dadangu mwema mpaka tuone utimilifu kamili katika safari yetu fupi/ndefu hapa duniani.
 
Back
Top Bottom