Christina George
JF-Expert Member
- Sep 4, 2019
- 673
- 784
Sasa mwanamke ambae hana hata pesa ya uber aolewe na mwanaume asiyeweza nunua hata kiatu chake...jamani ndoa ni paradiso ndogo.
Mbona haueleweki ama haujasoma vyema. Kiatu bei ngapi Karume kwenye mitumba. Nilitumia kiasi gani pale jumlisha na pesa ya uber nilitaka kujua upeo wa baadhi ya wanawake kitendo cha kumwambia nimepanga ndio naanza kujenga angenitia moyo. Baadhi yenu mnataka maisha rahisi sanaSasa mwanamke ambae hana hata pesa ya uber aolewe na mwanaume asiyeweza nunua hata kiatu chake...jamani ndoa ni paradiso ndogo.
hahahahhahahahahhahahahhahahhahahahHalafu unasema mkeo atakuja kuendesha sijui mashine ya kusaga. Mimi nataka kuendesha Vanguard sio mashine ya kusaga. Mungu atakupa wa kufanana nawe"
Kwa jins ulivokutana nae lazma uonekane unaigiza..kama pesa unayo ukalipa na uber vp kuusu kiatu ni mashart ya mganga auMbona haueleweki ama haujasoma vyema. Kiatu bei ngapi Karume kwenye mitumba. Nilitumia kiasi gani pale jumlisha na pesa ya uber nilitaka kujua upeo wa baadhi ya wanawake kitendo cha kumwambia nimepanga ndio naanza kujenga angenitia moyo. Baadhi yenu mnataka maisha rahisi sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa jins ulivokutana nae lazma uonekane unaigiza..kama pesa unayo ukalipa na uber vp kuusu kiatu ni mashart ya mganga auMbona haueleweki ama haujasoma vyema. Kiatu bei ngapi Karume kwenye mitumba. Nilitumia kiasi gani pale jumlisha na pesa ya uber nilitaka kujua upeo wa baadhi ya wanawake kitendo cha kumwambia nimepanga ndio naanza kujenga angenitia moyo. Baadhi yenu mnataka maisha rahisi sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Una imani ya kishirikina sipo hivyo ndio alipaswa ajiulize.Kwa jins ulivokutana nae lazma uonekane unaigiza..kama pesa unayo ukalipa na uber vp kuusu kiatu ni mashart ya mganga au
Unajifanya una maisha sana lakini unayoongea yoye ni upupu hapo ulipo uko kwa shemeji yako ...halafu unamwambia mwezio kapange kwa shemeji yake kweli zinakutosha au kutaka sifa ?Umeshindwa kununua hata Toyota moja mfano crown au harrier? Sasa hapo kweli si ungemtesa mtoto wa watu? Nyumba si lazima kujenga. Nenda kapange apartment hata ya tsh 900,000-1,000,000 kwa mwezi.lipia hata miaka 20. Pumzika na mkeo fanyeni maisha ukijipanga kununua gari za ulaya. Kwa sasa kama hali ngumu nunua hata Toyota Crown au Subaru za miaka ya 2015 kuja juu.
Umeongea pumba kabisa !! Unadhani leo hao unawaona wenye maisha mazuri walichaguana tu ???She is right. Wanawake tusiwalaumu. Simba jike anapkuwa anatafta wa kymzalisha hutafta dume lenye sifa kama vile kuweza kuwinda na kuleta kitowewo cha kutosha. Pili mwenye iwezo wa kulida kitoto vyake. Hii ipo hata kwa wanawake. Kwasababu wao wanazaa so huhakikisha anazaa panapofaaa. Yani watoto wake watapata maisha bora na yenye fraha.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahhah[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Nilikuja kuamini wanapenda sana magari.
Kimasihara (halfway though) nimefinya sana kwa magari ya kuazima.
Hata ukimwambia ni la Boss, as long as anakuona unakanyaga mafuta hana shida.
Najaribu kufanya research kuna uhusiano gani kati ya mwanamke na steering wheel
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio maana watu wa mjini huwa wanapendeza sana, mjini hakuna kujiweka simple, ni kuvaa na kunukia tu!Wazungu wanamsemo wao, personality always wins the day”.
Hao watoto wa mjini 1st impression muhimu sana
ANAJikuta Eddie Murphy kwenye coming to America!Mkuu yani wewe umeenda ukiwa fake na anakuuliza maswali baadhi unatoa majibu ya uongo halafu unataka yeye ndio awe real.?
Ulipaswa kumpa haki ya kukufahamu ndipo ajichanganye.
Hata kama wanawake wana uchu wa kupata waume bado naamini wanapenda kupata walio wa kweli na smart.