Nimekataliwa kisa sina gari

Nimekataliwa kisa sina gari

Kaka gari ndio kila kitu mujini yaani ukiwa nalo mbona unawavua chupi utakavyo
Sasa sie tuna vii ist tunagegeda je ukiwa na grand Cherokee sii utapiga deki tigo utakavyo kaka.
Tafuta gari uwagegede ila usidhani wanapenda hawa viumbe... Wee kaa nao kiburudanani mbona utawaenjoy kinoma.
Kaka gari sio kitu unajua kila mtu na malengo yake kwa akili ya kawaida tu hizi passo ni kama 4M sasa kuna ugumu gani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu yani wewe umeenda ukiwa fake na anakuuliza maswali baadhi unatoa majibu ya uongo halafu unataka yeye ndio awe real.?
Ulipaswa kumpa haki ya kukufahamu ndipo ajichanganye.
Hata kama wanawake wana uchu wa kupata waume bado naamini wanapenda kupata walio wa kweli na smart.
Mi naona kilichomwangusha nikuwa too fake. Kwenye such meeting mtu bora uwe mkweli mambo mengine yatafuata baadae.
Kibaharia hapo tunasema ameliwa: amelipa bills zote na nauli akatoa na aliyoyategemea sio 😂 😂 😂
 
Subiri yakukute...kuna mwenzio alipewa maneno ukweni kila mtu pale akashindwa kuelewa akili za yule dada. Basi wewe una mungu wako kuna akina dada wanajibu majibu zaidi ya hili langu.
Kama ulikuwa akilini mwangu, hii chai nimegoma kuinywa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Si bora nimeenda fake nusu kuliko ningeenda mimi kamili ningeleta matatizo. Hata kwenye kuungama hakuna anayesema ukweli wake wote. Tafakari
Mi naona kilichomwangusha nikuwa too fake. Kwenye such meeting mtu bora uwe mkweli mambo mengine yatafuata baadae.
Kibaharia hapo tunasema ameliwa: amelipa bills zote na nauli akatoa na aliyoyategemea sio [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwana ulikosea kumpa ile 20...kama alikuja kwa apointment kwanza mngegawana kulipa bill...na nauli usingempa..inakuwaje manzi akuone first time awe na kiherehere cha kuomba nauli...huyo alikuwa ni slay queen
Ni kweli ila sikujuta maana nilitoa huku nikitegemea mawili angeniblock ama angejibu tofauti. Ila vyema ni kushukuru kuwa ana ndoto ya mume wake wa maisha yake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Okay Cole
Rule number one, never count your homie pockets thinkin' you deserve it

Rule number two, never trust a bitch that'll **** you for some purses

Rule number three, save you some of that money, shit you better stop splurgin'
 
eti nitafungua mashine ya kusaga...halafu wife ndo anaiendesha....manzi kufikiria lile vumbi akaona TB ipo hapa...akaamua kuchapa lapa... [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]
Mawazo haya ndio yanafanya watu wafe masikini...kwani akina mama wenye miradi ya kufyatua matofali wanachanganya wao sementi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wadada wanahofia kuanza na mwanaume from the scratch halafu mwanaume akifanikiwa anaona you ain't his league sababu wale aliokuwa anawataka hakuweza kuwapata kwa kipindi kile wallet haibani.!

Kabla mlalamikie wanawake, jiulizeni ninyi kama wanaume mmekwama wapi?
Mimi pia sitaki mtu anipende kwa nilivyonavyo anajua nimepata vipi. Aje tuanze upya kila kitu kina maumivu yake. Mkichuma pamoja kila mtu atakuwa na heshima na mwenzake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwanamke anavumilia kila kitu toka kwa mwanaume, isipokuwa umasikini tu! Kama unamhitaji mwanamke basi kuwa real kaka, vinginevyo utampata anayetafuta mume yeyote na ukakutana na mambo mazito.
Usihadaike na maneno ya vijiweni kaka, mwanamke hapimwi kwa umasikini, la sivyo utakuja kuoa wale masikini sanaaa na warudishe nyuma jitihada zako za utafutaji kwani ni bora mwanamke anayefuja pesa kuliko mshirikina na mswahili kaka, waswahili wanakera sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole sana mkuu mshukuru Mungu amekuepusha na mjasiliamali maana angekuchuna mpaka ukajuta kumfahamu,,mwanamke mwenye malengo sahihi kwa maelezo yako hakika asingetoka maana ulionyesha matarajio ya kufanikiwa siku zijazo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mmekutana siku moja mkaanza na kuweka mikakati ya kuoana,yaani mnataka siku hiyohiyo mjuane mpaka na mnavyomiliki??
Siwezi kutafuta mke kabla sijapata mpenzi.
Hayo ndiyo ya kuruka stage.
Girlfriend/boyfriend ---Mchumba---Mke/Mume.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwanamke anavumilia kila kitu toka kwa mwanaume, isipokuwa umasikini tu! Kama unamhitaji mwanamke basi kuwa real kaka, vinginevyo utampata anayetafuta mume yeyote na ukakutana na mambo mazito.
Usihadaike na maneno ya vijiweni kaka, mwanamke hapimwi kwa umasikini, la sivyo utakuja kuoa wale masikini sanaaa na warudishe nyuma jitihada zako za utafutaji kwani ni bora mwanamke anayefuja pesa kuliko mshirikina na mswahili kaka, waswahili wanakera sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuwa nina kiwanja sio real kuwa nina fanya investment ya kufuga na pia nina plan ya kununua mashine ya kusaga awe msimamizi sio real ama ulitaka nimwambie nataka kununua Airbus. From zero meeting anaomba nauli natoa bado unaona sipo real!!! Sijaongelea mwanamke mshirikina ama mswahili. Hapa mwanadada anataka gari sio kingine. Au umesoma nyuma mbele mbele nyuma

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ila wanaume tupunguze lawama, kama unataka wa hali ya chini mbona wapo kibao tuu kitaa, hauhitaji kuwapima kwani ukosema tuu namiliki mashine ya kusaga umewapata.
Wengi wa walio katika Social Media ni wapaka urembo na watoto wa mjini, hasa waliosoma, so unapoweka appointment jipange kichuochuo kwa muonekano na kila kitu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom