Vijana wa karne hii ya 21 hawataki kazi wanapenda kuvaa vizuri na kukaa maskani tu!!Ni kweli vijana hamtaki kufanya kazi, hata kusoma tu mdau alichoandika umeshindwa!! Ukisoma vizuri utahundua kwamba jamaa anafanya kazi kwa bidii.
Ile milima kule mbona kama ni milima ya Matogoro hivi, sio Songea hapo kweli?.Ushirikina?!!! Uchawi nnaotumia mimi ni huu hapa chini
View attachment 1710435
Mwambie amchek Bill LuganoDuh pole sana.. natamani ningekuwa na uwezo huo nikusaidie ila kwa sasa sina.
Ila naamini kuna watu humu wanaweza kukusaidia na natamani ungewaface direct.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nawasubiri wale wanaopiga tantarira na kuwabeza vijana kuwa ni wavivu wajiajiri wakiongozwa na yule kichaa mfu Ndugai waje wampe msaada huyu Kijana mwenzetu.Watu wa humu wengi huwaga hawana msaada wengine watakuponda na kukuongezea machungu nakupa angalizo usishtuke sana.
maoni yangu kwanini usitafute partnership na watu wenye mitaji.
Mbona taarabu na vijembe vingi?Mapambano mwanzo mwisho! Shamba halitaki ushalobalo, shamba halitaki uanze kuwaza matokeo kabla ya kuwaza process, shamba halitaki mkumbo baba, shamba ni biashara kuwa na malengo, hesabu, na adabu ya pesa.
View attachment 1709905View attachment 1709908
Sio rahisi kama unavyoandika,hayo ni mambo theories za kwenye makaratasi tuu,kwenye field hakupo hivyo.Siku nyingine dalali wakikuzingua, badilika wewe ndo uwe dalali, fanya legwork, tafuta namba za wale wanaonunua nafaka toka kwa wakulima katika area yako, hakikisha unapata ikiwezekana zote.
Rudi kijijini, wewe kazi yako unawatime wakulima wa vijijini kwa kuwapeleka lilipo soko, mfano wewe unepewa bei ya 1500 kilo ya maharage, mkulima mpe bei ya 1300,1350 ili ule hiyo 200 au 150.
Mtaji wako hapa ni vocha,mdomo wako na hela ya kuzungukia.
Duh,umesoma mpaka mwisho ukamuelewa?Mkuu kukusaidia nenda mwanza kuna kiwanda cha kutengeneza nondo kinahitaji wafanyakazi malipo 12000tshs per day,kipo veta kiregesh kuelekea buswelu kinaitwa nyakato industry
Huyo Danga hela zake anazipata mpaka K iwake moto.Mkuu mcheki huyu demu alisema yeye katumiwa hela za bure na anao uwezo wa pesa mzuri tu Jane Lowassa
Nilimind ile siku nilivyosikia ile kauli achaaaa tu yaani angekuwa anasema yuko mbele nadhani ningekuwa segerea kama sio ukonga muda huuNawasubiri wale wanaopiga tantarira na kuwabeza vijana kuwa ni wavivu wajiajiri wakiongozwa na yule kichaa mfu Ndugai waje wampe msaada huyu Kijana mwenzetu.
Ahsante mkuustand up never give up,kwanza hongera kwa kupambana na maisha kwa huo umri mdogo for real umeona mengi,
ushauri wangu achana na kilimo kwanza, kwa sasa fanya biashara nyingine kama ya mgahawa au kuuza nguo za wadada najua bado
unapenda kilimo ila kimekutesa na kukupa madeni mengi,just switch to another business uo ni mfano tu unaweza fikiria unachopenda
ukiacha kilimo,