Cos101
JF-Expert Member
- Sep 16, 2020
- 446
- 1,021
Mkuu pole sana na hongera pia maana una spirit ya upambanaji, believe me utafanikiwa sana mbele ya safari.
Hali uliyonayo sasa tumekutana nayo wengi, huwa hazidumu hufikia hatua mambo yanabadilika.
Nakuombea upate msaada unaohitaji kwa sasa. On the other hand kuna opportunity ya kupata training na funding toka kwenye foundation ya Tony Elumelu (Tony Elumelu Foundation) kama ushawahi kumsikia. Walianza toka 2014, wanatoa mafunzo na pesa kwa wajasiliamali 1000 across African, $5,000 kwa kila mmoja kila mwaka though mwaka Jana hawakufanya kwa sababu ya Covid 19.
Kinachohitajika ni wazo tu la biashara ama biashara ambayo haina zaidi ya miaka mitano. Unatuma maombi and then kuna mambo mengine yanafuata. Nitaweka link hapa kwa faida ya wengine pia kama watakuwa interested. Application ziko open toka January mosi na mwisho wa kuapply ni 31March. Tz tuko nyuma kidogo kwenye hizi mambo. Kenya, Rwanda na wenzetu wa magharibi wametengeza mpaka clubs za kuwasaidia vijana kupata hizo fedha.
TEF website
tefconnect.net

TEFConnect
The Digital Networking Platform for African Entrepreneurs: TEFConnect. TEFConnect will provide bespoke tools and content to catalyse business development for millions across he continent, through technnology and directly applicable content