Nimekata tamaa ya maisha nahitaji msaada

Ni kweli vijana hamtaki kufanya kazi, hata kusoma tu mdau alichoandika umeshindwa!! Ukisoma vizuri utahundua kwamba jamaa anafanya kazi kwa bidii.
Nimeona hata shida kumjibu
 
Ni kweli vijana hamtaki kufanya kazi, hata kusoma tu mdau alichoandika umeshindwa!! Ukisoma vizuri utahundua kwamba jamaa anafanya kazi kwa bidii.
Vijana wa karne hii ya 21 hawataki kazi wanapenda kuvaa vizuri na kukaa maskani tu!!
Kupiga porojo au umbea!!
 
SIMAMA IMARA KAMA SIMBA JIKE ANAYEWINDA. USISEME UMEKATA TAMAA, UNA MIAKA 25 TU, UME GRADUATE JUZI 2019. INA MAANA LEO HII USHAONA Maisha magumu? Wenzako wanzurura na CV na begi kwa miaka takribani 7 hadi leo, nisomee barua yangu, nisomee barua yangu. VIATU VINAISHA VISIGINO HAWAJUI HATA PA KUPATA SHAMBA.

AMKA, AMKA, DUNIA INAKULIPA KWA UNACHOFANYA SIO KUJUA. UNGELIMA HATA EKA MOJA INGEKUWA RAHISI SANA KWAKO TATIZO ULITAKA MATOKEO YA HARAKA AFTER ALL UACHE KULIMA NDIYO MAANA UMELIMA NYINGI KWA MALENGO YA MUDA MFUPI SANA. MIMI LEO NATAFUTA SHAMBA LA KUPANDA MATIKITI MAJI,, NTAPANDA HEKA MOJA TU. KWA SABABU SITAKI STRESS NA MAWAZO WAKATI NAJUA WAZI KATIKA WAKATI HUU MGUMU WA KIUCHUMI NCHI NZIMA PESA NI TATIZO.

"KINACHOITWA LEO AJIRA, HAPO ZAMANI NDIYO KILIITWA UTUMWA."
 
Watu wa humu wengi huwaga hawana msaada wengine watakuponda na kukuongezea machungu nakupa angalizo usishtuke sana.
maoni yangu kwanini usitafute partnership na watu wenye mitaji.
Nawasubiri wale wanaopiga tantarira na kuwabeza vijana kuwa ni wavivu wajiajiri wakiongozwa na yule kichaa mfu Ndugai waje wampe msaada huyu Kijana mwenzetu.
 
Siku nyingine dalali wakikuzingua, badilika wewe ndo uwe dalali, fanya legwork, tafuta namba za wale wanaonunua nafaka toka kwa wakulima katika area yako, hakikisha unapata ikiwezekana zote.

Rudi kijijini, wewe kazi yako unawatime wakulima wa vijijini kwa kuwapeleka lilipo soko, mfano wewe unepewa bei ya 1500 kilo ya maharage, mkulima mpe bei ya 1300,1350 ili ule hiyo 200 au 150.

Mtaji wako hapa ni vocha,mdomo wako na hela ya kuzungukia.
Sio rahisi kama unavyoandika,hayo ni mambo theories za kwenye makaratasi tuu,kwenye field hakupo hivyo.
 
stand up never give up,kwanza hongera kwa kupambana na maisha kwa huo umri mdogo for real umeona mengi,
ushauri wangu achana na kilimo kwanza, kwa sasa fanya biashara nyingine kama ya mgahawa au kuuza nguo za wadada najua bado
unapenda kilimo ila kimekutesa na kukupa madeni mengi,just switch to another business uo ni mfano tu unaweza fikiria unachopenda
ukiacha kilimo,
 
Nawasubiri wale wanaopiga tantarira na kuwabeza vijana kuwa ni wavivu wajiajiri wakiongozwa na yule kichaa mfu Ndugai waje wampe msaada huyu Kijana mwenzetu.
Nilimind ile siku nilivyosikia ile kauli achaaaa tu yaani angekuwa anasema yuko mbele nadhani ningekuwa segerea kama sio ukonga muda huu
 
stand up never give up,kwanza hongera kwa kupambana na maisha kwa huo umri mdogo for real umeona mengi,
ushauri wangu achana na kilimo kwanza, kwa sasa fanya biashara nyingine kama ya mgahawa au kuuza nguo za wadada najua bado
unapenda kilimo ila kimekutesa na kukupa madeni mengi,just switch to another business uo ni mfano tu unaweza fikiria unachopenda
ukiacha kilimo,
Ahsante mkuu
 
Back
Top Bottom