Nimekata tamaa ya maisha nahitaji msaada

Pole sana real nakufahamu sana tulimaliza pale NIT Mungu atakujalia
 
Duuuuh poleeh sana mkuu. JAH atakusaidia.
 
Usilipe ubaya ubaya kwa ubaya mkuu, msave mwanae ajisikie aibu yeye, mtoto ana makosa, uenda nakosa connection kwa sababu ya mzee nini[emoji23]
 
It doesnt matter mkuu, amenijua kwa sababu ya hii Id tu ndio uwa natumia kwenye group whatsapp n.k ila isingekuwa hivi asingenijua kamwe, na pia sina tatizo wala ubaya na mtu am clean ndio maana sioni kama kuna tabu
Hili ndio tatizo la kuwa na shida yaani unakuwa huna Privacy, cheki jamaa eti nakujua.
 
Wala usiogope, maana haitakusaidia ku solve chochote. Just relax
 
It doesnt matter mkuu, amenijua kwa sababu ya hii Id tu ndio uwa natumia kwenye group whatsapp n.k ila isingekuwa hivi asingenijua kamwe, na pia sina tatizo wala ubaya na mtu am clean ndio maana sioni kama kuna tabu
Kuwa na privacy haina maana kuwa haupo clean au una ubaya na mtu. Nisi explain sana nimekupata.
 
Bado mkuu, kuna mmoja amesema hadi nipate hela at least laki 6 ndio atanipa msaada, ila hivi hivi imeshindikana, kama utakuwa na msaada wowote kwangu naomba usisite kunisave
Duh pole sana, natamani ningekuwa na uwezo huo nikusaidie ila kwa sasa sina.

Ila naamini kuna watu humu wanaweza kukusaidia na natamani ungewaface direct.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…