Joseph lebai
JF-Expert Member
- Jul 19, 2017
- 8,447
- 8,698
Pole kwa mahangaiko "mimi naamini maisha ni mchezo, kuna siku utashinda "
Mapambano mwanzo mwisho! Shamba halitaki ushalobalo, shamba halitaki uanze kuwaza matokeo kabla ya kuwaza process, shamba halitaki mkumbo baba, shamba ni biashara kuwa na malengo, hesabu, na adabu ya pesa.
View attachment 1709905View attachment 1709908
Siku ingine dalali wakikuzengua, badilika wewe ndo uwe dalali, fanya legwork, tafuta namba za wale wanaonunua nafaka toka kwa wakulima katika area yako, hakikisha unapata ikiwezekana zote.
Rudi kijijini, wewe kazi yako unawatime wakulima wa vijijini kwa kuwapeleka lilipo soko, mfano wewe unepewa bei ya 1500 kilo ya maharage, mkulima mpe bei ya 1300,1350 ili ule hiyo 200 au 150.
Mtaji wako hapa ni vocha,mdomo wako na hela ya kuzungukia.
mkuu kukusaidia nenda mwanza kuna kiwanda cha kutengeneza nondo kinahitaji wafanyakazi malipo 12000tshs per day,kipo veta kiregesh kuelekea buswelu kinaitwa nyakato industry
Mkuu mcheki huyu demu alisema yeye katumiwa hela za bure na anao uwezo wa pesa mzuri tu Jane Lowassa
Ushirikina je? mkuuMapambano mwanzo mwisho! Shamba halitaki ushalobalo, shamba halitaki uanze kuwaza matokeo kabla ya kuwaza process, shamba halitaki mkumbo baba, shamba ni biashara kuwa na malengo, hesabu, na adabu ya pesa.
View attachment 1709905View attachment 1709908